Sunday 31 January 2016

Re: [wanabidii] Je kuna Andrew Chenge Wawili??

Change yupo kwa sababu ya ujinga wa wabunge wa ccm si vinginevyo, kwa sababu wapinzani hata wakimpinga ccm watatumia wingi wao kumsaidia fisadi mwenzao

On Jan 31, 2016 10:39 AM, "'mashakamakana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Hakika mko sahihi tuachilie mbali ushabiki wa kisiasa hapo wabunge na wananchi wa jimbo waliompigia kura. Au ndiyo u_cheef kwa tafsiri ya uchawi!? Hivi enzi zile za spika samweli sita kuna mh. fulani alionekana ktk kamera usiku akifanya mambo ukumbi wa bunge! <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Wabunge wote hasa waliompigia Fisadi mkubwa Andrea Chenge  kura kuwa mwenyekiti wa  Bunge thinking capacity yao ni ndogo sana. Shame on them!
Magwayega (Advocate).

On Saturday, January 30, 2016 10:54 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Chenge! Chenge! Chenge. Aibu ya taifa hili. Najua kuwa maoni ya Lugamba yanasomwa na wengi humu. Hutegemei watu wenye akili wanyamaze bila kujisahihisha. Natamani wamuombe basi ajiuzuru uenyekiti kama hawawezi kumuadibisha. Kweli Chenge  ni aibu ya taifa. Jamani tuhuma juu yake sio za kufumbia macho. Hapana.
--------------------------------------------
On Fri, 1/29/16, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Je kuna Andrew Chenge Wawili??
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 29, 2016, 8:53 PM
Ameshindikana huyo, ni mzee wa
dili
On Friday, 29 January 2016, Abel Lugamba <lugamba2001@gmail.com>
wrote:
Nianze kwa kukiri ujinga, kwamba sijui lolote
kuhusu namna bunge linavyo pitisha maazimio yake, na kwamba,
je ni kwa kuzingatia "facts" au
"feeling" na kama maazimio yakisha pitishwa na
bunge huwa na maana kwa muda gani? Hii imetokana na mimi
kushindwa kuelewa mantiki na Wabunge wa CCM kumchagua Chenge
yule yule waliyemfukuza kwenye uenyekiti wa kamati ya Bunge
ya Badget na ndani ya halmashauri kuu ya CCM, akaitwa na
tume ya maadili akagoma kupitia mahakama kuu, baadaye
akashindwa na kutakiwa kuhojiwa, je alihojiwa lini na
kuonekana hana hatia? Kama bunge lilipitisha azimio la yeye
na wenzake kuvuliwa madaraka kwa kujipatia 1.6Bilioni za
Escrow, na kwamba ilikuwa kinyume cha maadili. leo je,
maadili si kigezo kwa viongozi wa bunge hilo hilo?? ni lini
walimsafisha na kutengua yale maazimio??
Nawasilisha

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presente

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment