Sunday 31 January 2016

Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Anaweza kuwa anaupotza au haupotezi. nadhani yeye kakumbuka uteuzi wa Ban kwenye nafasi aliyopo. alipewa na Tanzania kwa sababu ya kura yake wakati huo. naye alishukuru kwa kumteua mtaqnzania lakini akashindwa kazi fulani. Sasa anakamilisha shukrani yake. Ninadhani alimaanisha hilo hivyo hakukosea. Simsemei lakini
--------------------------------------------
On Sun, 1/31/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, January 31, 2016, 9:23 PM

Huu
utamaduni wetu wa kuangalia kila kitu tofauti utatufikisha
pabaya. Sizani uteuzi wake unaathiri sana maisha yangu hivyo
na huyu anaepamba huu uteuzi namuona anapoteza muda tuu na
nafasi

On Jan 31, 2016 12:18,
"'Mashaka Makana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
swali lako halina
uhusiano na uteuzi wa mh. Kikwete. Soma hiyo taarifa ya
uteuzi wake kwa mtazamo chanya. Kateuliwa uenyekiti na kazi
siyo lazima awe tabibu au mtaalamu wa afya.

Sent
from Yahoo Mail on Android From:"'Lutgard
Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Jan 31, 2016 at 20:50
Subject:Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon
amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri,
kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Ban
Ki-Moon na Kikwete; "waswahili wa
Pemba....." LKK
                                       
On Sunday, January
31, 2016 8:35 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

Hivi Kikwete ana
utaalamu gani katika masuala ya afya za akina mama na
watoto? Nauliza tu kwa nia njema.em
2016-01-31 12:24 GMT-05:00 Hosea Ndaki
<hosea.ndaki@gmail.com>:
Hongera sana JK kwa uteuzi huu
uliotukuka
On Jan 25, 2016 1:47 PM, "fadhil fadhil"
<fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imepokea kwa furaha uteuzi
uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Ban
Ki-Moon wa
kumteua Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu
wa awamu ya
nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mmoja wa
wenyeviti wa jopo
la ushauri la ngazi ya juu kuhusu Afya ya Mama na Mtoto
(Every Woman,
Every Child) Duniani.

Kwa niaba ya Serikali, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee
na Watoto na kwa niaba yangu binafsi napenda kuchukua fursa
hii
kumpongeza kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
kwa uteuzi
huu.

Wakati wa uongozi wa Serikali yake ya awamu ya nne, Mhe. Dkt
Jakaya
Kikwete amekuwa mstari wa mbele kitaifa na kimataifa katika
kusimamia na
kutetea huduma bora za afya ya mama na mtoto.

Mwaka 2005, mara baada ya kuingia madarakani Mhe. Dkt Jakaya
Kikwete
aliagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuandaa Mpango wa
Maendeleo
wa Afya ya Msingi (MMAM) akiwa na nia ya kusogeza huduma za
afya karibu
na wananchi, hususan huduma ya afya ya uzazi na mtoto.
Kutokana na
jitihada zake hizo, vituo vya kutolea huduma za afya vya
umma
viliongezeka kutoka 5,172 mwaka 2005 hadi 7,247 mwaka
2015.

Mwaka 2007, Mhe Dkt. Jakaya Kikwete aliungana na Waziri Mkuu
wa Norway
Mhe. Jens Stoltenberg na viongozi wengine wa kimataifa
kuanzisha Mtandao
wa Viongozi wa Dunia wa kutoa msaada wa kisiasa katika
ngazi ya juu
kabisa na kufanya uragibishaji (advocacy) kwa ajili ya
malengo ya
milenia namba 4 na 5 yanayohusu kupunguza vifo vya watoto na
wanawake
wajawazito. (Network of Global Leaders Advocating for MDG4
and 5).

Mwaka 2008, Mhe Dkt. Jakaya Kikwete alizindua Mpango Mkakati
wa Taifa wa
Kuongeza Kasi ya Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vya
watoto
wachanga (Road Map to Accelerate Reduction of Maternal
Newborn and Child
Health 2008-2015).

Mwaka 2014 alizindua Mpango Mkakati ulioboreshwa kupunguza
vifo
vitokanavyo na uzazi na vya watoto (Sharpened One Maternal
Newborn and
Child Health Plan 2014-2015).

Sambamba na uzinduzi wa mpango mkakati huo, pia alizindua
kadi maalum ya
kutathmini utekelezaji katika afua za kupunguza vifo
vitokanavyo na
uzazi na vya watoto.

Kadi hii aliikabidhi kwa Wakuu wa Mikoa wote nchini na
kuwaagiza wasimamie kwa karibu na kuwa atafuatilia
utekelezaji wake.

Mwaka 2010, Dkt. Jakaya Kikwete aliungana na Mhe. Ban
Ki-moon wakati
anatangaza nia ya kuwa na mpango mkakati wa kimataifa wa
afya ya
wanawake na watoto "UN Secretary General's Strategy for
Women's and
Children's Health 2010-15".

Baada ya mkakati huu kukamilika Desemba 2010, Mhe. Dkt.
Kikwete
aliteuliwa na Mhe. Ban Ki-Moon kuwa Mwenyekiti Mwenza wa
Tume ya Taarifa
na Uwajibikaji kwa ajili ya Afya ya Wanawake na Watoto
"UN Commission
on Information and Accountability for Women's and
Children's Health".

Kazi hii aliifanya kwa umahiri na weledi mkubwa kwa
kushirikiana na
Mwenyekiti mwenza aliyekuwa Waziri Mkuu wa Canada, Mhe.
Stephen Harper.

Tume hiyo iliwasilisha ripoti yake kwa Katibu Mkuu wa Umoja
wa Mataifa
mwezi Septemba, 2011. Ripoti hii iliwezesha nchi wanachama
wa Umoja wa
Mataifa kuchukuwa jitihada mbalimbali za haraka na za
makusudi za
kuboresha afya ya mama na mtoto katika nchi zao.

Baada ya hapo, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete aliendelea
kuwa mtetezi wa
afya ya akina mama na watoto, chanjo, kudhibiti malaria na
UKIMWI ndani
na nje ya Tanzania.

Katika kipindi cha uongozi wake, nchi yetu imepata mafanikio
makubwa
katika kutimiza malengo ya milenia hususani lengo namba 4
linalolenga
kupunguza vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano,
ambapo vifo
vimepungua kutoka 112 kwa kila vizazi hai 1,000 mwaka 2005
hadi 81 kwa
kila vizazi hai 1,000 mwaka 2010.

Aidha, mwaka 2013 ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu vifo vya
watoto
ilionyesha kuwa Tanzania imefikia vifo 54 kwa kila vizazi
hai 1,000 na
hivyo kufikia lengo la Milenia namba 4 hata kabla ya mwaka
2015.

Vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi vimepungua kutoka
578 kwa kila
vizazi hai 100,000 mwaka 2005 hadi 454 kwa kila vizazi hai
100,000 mwaka
2010. Na kutokana na ripoti ya Umoja wa Mataifa ya mwaka
2014 tumefikia
vifo 410 kwa kila vizazi hai 100,000.

Afya ya mama na mtoto ni kipaumbele kwa Serikali ya Awamu ya
Tano
inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Serikali kupitia
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
itaendeleza
juhudi hizi na kuhakikisha tunapiga hatua kufikia Malengo
Endelevu ya
Kimataifa (Sustainable Development Goals 2030).

Tumedhamiria kuwapa uhakika kina mama wa Tanzania wa
kutopoteza maisha
yao wanapotekeleza haki yao ya msingi ya uzazi.
Tutahakikisha
tunapunguza au kumaliza kabisa tatizo la vifo vya wanawake
wajawazito na
watoto wachanga. Chini ya Kauli Mbiu ya 'Hapa Kazi tu"
ni dhahiri kuwa
hili linawezekana.

Pia, tunaahidi kumpa ushirikiano Mhe. Rais Mstaafu Dkt
Jakaya Kikwete
katika jukumu hilo alilopewa ambalo ni heshima kubwa kwa
Taifa letu.
Tunamtakia kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu
yake.

Imetolewa na:

Ummy A. Mwalimu (Mb.)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto

Dodoma

24 Januari 2016.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment