Saturday 30 January 2016

Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

Angeongea na wananchi waliovamia mabwawa ya maji machafu mabibo akawaondoa, waliojenga Kibangu mtoni na Ubungo kisiwani mtoni wakaondoka na wanaoziba njia ya bus za kupanda huko juu njia zote wamebana kwa kujenda barabarani tungejua diwani na Mbunge wake wanafanya kazi ya promotion of community dialogue, education and mobilization waondoke maeneo hatarishi, wasibane njia ambapo magari yanaweza kugongana na yakaingia ndani ya majumba kupiga kuta zikaangukia watu. Pia suala la kila baada ya nyumba 3 kuna bar na unywaji mpaka usiku wa manane na makelele kusubua watoto. watu wamejenga makorongoni na huku kuna vilima na kona na magati ya kupita ni ukazi hatarishi. hata mabomba ya maji ya mradi wa kupitisha bomba waliofanya Wachina (wakandarasi) ilikuwa tabu kupitisha bomba hizo na sidhani kama zinatoa maji maeneo mengi kutokana na utata wa gradient na kupata nafasi ya kunyooshea. Kazi za Diwani na Mbunge zitaonekana hapo Mto ubungo darajani ni Chuo cha Maji kuna takataka zinajazwa mtoni. Pamoja na GVt kujenga mawe ya kuzuia mmomonyoko, mfuga ng'ombe hapo anatupa nyasi mtoni anajaza taka na uchafu wa kinyesi-Dengue na sasa Zika mbu huyo huyo Aedes anasababisha magonjwa hayo (ni Vector). Biashara zimejaa njia za kupita kwa miguu na mto unachimbwa mchanga unamomonyolewa. Hizi grassroots work ni za hao vikao na wananchi wao elimisha tumia watumishi ugani tuone wameondoka kukaa katika maeneo hatarishi. Kinyesi uwani na watoto wanateseka na pombe kucha-elephantiasis, dengue, Zika. magari kupaki njia za miguu wenyewe wanakunywa pombe wapitaji tunateseka tunapishana na daladala, bajaji, pikipiki zinatukwangua!! Hatujawaona kuwajibika bali kelele tu bungeni na lawama kwa GVT!!
--------------------------------------------
On Sat, 30/1/16, Salim Khatri <skhatri@orcis.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 30 January, 2016, 14:14

Mazuri
kwenye hilo jimbo yamefanywa na serikali ya CCM na mabaya
yaliyobaki alaumiwe Mnyika na madiwani wake? Sielewi
kabisa!
Salim.
On Jan 30, 2016 13:36,
"Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 













Kafanya nini mnyika? Maji visima vya boreholes ni vya
Dawasa/Dawasco Kibangu na kuna Water User Association (WUA).
EPZ -viwanda eneo la uwekezaji ni ya Serikali ya CCM-TZ;
Mabweni ya branch ya UDSM wanafunzi wanakaa huko Ubungo
Kisiwani ni serikali ya CCM. Huko wananchi wanawauzia
chakula, kuwapangisha wengine biashara imepanuka toka
wanafunzi awwe huko na wanakodiwa daladala biashara imekua.
Campus hiyo na EPZ area imefanya watu wajenge majumba ya
kupangisha, mahoteli, lodges yamejengwa za magorofa. Wageni
wa EPZ wanakaa huko.



Mji unabadilika watu wanauza maeneo wengine wanajenga
maghorofa wao wanahamia kando ya mto na kuziba barabara
haipitiki. Nyumba 10 kwa mwanga zinaingia/kupasuka kuta na
kuanguka mtoni. Wamehamishwa Buguruni suatter area
wamepimuwa plots medium density Ubungo makuburi. Nyumba za
NHC za Mburahati wameuziwa na wameuza wamevamia mabwawa ya
kinyesi ya mambiko kama wale walioboreshewa kinondoni
Mkwajuni (Hannanasif) wakahamia Sunna (jagwani bondeni)
wakapelekwa Mabwepande wakauza wakarudi. Maji yakijaa
wanayaona mpaka darini. halafu hawaelewi hatari wanaendelea
kuishi. Wakibomolewa-noma, kesi mahakamani. lakini tyoka
Mkoloni mabonde hayakujengwa wala NHC zilipojengwa
magomeni, Jangwani, Kariakoo, Kigogo Mission Quarters
hazikushuka mto msimbazi. Hata walipojenga majengo ya RC
Msimbazi hayakuingia mtoni wala za Mchkichini kuingia
bondeni Yanga area. Wao wameuza halafu wapo bondeni na hapo
Fire DSM wapo wanavuka mtu wanajenga nyumba wamezungukwa na
maji ya kinyesi. Wanafanya hivyo hapo fire kushoto ukitoka
mataa kuingia jangwani serikali na viongozi wanaona karne
yote. Nini huko ubongo-DSM yote.



Miradi ya Mipango miji ya kupima viwanja Ramani zipo mpaka
Aerial Photos na physical Photos. Sasa fika Sinza uone kama
zile barabara zipo-wameziba wameweka viosk, gates za nyumba
na magari. Moto ukiwaka zima moto haina pa kupita. Mji wa
DSM kote kulikopimwa kupo makorokoro. Wanajua
wabomoe-hawabomoi wanaangalia tu. Likiingia Sinza Tinga
Tinga-makelele.



Jangwani karibu na Ofisi za Zima moto, Upanga, Mnazi
mmoja-Mtu anaamua tu nyumba ya Msajiri/NHC anaweka kuta
anaweka gate na kuweka yard ya magari. anaongeza kuta
anaweza paa na kujaza bidhaa! Eti umempangisha mtu nyumba
yako unamkuta amebadili design ya nyumba na kuongeza vyumba
humuulizi? NHC inaona nyumba zimebadilishwa design hizo za
maghorofa wapangaji wamefanya hivyo. watoto hawana pa
kucheza michezo yao kote ni yard za gari, maduka ya matairi,
restaurants, Stationeries shops ertc-WHY? Maana yake hata
maeneo ya nyumba za police kuweka bar ndio tija ofisi ipate
pesa! Baa jirani na Kituo cha Police Mtaji wa kituo hicho?
Uvamizi si utatokea kwa urahisi? Ni ni hayo majumba ya
police kaone pale Ubungo/Urafiki-magodoro, maguo
yananing'inoa hovyo juu ukutani, maduka ya biashara
kuongeza kipato waliyoweka wakazi-hata nyumba za police? Si
wabaya watatumia nafasi hiyo kuja kuripua anakuja kunywa au
kununua bidhaa analewa mpaka usiku wa manane anasoma picha
hapo! Tunaona vinavyoendelea lakini tu vipofu-tamaa na Siasa
zimetawala!



Vilivyofanywa na serikali vilivyo vizuri na vya maendeleo
tuvisifie sio lawama tu. Kama kuna EPZ, Viwanda -NIDA,
magodown ya bandari kavu etc jimboni; kuwepo barabara mpya
Buguruni-Ubungo-Mwenge pana ya pande mbili na haikuwepo
zamani; barabara ya Mwenge-Tegeta-Kawe;Kimara-Mbezi na Bus
Stations mpya; Jengo na kituo cha mawasiliano na other GVT
Institutions na UDSM inayozidi kukua na kupanuka majengo
mpaka Changanyikeni-Makongo kutanukia Msewe yanaonekana;
Mlimani City under UDSM na Investors (PPP) haikuwepo zamani
watu wakikabwa na wanafunzi kubakwa wakikatiza hapo kutoka
Sinza kwenda mlimani primary school. Sasa kuna mpaka houses
za kupangisha kwa $ hapo survey; Maduka ya kununua kila aina
ya kitu Mlimani City, Banks nyingi, Maduka ya Dawa, Nyumba
za Cinema, Hall mikutano na Sherehe nyinginezo, michezo ya
watoto mlimani city, vituo vya mabasi-Hii yote UKAWA
hawaioni kama ni maendeleo na vijana wao wamejaa hapo kutwa
Samaki Samaki wanalamba pombe na vitafunwa na kumaliza fedha
za mikopo za GVT katika vileo na kuusaka Ukimwi. Kaleta
Mnyika vyote hivi au ni ktk Plan za Serikali ya JK na sasa
ya JP?



Majumba ya Ghorofa ya JWTZ Mwenge Makongo na maduka ya
kuwauzia vifaa nasi tunakwenda kununua mafriji hapo. Bado
hayo matrekta hapo Mwenge na barabara poa ambapo ukitoka
Mwenge Kwenda kwa Mdee unapita barabara safi. Ukitupa chupa
tupu au ganda la ndizi kutoka ndani ya daladala-mtashushwa
wote msote mloweshe chupi zetu kwa haja zitakazowatoka mpaka
apatikane aliyerusha afyeke majani na kumwagia miche maji.
Mtafagia na kubebeshwa mpaka mizoga ya mbwa waliokufa kwa
kugongwa na gari. Barabara safi pamoja na open water
drainage system yake hakuna viroba vya takataka. Katiza njia
na gari au bajaji, bodaboda usimamishwe na uambiwe ukanyage
eksereta yako mpaka mafuta yaishe uunguze engine! Kisha
umwagie maji miche yote na udeki barabara kwa shati lako!



Nidhamu kujengwa TZ-wape JWTZ ndio wataweza. Tukiachiwa hivi
hivi-tutarudi nyuma miaka 40 kwani hata hii Kazi ya usafi
tunafagia leo kesho tunatupa humo humo tena na mafuriko
yanatuathiri kama kawa lakini hatuoni wala kubadilika!



Leo mabarabara ya lami raha tupu kuanzia Ubungo Mawasiliano
hadi Mlalakua, Mwenge ni vileo/Bar magari juu ya njia za
kupita kwa miguu watu wanalewa kutwa mpaka manane kutokana
na barabara pande 2 kuwa za lami na Plots za Sinza (surveyed
area) watu wanauza majumba yao maghorofa yanasimama.
Kungekuwa hakuna barabara ya lami na maendeleo hayo huko
kukiitwa Sinza Machinjioni (Urafiki-Sinza makaburini) na
Sinza ya Petrol Station (ya Mlimani City) tungeona maghorofa
hayo mapya kwa sasa? NBC Ubungo na Ubungo Plaza violikuwepo
na kituo cha mabasi ya kwenda bara si kilikuwa mbananoni
Mnazi mmoja/Liya Street? Laumuni lakini serikali na uongozi
wa Chama tawala cha CCM wamefanyakazi!!



Waacheni akina Mnyika na T.Lissu wabebe vitabu vya sheria
wakabwate tu Bungeni. Ipo siku wananchi watachoka na wao
kuingia na kutoka kwa vurugu-watafanya kitu cha hasira ktk
kuwaelimisha kuwa-tumechoka!! Twataka maendeleo sio kuzozana
tu bungeni na kutoka nje daima kususia majadiliano au
vikao!! Kuwe na uwezekano wa kutofautisha wale wa kubwata
vijiweni na wa kubwata bungeni ambako bunge ni chombo cha
kutunga sheria, kupitisha mipango na kuisimamia serikali.



Kama Kawa



--------------------------------------------

On Thu, 28/1/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
wrote:



Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote,
watendaji wote lakini barabara hazipitiki

To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>

Date: Thursday, 28 January, 2016, 15:03



Burudani za

watanzania bwana. Hao wanaoishi eneo lile kelele nyingi

wangapi wamelipa kodi halali ya jengo na aridhi kwanza.



Hivi kama hamlipi kodi mbali mbali serikali itawaleteaje

maendeleo?



Ifike mahala tuwe na kodi halisi hizi za sasa viini macho
na

zinaumiza mwananchi na hazijulikani ziendako.



Halafu mmejenga barabarani mkivunjiwa mnataka malipo. Je

mlipojenga mlipata vibali?

On Jan 28, 2016 04:30,

"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

wrote:

Kati ya

abunge wazuri wqanaofanya kazi zao hapa Tanzania mmojawao
ni

Mnyika. Kjazi za mbunge ni kuisimamia serikali ifanye
hayo

ambayo sasa tunamdai Mnyika. Tumfuatilie kama kweli

haisimamii serikali. Tunajua wote alivyoshupalia swala
la

maji. Nidyo kazi yake haswa.



--------------------------------------------



On Tue, 1/26/16, 'mohamed mnzava' via Wanabidii

<wanabidii@googlegroups.com>

wrote:







 Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani
wote,

watendaji wote lakini barabara hazipitiki



 To: "wanabidii@googlegroups.com"

<wanabidii@googlegroups.com>



 Date: Tuesday, January 26, 2016, 10:50 AM







 Tatizo la



 huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua
masuala

ya



 Kimsingi kt jimbo lake, . . . . .  hata Upande huu wa

Mbezi



 kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko  .
.

.



 . . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya

biashara



 binafsi nk. . . . . .  Kama kawaida yake, tutamuona

tena



 baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna
uchaguzi



 unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . .

mimi



 sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa

anawajibika



 kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi wote















    On Tuesday, January



 26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via

Wanabidii



 <wanabidii@googlegroups.com>

wrote:



















 Mim ni



 mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana

jinsi



 barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja



 anaiangalia.



 Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.



 Haipitiki kabisa.



 Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala

Mbezi



 Mwisho



 kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa

zaidi



 ya masaa 3



 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia
kutokana

na



 ubovu wa



 barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida

sana.



 Maji



 tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei.
Tunauziwa

lita



 1000 sh. 15



  hadi elfu 20.



 Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni



 jimboni







 Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.







 Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo



 tayari kuchangia.







 Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.







 Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.







 Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni



 jipu.



  Rudi



 jimboni saidia wananchi



 jf



















 --







 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







  







 Kujiondoa Tuma Email kwenda







 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

Utapata Email ya



 kudhibitisha ukishatuma







  







 Disclaimer:







 Everyone posting to this Forum bears the sole

responsibility



 for any legal consequences of his or her postings, and

hence



 statements and facts must be presented responsibly.

Your



 continued membership signifies that you agree to this



 disclaimer and pledge to abide by our Rules and



 Guidelines.







 ---







 You received this message because you are subscribed
to

the



 Google Groups "Wanabidii" group.







 To unsubscribe from this group and stop receiving

emails



 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.







 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.























 --







 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







  







 Kujiondoa Tuma Email kwenda







 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

Utapata Email ya



 kudhibitisha ukishatuma







  







 Disclaimer:







 Everyone posting to this Forum bears the sole

responsibility



 for any legal consequences of his or her postings, and

hence



 statements and facts must be presented responsibly.

Your



 continued membership signifies that you agree to this



 disclaimer and pledge to abide by our Rules and



 Guidelines.







 ---







 You received this message because you are subscribed
to

the



 Google Groups "Wanabidii" group.







 To unsubscribe from this group and stop receiving

emails



 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.







 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.







--



Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







Kujiondoa Tuma Email kwenda



wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







Disclaimer:



Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

for any legal consequences of his or her postings, and
hence

statements and facts must be presented responsibly. Your

continued membership signifies that you agree to this

disclaimer and pledge to abide by our Rules and

Guidelines.



---



You received this message because you are subscribed to
the

Google Groups "Wanabidii" group.



To unsubscribe from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.











--



Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



 



Kujiondoa Tuma Email kwenda



wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya

kudhibitisha ukishatuma



 



Disclaimer:



Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

for any legal consequences of his or her postings, and
hence

statements and facts must be presented responsibly. Your

continued membership signifies that you agree to this

disclaimer and pledge to abide by our Rules and

Guidelines.



---



You received this message because you are subscribed to
the

Google Groups "Wanabidii" group.



To unsubscribe from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.







__._,_.___










Posted by: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>





Reply
via web post


Reply to sender


Reply to group

Start a New
Topic

Messages in this
topic
(3)
















Visit Your Group







• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















.







__,_._,___

















--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment