Monday, 1 February 2016

Re: [wanabidii] Je kuna Andrew Chenge Wawili??

Lakii Chenge anaweza kuwekwa na muungano wa wabunge kugoka UKAWA na CCM wanaoungana nyuma ya mtu fulani kwa makusudi ya kuimarisha mtandao wa mafisadi ulioanzia richmond
--------------------------------------------
On Sun, 1/31/16, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Je kuna Andrew Chenge Wawili??
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, January 31, 2016, 3:24 PM

Change yupo
kwa sababu ya ujinga wa wabunge wa ccm si vinginevyo, kwa
sababu wapinzani hata wakimpinga ccm watatumia wingi wao
kumsaidia fisadi mwenzao
On Jan 31, 2016 10:39 AM,
"'mashakamakana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Hakika mko sahihi tuachilie mbali ushabiki wa kisiasa hapo
wabunge na wananchi wa jimbo waliompigia kura. Au ndiyo
u_cheef kwa tafsiri ya uchawi!? Hivi enzi zile za spika
samweli sita kuna mh. fulani alionekana ktk kamera usiku
akifanya mambo ukumbi wa bunge! <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Wabunge wote hasa waliompigia Fisadi mkubwa Andrea Chenge 
kura kuwa mwenyekiti wa  Bunge thinking capacity yao ni
ndogo sana. Shame on them!

Magwayega (Advocate).

On Saturday, January 30, 2016 10:54 PM, 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Chenge! Chenge! Chenge. Aibu ya taifa hili. Najua kuwa maoni
ya Lugamba yanasomwa na wengi humu. Hutegemei watu wenye
akili wanyamaze bila kujisahihisha. Natamani wamuombe basi
ajiuzuru uenyekiti kama hawawezi kumuadibisha. Kweli
Chenge  ni aibu ya taifa. Jamani tuhuma juu yake sio za
kufumbia macho. Hapana.

--------------------------------------------

On Fri, 1/29/16, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Je kuna Andrew Chenge Wawili??

To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Date: Friday, January 29, 2016, 8:53 PM

Ameshindikana huyo, ni mzee wa

dili

On Friday, 29 January 2016, Abel Lugamba <lugamba2001@gmail.com>

wrote:

Nianze kwa kukiri ujinga, kwamba sijui lolote

kuhusu namna bunge linavyo pitisha maazimio yake, na
kwamba,

je ni kwa kuzingatia "facts" au

"feeling" na kama maazimio yakisha pitishwa na

bunge huwa na maana kwa muda gani? Hii imetokana na mimi

kushindwa kuelewa mantiki na Wabunge wa CCM kumchagua
Chenge

yule yule waliyemfukuza kwenye uenyekiti wa kamati ya
Bunge

ya Badget na ndani ya halmashauri kuu ya CCM, akaitwa na

tume ya maadili akagoma kupitia mahakama kuu, baadaye

akashindwa na kutakiwa kuhojiwa, je alihojiwa lini na

kuonekana hana hatia? Kama bunge lilipitisha azimio la
yeye

na wenzake kuvuliwa madaraka kwa kujipatia 1.6Bilioni za

Escrow, na kwamba ilikuwa kinyume cha maadili. leo je,

maadili si kigezo kwa viongozi wa bunge hilo hilo?? ni
lini

walimsafisha na kutengua yale maazimio??

Nawasilisha

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

for any legal consequences of his or her postings, and
hence

statements and facts must be presented responsibly. Your

continued membership signifies that you agree to this

disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the

Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

for any legal consequences of his or her postings, and
hence

statements and facts must be presente

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment