Thursday, 28 January 2016

[wanabidii] KUTELEKEZA BUNGE: HILI KALIFANYA KAMA CHENGE AU KAMA MWENYEKITI

Andrew Chenge Mbunge wa Bariad anafahamika kwa mengi. Moja ni hili la kumuunga mkono Edward Lowasa katika kuwania uchaguzi na haijulikani kama kweli haungi harakati zake kuidhoofisha serikali ya magufuli.
Kituko alichokifanya bungeni nakitilia mashaka.
Kwanza alimbana Zitto asome kanuni licha kuwa uzoefu Mbunge akitaja namba ya kanuni basi anaendelea mbele.
Baada ya kuahirisha Bunge na kurudi akatangaza uamuzi wa kamati ya uongozi rabxha zilitokea Bungeni.
Kitendo cha kuondoka Bungeni na kuliacha Bunge bila kiongozi kinanitia mashaka.
Hivi alitegemea nani adhibiti mambo kama kiongozi ametoka?
Hivi hilo liliendelea kuwa Bunge au ni ukumbi tu uliojaa wabunge?
Kama ingetokea wabunge wakamkwida kabari askari akafa kesi hiyo ingekwenda mahakamani au la?
Alikuwa anawaza nini wakati yuko nje ya Bunge na Polisi wakiume wakiongozana na Mbwa wako bungeni kuwavuruga wabunge bila kanuni za kipolisi ambazo zinaelekeza mwanamkde kushughulikiwa na polisi wa kike?

Kama hakuna maelezo yakinifu ni lazima kuwa na Busara:
1. Busara ya kuona kama Chenge anastahili kuwa Mwenyekiti wa Bunge au anastahili kupumzishwa.
2. Busara ya kuona kama Speaker anaweza kuwaomba watanzania radhi kwa kile walichokiona.
3. Busara ya kuahakikisha Bunge halitumiwi na wakwepa kodi, wauza unga na mafisadi wengine ambao wameanza kuathiriwa na serikali hii ya awamu ya tano
4. Busara pana ya kuhakikisha watanzania wanakuwa wamoja na kuwa na Rais Mmoja na kuondoa dhana inayoonekana kwa wasiovaa miwani ya mbao ya kuwa na marais wawili (1) rais wa Watanznia na (2) rais wa wanaCHADEMA.
Kuna maelekezo maalum yanatolewa kuwagawa watanzania licho ya Juhudi za Rais magufuli kuwaunganisha watanzania. Maelekezo kama 'madiwani wa CHADEMA hawatafanya kazi kama wa CCM etc. Juhudi za kukazana kuwatetea wakwepa kodi kuwa hawakutendewa haki bila kujiuliza kama wao walitumia taratibu wakati wanakwepa kodi. Juhudi za kutaka kuibebesha mzigo serikali kwa kutekeleza sheria ikiwa ni pamoja kuwahamisha watu waliomabondeni licha ya kuwa mafuriko yakija ni serikali itakayolaumiwa kwa kuwaacha bila msaada. Tusisubiri haya madogo likaonwa na kila mtu.

Elisa Muhingo

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment