Friday, 29 January 2016

Re: [wanabidii] Re: Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?

Magobe;
Kila jambo lina pande mbili,hakuna kitu chenye uzuri tuu hakina upande wa hasara.
Labda tujadili manufaa na hasara za suala hilo then tuone wapi Taifa litafaidika.
 
Reuben

On Friday, January 29, 2016 6:10 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Kuona kitu live kunasaidia pia kufanya connections. Lakini tukipewa vipande vipande vya habari za bunge ina maana tutakosa kufanya connections na hatutajua context ya jambo lenyewe ilikuwa ni nini. Of course, kwa serikali kutunyima fursa hii itakuwa imefanikiwa kwa kutimiza lengo lake (inalolifikiria), but certainly kwetu sisi wananchi tutakuwa hatujatendewa haki kabisa! Huku kufichaficha mambo (lack of transparency) is not a sign of good governance. It's just domestication of the people.

2016-01-29 17:54 GMT+03:00 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Muhingo;
Hapo ndipo tunashaka ya kuwepo editing
 
Reuben

On Friday, January 29, 2016 4:10 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Tuelewe kuwa bune huanza saa tatu hadi saba asubuhi na kumi na moja jioni mpaka mbili usiku. Hii itaonueshwa kwa muda wa saa moja yaani saa nne mpaka tano. Haiwezekani ikaonyeshwa yote.
--------------------------------------------
On Fri, 1/29/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 29, 2016, 9:35 AM

Johannes;Tofauti
hiyo ipo katika ladha tu,lakini haipotezi maana ya
ujumbe/tukio.Ni sawa na
mtu anayesoma gazeti la jana,habari ni ileile na kama hakuwa
ameipata kabla upya wake unabaki pale pale.Nakuunga
mkono katika suala la kama inarekodiwa halafu inarushwa
baadae,itachukua kiasi kile kile cha muda pengine hata
malipo,hivyo haina maana yoyote.
 Reuben
 
    On Thursday, January
28, 2016 5:54 PM, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
 
  Mhhh!
Mawazo mengine bwana!! Duh!
LKK                  
                                       
    On Thursday, January
28, 2016 5:41 PM, 'mohamed mnzava' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
 
Agenda ya
SIRI ni kuwa wabunge wengi wamekuwa wakitumia TELEVISHENI
kama ndio uwanja wao wa siasa na kujulukana, ni wazi kuwa
kuna wabunge ambao ndio vinara wa kusema, kuchangia au
kuhoji kila kikao cha bunge, mara nyingi ktk kila Hoja na
Agenda zinazo wasilishwa bungeni . . . .  . .
 wabunge
wa aina hii wamekuwa wakitumia TELEVISHENI kuwa ndio ulingo
wa bure na wenye upana kuonekana, kujulikana na
kujipendekeza kisiasa, . . . . aina hii ya wabunge
hawaonekani ktk kutatua matatizo ktk majimbo yao, wao ni
kulumbana zaidi ktk TELEVISHENI na wakiamini wataonekana
kuwa wana hoja za kusaidia Taifa, . . . . kutoonekana kwako
kunaelekea kuwatatiza na kuwapunguzia wigo wa
kujitangaza  

    On Thursday, January
28, 2016 5:23 PM, Johannes Solar <jp2solar@gmail.com>
wrote:
 
  Alafu watu tutofautishe
hivi vitu na tuone umuhimu wa Haki ya Kupata Habari...!! Ni
aibu kuwa wananchi wanaotakiwa kujua serikali yao
inavyojiendesha ndo hao hao wanaokataa wasipewe habari...
Jamani kunatofauti kati ya RECORDED na LIVE!!

On Wednesday, January 27, 2016
at 9:20:32 PM UTC+3, mpombe mtalika wrote:Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza
muda kujadili hili swala. Kwa
wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali
imesema inataka
  kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga
mkono.

Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na
mimi
naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na
kutuonyesha
  baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri
ambazo
wengine hatuzijui?

Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya
nchi
zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu
saa mara moja
kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa
sita na nusu.
  Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi
kinaitwa PRIME
  MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala
muhimu na dharula
  na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu
kinaitwa TV
LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki
zaidi ya
kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi
tunalipa in
  direct.

Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato
zaidi na hata
waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni.
Hapo kuwe na
  kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.

Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS
KASEMA AWAMU
YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA
MAWAZIRI
KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE
COVERAGE YA
BUNGE.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment