chenge aka joka la makengeza ni mpiga dili na fisadi mkubwa. ni jambo la kusikitisha kushuhudia wanaCCM wakitumia uchama kumpa chenge uenyekiti wa bunge ili asaidie kuivuruga serikali ya magufuli. hizi siasa za uchama zitaipeleka nchi kuzimu. hivi fisadi chenge siku hoja inayomhusu (wizi wa fedha za rada) itakapoibuliwa upya bungeni huku yeye akiwa ndiye mweneyekiti wa bunge hiyo hoja itajidiliwaje? CCM acheni unafiki wenu jamani, mtaipeleka hii nchi kuzimu!
--------------------------------------------
On Thu, 1/28/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] KUTELEKEZA BUNGE: HILI KALIFANYA KAMA CHENGE AU KAMA MWENYEKITI
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: mabadilikotanzania@googlegroups.com, kofiabaya@yahoo.com
Date: Thursday, January 28, 2016, 11:13 PM
Andrew Chenge Mbunge wa Bariad
anafahamika kwa mengi. Moja ni hili la kumuunga mkono Edward
Lowasa katika kuwania uchaguzi na haijulikani kama kweli
haungi harakati zake kuidhoofisha serikali ya magufuli.
Kituko alichokifanya bungeni nakitilia mashaka.
Kwanza alimbana Zitto asome kanuni licha kuwa uzoefu Mbunge
akitaja namba ya kanuni basi anaendelea mbele.
Baada ya kuahirisha Bunge na kurudi akatangaza uamuzi wa
kamati ya uongozi rabxha zilitokea Bungeni.
Kitendo cha kuondoka Bungeni na kuliacha Bunge bila kiongozi
kinanitia mashaka.
Hivi alitegemea nani adhibiti mambo kama kiongozi ametoka?
Hivi hilo liliendelea kuwa Bunge au ni ukumbi tu uliojaa
wabunge?
Kama ingetokea wabunge wakamkwida kabari askari akafa kesi
hiyo ingekwenda mahakamani au la?
Alikuwa anawaza nini wakati yuko nje ya Bunge na Polisi
wakiume wakiongozana na Mbwa wako bungeni kuwavuruga wabunge
bila kanuni za kipolisi ambazo zinaelekeza mwanamkde
kushughulikiwa na polisi wa kike?
Kama hakuna maelezo yakinifu ni lazima kuwa na Busara:
1. Busara ya kuona kama Chenge anastahili
kuwa Mwenyekiti wa Bunge au anastahili kupumzishwa.
2. Busara ya kuona kama Speaker anaweza
kuwaomba watanzania radhi kwa kile walichokiona.
3. Busara ya kuahakikisha Bunge halitumiwi
na wakwepa kodi, wauza unga na mafisadi wengine ambao
wameanza kuathiriwa na serikali hii ya awamu ya tano
4. Busara pana ya kuhakikisha watanzania
wanakuwa wamoja na kuwa na Rais Mmoja na kuondoa dhana
inayoonekana kwa wasiovaa miwani ya mbao ya kuwa na marais
wawili (1) rais wa Watanznia na (2) rais wa wanaCHADEMA.
Kuna maelekezo maalum yanatolewa kuwagawa watanzania licho
ya Juhudi za Rais magufuli kuwaunganisha watanzania.
Maelekezo kama 'madiwani wa CHADEMA hawatafanya kazi kama
wa CCM etc. Juhudi za kukazana kuwatetea wakwepa kodi kuwa
hawakutendewa haki bila kujiuliza kama wao walitumia
taratibu wakati wanakwepa kodi. Juhudi za kutaka kuibebesha
mzigo serikali kwa kutekeleza sheria ikiwa ni pamoja
kuwahamisha watu waliomabondeni licha ya kuwa mafuriko
yakija ni serikali itakayolaumiwa kwa kuwaacha bila msaada.
Tusisubiri haya madogo likaonwa na kila mtu.
Elisa Muhingo
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment