Nianze kwa kukiri ujinga, kwamba sijui lolote kuhusu namna bunge linavyo pitisha maazimio yake, na kwamba, je ni kwa kuzingatia "facts" au "feeling" na kama maazimio yakisha pitishwa na bunge huwa na maana kwa muda gani? Hii imetokana na mimi kushindwa kuelewa mantiki na Wabunge wa CCM kumchagua Chenge yule yule waliyemfukuza kwenye uenyekiti wa kamati ya Bunge ya Badget na ndani ya halmashauri kuu ya CCM, akaitwa na tume ya maadili akagoma kupitia mahakama kuu, baadaye akashindwa na kutakiwa kuhojiwa, je alihojiwa lini na kuonekana hana hatia? Kama bunge lilipitisha azimio la yeye na wenzake kuvuliwa madaraka kwa kujipatia 1.6Bilioni za Escrow, na kwamba ilikuwa kinyume cha maadili. leo je, maadili si kigezo kwa viongozi wa bunge hilo hilo?? ni lini walimsafisha na kutengua yale maazimio??
NawasilishaSend Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment