Monday 29 February 2016

[wanabidii] Wamtaka Mbowe akanusuru mpasuko

Uchaguzi umekwisha badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua wameshaanza figisufigisu, ikifika 2020 watasema wameibiwa wakati hawana mikakati wala sera za kuwahudumia wananchi katika majimbo na kata walizoshinda

[​IMG]

0 comments:

Post a Comment