Friday 29 January 2016

Re: [wanabidii] Re: Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?

Heri;
Hapo tupo pamoja kama tutaongelea editing.
Upo sawa kabisa
 
Reuben

On Friday, January 29, 2016 9:48 AM, 'heri rashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Reuben kutakuwa na tofauti ya live na recorded. Recorded lazima itakuwa edited. Kuna mambo lazima yatatolewa. Serikali iache tu watu waone live. Kwa kuona live tutaona tulichagua mtu au tulichagua waropokaji na mabubu bungeni. Ni fundisho pia kwa wananchi kuwa makini katika kuchagua wawakilishi.
Heri Rashid

On Friday, January 29, 2016 9:37 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Johannes;
Tofauti hiyo ipo katika ladha tu,lakini haipotezi maana ya ujumbe/tukio.
Ni sawa na mtu anayesoma gazeti la jana,habari ni ileile na kama hakuwa ameipata kabla upya wake unabaki pale pale.
Nakuunga mkono katika suala la kama inarekodiwa halafu inarushwa baadae,itachukua kiasi kile kile cha muda pengine hata malipo,hivyo haina maana yoyote.
 
Reuben

On Thursday, January 28, 2016 5:54 PM, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mhhh! Mawazo mengine bwana!! Duh!

LKK
 
On Thursday, January 28, 2016 5:41 PM, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Agenda ya SIRI ni kuwa wabunge wengi wamekuwa wakitumia TELEVISHENI kama ndio uwanja wao wa siasa na kujulukana, ni wazi kuwa kuna wabunge ambao ndio vinara wa kusema, kuchangia au kuhoji kila kikao cha bunge, mara nyingi ktk kila Hoja na Agenda zinazo wasilishwa bungeni . . . .  . .
 wabunge wa aina hii wamekuwa wakitumia TELEVISHENI kuwa ndio ulingo wa bure na wenye upana kuonekana, kujulikana na kujipendekeza kisiasa, . . . . aina hii ya wabunge hawaonekani ktk kutatua matatizo ktk majimbo yao, wao ni kulumbana zaidi ktk TELEVISHENI na wakiamini wataonekana kuwa wana hoja za kusaidia Taifa, . . . . kutoonekana kwako kunaelekea kuwatatiza na kuwapunguzia wigo wa kujitangaza  

On Thursday, January 28, 2016 5:23 PM, Johannes Solar <jp2solar@gmail.com> wrote:

Alafu watu tutofautishe hivi vitu na tuone umuhimu wa Haki ya Kupata Habari...!! Ni aibu kuwa wananchi wanaotakiwa kujua serikali yao inavyojiendesha ndo hao hao wanaokataa wasipewe habari... Jamani kunatofauti kati ya RECORDED na LIVE!!

On Wednesday, January 27, 2016 at 9:20:32 PM UTC+3, mpombe mtalika wrote:
Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono.

Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui?

Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct.

Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.

Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment