Ni kweli Elisa. Ila kama kweli serikali itashikilia msimamo wake baadhi ya vipindi vya bunge visirushwe live, nadhani kwa upande mwingine ni kosa letu sisi wapiga kura kwamba tunachezewa akili na tunakubali kuchezewa na itachukua muda kuthamini thamani ya kura yetu.
2016-01-28 18:31 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Koa halisahihishwi na kosa. Wabunge waonekane majimboni Hii ni lazima. Vipindi vya bunge hatuoni wabunge tu. Tunaiona na serikali inavyojibu wabunge na inavyowajibika. Kumbuka hatuna muda wa kujua angalau serikali inapamnga nini isipokuwa kupitia vipindi vya bunge. Kipindi cha leo bungeni fuatilia cha leo. Kitakuwa kimeharirwa kukidhi mahitaji ya anayezuia TBC kuonekana live. Tuwaone wabunge majimbani. Tusikilize bunge linavyokwenda. Kuna wakati wananchi walisusia kusikiliza Bunge. iliuma kiasi. Serikali inajipima hata hapo.
--------------------------------------------
On Thu, 1/28/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Kwanini wabunge hawapendi kuonekana live majimboni badala yake wanapenda kuonekana live luningani?
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, January 28, 2016, 2:26 PM
Kwanini
wabunge hawapendi kuonekana live majimboni badala yake
wanapenda kuonekana live luningani?
Tangu jana kumekuwa na mjadala katika mitandao ya kijamii
na juu ya
wabunge wetu kupingana na serikali juu ya usitishaji wa
kurusha bunge
live na badala yake bunge kuwa recorded kwa lengo la kubana
matumizi
kama ilivyotangzwa jana bungeni na waziri wa habari Nape
Nauye. Swali
langu la msingi ikiwa tulishangilia Rais Magufuli Kufuta
shererhe za uhuru kwa ajili ya kubana matumizi ambazo
zingegharimu takribani bilioni nne na pesa hizo zikatumiwa
katika
ujenzi wa barabara sasa kuna tabu gani ikiwa pesa za kurusha
bunge live
ambazo nazo ni bilioni 4 ikiwa nazo zitatumika katika
shughuli za
maendeleo haswa tukaletewa vijijini ambapo wananchi hawana
maji, umeme
na huduma duni za afya?
Swali langu la lingine kwa muda mrefu wabunge wetu wa vyama
vyote
wamekuwa na desturi ya kutoonekana majimboni hadi kipindi
cha uchaguzi
au ziara ya waziri mkuu, makamu wa rais na rais, sasa
inakuwaje leo
wanapenda kuoinekana live bungeni wakati hatuwaoni live
majimboni?
Wadau naomba nieleweke vyema sipingi bunge kutoonyeshwa
lakini ikiwa
wahandisahi wa habari wanaendelea kuwepo na bunge kurekodiwa
na
kuonyeshwa baadaye sidhani kama ni tatizo ikiwa tutaokoa
hizo bilioni
nne na kuzipeleka katika umeme kuliko kuonyesha live wakati
mwananchi
mwenyewe unayetaka akuone hana
umeme
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment