Buguruni ni soko tegemewa sana sana. Watu wanatoka Tegeta na kila kona kwenda kununua vitu jumla hapo kupelega vigenge vidogo. Bado Tandale nalo uozo kibao wa takataka. pamoja na kuwa kuna uongozi wa soko, ukusanyaji ushuru kwa kutoa% halmashauri na kiasi za management ya soko-bado mambo ya usafi utata. Uzoaji takataka muda mrefu upo decentralized chini ay PPP na kutoa ajira kuondoa mzigo wa kazi hizo kwa halmashauri. Wakati umefika sasa aidha kukataa sera na mashartyi ya world Bank turudishe Citu na Municipalities ziunde kampuni kama vile ilivyo DAWASCO (for DAWASA) zisajiriwe, ziajiri watu, zilipe mishahara na bima zao na kadi zao za afya wafanye kazi. ILO ipo iwasaidie kuwa na good organization ya kazi. Hii PPP haifanyi kazi vizuri kutokana na utapeli wa mikataba na wakandarasi wa kuzoataka wadanganyifu na viongozi fisadi. Uongozi wa masoko walaji/mafisadi kutoa tender kiurafiki kwa makampuni yasio uwezo. Utoaji ajira kwa wazoa taka na wafagizi-makampuni binafsi huonea na kulipa mishahara midogo na kidhuluma na hawana protective gear wala wakiumwa hawawatibii. taka zinalimbikizana ila wao viongozi vitambi vinakuwa kama taka zinavyozidi kujazana. Matumizi ya vyoo vya kuvuta-hayatufai. watu wanatia karatasi wanazojipangusia kuweka na taka ngumu zinazokwama na maji hakuna repair ya vyoo utata. Mabomba yanayovuja repairs hakuna maji yanajaza septic tanks na hawanyonyi kila mara matanki yakijaa. Ikiwa connected kwenye sewerage system-watu wa soko wanatupa taka ngumu kwenye manholes na kama mifuniko ya chambers imeibuwa maji husoa taka kumu na kuingia humo mfuniko wazi na kublock maji yasiende huko underground. Hizo taka za sokoni zingechukuliwa na vijana kutengeneza compost na kuwauzia wananchi, taasisi kuweka katika bustani zao za maua na walima michicha na mboga nyingine mijini. Wengine wangetumia taka za soko kutengeneza bio-gas. Tupo hatuna ajira lakini akili zimelala.
Kama soko ni chafu hivyo usemavyo Cathy-Jipu lipasuliwe, uongozi ufanyiwe auditing na kisha waovu waondolewe na mafao yao yalipe gharama zote za kukarabati miundombinu ya soko. Ikiwezekana wamuombe Mr Mchechu ajenge masoko yawe ya kisasa isiwe kama yalivyo sasa mfano lile la Mabibo near TGNP-ni kinyaa structure yake la Mwenge (aibu tupu) Tegeta etc. Kisha kila soko kuu kiwilaya liwe na gari kubwa la kuzoa taka badala ya kulipa wakandarasi feki. Soko dogo mufumo wao uwe na size ya kati ya gari taka ngumu. Kila Municipal iwe na gari kubwa angalau 2 za kupakua vyoo na maseptic tank ya soko na iwe chini ya uongozi wa masoko ya municipality haya taka maji. Hii itawashikisha adabu na kuwafanya private sector wabadilike kwani private sector yetu bongoland ni vibaka kama public sector. Wazungu hawakujua hili walidhani ni efficient na effective kama zile zao. Huku ni kinyume chake. Ndio maana kuna zari na wakandarasi kutengeneza majumba yanaanguka, barabara zinakatika, ile ya Mlandizi-Ruvu-Chalinze kwa gari utadhania upo ndani ya boat ya kienyeji unatoka Dar to Mafia. Gari inayumba kuruka matuta na vichuguu hatari tupu ni hatari kwa ajali.
Pamoja na kutoruhusu kushusha matunda, kuleta nyama-vitu hivyo vitauzwa tu nje ya miji/masoko ktk vigenge na vituo vya magari hayo. Issue kuu ni sisi kubadilika ktk tabia zetu za usafi popote tunapokuwa na katika shughuli zetu zote. Tuitajengaje tabia ya usafi? Mbona hata ukiwa mazingira ya vyuo vikuu unakuta mapipa ya taka ngumu yapo ila kote upitako kuna vibox walionunulia na kubebea chips, chupa za plastiki zimezagaa, makaratasi etc; vyooni kuna chupa za plastiki imekwama ndani ya WC na taka ngumu kufanya maji yafurike mengine yanavuja kutoka ghorofa la juu kuja chini kwa miezi na kila vikitengeneza-wanatupa tena milembe na makorokoro mengine vinakwama na kufurika. Inzi, mbu kama kawa. Mifereji mikubwa sana ya bunguruni mnyamani imekuwa dampo la takataka (world bank funded). Bado ile ya Ubungo Mwenge-majani, viroba vya taka na makorokoro mengine kibao. Pembeni hapo magari yamepaki watu wanywa bia, nyama choma kama kawa.
Kipindupindu cha kuzuilika ni hivi kinakuja na kurudi kila wakati na sasa ndio kinatoa hasira zake za kuchindwa uchaguzi na kushindana na mikakati ya 'Hapa Kazi tu!!", Dengue ilitulamba miaka ya karibuni, Ebora ikiingia itakuwaje? Na sasa ndio kuna Zika virus wakuleta watoto wa vichwa vidogo na kuharibu ubongo wa binadamu na unakuja na huyu mbu Aedes aegypti anayeleta Dengue pia. Kwa sasa tunashughulikia watoto wenye Vichwa Vikubwa na tupo jirani na chanzo julikana wa Zika (Zika forest near Lake Victoria, Uganda. The virus was first found in a monkey there in 1947). Sasa upo nchi nyingi kiazi duniani. Nasi tu wasafiri na kwa kuficha wahamiaji haramu ni hodari na tuna madigrii hayo.
Ingefaa- Elimu nyumba hadi nyumba ianzishwe na kuboreshwa kama ilivyokuwa wakati wa Baba wa Taifa-Mtu ni afya campaign, kwenye elimu ya wafanyakazi-kila jumatano na jumamosi, elimu ya mgambo-wote kuelimishwa. Mbona Tanesco wanapita nyumba hadi nyumba kuangalia masuala yao ya umeme. Wizara ya Afya na halmashauri zake zinashindwa nini? Kampeni za TV na Radio-hazitoishi. Weka vikosi elimishaji kila kona.
Lakini kama tulivyo wapongo-tuwe waangalifu na tuweke tahadhari-vibaka, matapeli watashona hizo sare za waelimishaji, kuweka vibandiko na kuingia majumbani kupora watu kwa nembo ya waelimishaji umma. Cheza na bongoland wewe!! Daktari feki anaingia na kutoa huduma mpaka Referral na Regional Hospital! Nini majumbani Tanesco, Dawasa na vishoka wauelimishaji feki? Watakuwepo tu. Ukimpata-mwonyeshe katika vyombo vya umma aina yote aaibike kisha funga gereza la kilimo akalime sana huko miaka sio miezi maana atakuwa analima na kujilisha mwenyewe!!
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Tue, 26/1/16, 'cathysungura' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 26 January, 2016, 8:15
hali
ni mbaya,nimepita soko la matunda la buguruni asubuhi
hii,huwezi ingia mana maji machafu yanatiririka toka
ndani.wauza matunda wenyewe wanaogopa hali ile,wanasema
wamepewa siku tano toka jana wasishushe mzigo ili soko
lisafishwe,Mungu atusaidie
Sent
from my Samsung Galaxy
smartphone.
-------- Original message --------
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:26/01/2016 6:50 AM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc:
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
Si umeona Cathy Morogoro inavyoongoza kwa Kipindupindu
(Chibiduke) lakini wakapambana na police waliokuwa wakizoa
biashara zao zilizokuwa zikiuzwa kihatarishi? Si bado
tunaona vyakula wazi na tunanunua na unakuta wanakula hapo
hapo inzi zikipepewa? sasa sijui tuache wafu wazike wafu
wao?-Kutokupokea wagonjwa wa kipindupindu hospitali ajitibie
mwenyewe au abaki huko alikoutoa? Kufanyike nini kama kabati
hata liwe na wavu na mfuniko-kuzuia inzi na upepo unaingia
joto lisiozeshe-bado muuzaji anafunua mfuniko na kupepea
inzi. Kufunika anaona watu hawataona bidhaa yake pamoja
na kuwa alipokaa ni pa wauza samaki mstari mzima, pale
vitumbua, pale nyanya. Akiwa na kikabati cha kioo mtu anaona
bidhaa zilizo ndani-bado anawacha wazi pia mfuniko wake!
Mtanzania-umfanye nini? Maji ya kuchemsha-yana ladha mbaya!
Hakuna kuni, mkaa wa kuchemsha, vyombo vya kuhifadhi
maji-lakini beer, viroba vinanywewa daily. Mungu atusaidie.
--------------------------------------------
On Mon, 25/1/16, 'cathysungura' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
To: "'Hildegarda Lucian Petri' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
"nsachrism" <nsachrism@yahoo.co.uk>,
"MAHLEHLA, Eugene Tebogo"
<mahlehlaeu@who.int>, shaibundeja@gmail.com,
nufairaalex@gmail.com, "First name alex Chibunu"
<adchibunu@yahoo.com>
Date: Monday, 25 January, 2016, 16:55
Sent
from my Samsung Galaxy
smartphone.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment