Friday 29 January 2016

Re: [wanabidii] Re: Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?

Lessian;
Sijapata pointi yako kuhusu askari kuingilia ili kulinda usalama.
Wewe nia yako ni kama ngumi ngumi tu au?
Utakuwa mtoto mwema sana (geti kali) katika makuzi yako,sisi tuliokulia uswazi tunajua umuhimu wa kuamulia ugomvi.
Katika ugomvi ambao hakuna mwamuzi huwa mtu akizidiwa anaomba watu waamulie,hapo ndipo umuhimu huo huja,lakini kama hujapitia huko huwezi jua.
Au wewe utajisikiaje kama kibaka kakukwapulia/anakudunda unaomba msaada watu wanakuangalia tu?
 
Reuben

On Friday, January 29, 2016 10:17 AM, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ndio maana watu tukawa tunaipinga ccm no changes at all, usanii mtupu we kina makamba,nape et al utegemee raia watetewe......live coverage hawataka ili watupumbaze,walishajua kua wananchi wanazidi kupanda chati ya civic awareness ndio kisa cha kutoa live coverage
Ccm na wabunge wake si watetez wa wananchi pale wadumaza maendeleo na wanoshadidi kila kitu kinachosemwa na serikali hata kama kina athari mbaya kwa wananchi
Nilishangaa sana jaana et police waningizwa bungeni, ndio kwa mara ya kwanza, hadhi ya bunge iko wapiiiiii, huu si ukiukwaji wa immunity za bunge, mbn somalia' kenya hata uk tumeona wabunge wanpigana live lakin polis hawakauingilia, hata juz kati naijeria walishamkunja hadi madam chairperson mmoja lakin police hawakuingilia,tanzania tu
Hafu mnasema ncni ya amani...amani itajukikana soon zanzibr pale...ccm itavuna kinachopanda, wananachi hwana amani na ccm hata nusu,kwanza waporaji wa kura, wakandamizaji wa haki za raia nk nk

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Johannes;
Tofauti hiyo ipo katika ladha tu,lakini haipotezi maana ya ujumbe/tukio.
Ni sawa na mtu anayesoma gazeti la jana,habari ni ileile na kama hakuwa ameipata kabla upya wake unabaki pale pale.
Nakuunga mkono katika suala la kama inarekodiwa halafu inarushwa baadae,itachukua kiasi kile kile cha muda pengine hata malipo,hivyo haina maana yoyote.
 
Reuben

On Thursday, January 28, 2016 5:54 PM, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mhhh! Mawazo mengine bwana!! Duh!

LKK
 
On Thursday, January 28, 2016 5:41 PM, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Agenda ya SIRI ni kuwa wabunge wengi wamekuwa wakitumia TELEVISHENI kama ndio uwanja wao wa siasa na kujulukana, ni wazi kuwa kuna wabunge ambao ndio vinara wa kusema, kuchangia au kuhoji kila kikao cha bunge, mara nyingi ktk kila Hoja na Agenda zinazo wasilishwa bungeni . . . .  . .
 wabunge wa aina hii wamekuwa wakitumia TELEVISHENI kuwa ndio ulingo wa bure na wenye upana kuonekana, kujulikana na kujipendekeza kisiasa, . . . . aina hii ya wabunge hawaonekani ktk kutatua matatizo ktk majimbo yao, wao ni kulumbana zaidi ktk TELEVISHENI na wakiamini wataonekana kuwa wana hoja za kusaidia Taifa, . . . . kutoonekana kwako kunaelekea kuwatatiza na kuwapunguzia wigo wa kujitangaza  

On Thursday, January 28, 2016 5:23 PM, Johannes Solar <jp2solar@gmail.com> wrote:

Alafu watu tutofautishe hivi vitu na tuone umuhimu wa Haki ya Kupata Habari...!! Ni aibu kuwa wananchi wanaotakiwa kujua serikali yao inavyojiendesha ndo hao hao wanaokataa wasipewe habari... Jamani kunatofauti kati ya RECORDED na LIVE!!

On Wednesday, January 27, 2016 at 9:20:32 PM UTC+3, mpombe mtalika wrote:
Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono.

Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui?

Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct.

Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.

Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment