Serikali iombwe iiweke barabara ya Mbezi-Makabe katika mpango mkuu wa barabara kubwa 4. Mbili za malori na mbili za abiria. Lazima kutakuwa na resettlement na compensation na kupima viwanja kuhamishia wengine. Barabara ya malori makubwa ya mizigo, kokoto mawe, mafuta petroli moja ya kwenda wazo hill na Bagamoyo na ingine kurudi DSM kwenda bara. Hizo 2 zisipite magari ay abiria ili kuepusha ajali. Barabara 2 moja ya kwenda ingine ya kurudi kwa mabasi ya abiria ya aina zote, gari ndogo, tazi, bajaji, bodaboda mstari wao. Ya kwenda na kuzuri zitenganishwe kupunguza ajali. Hii itapunguza foleni kutoka ubungo-wazo-Bagamoyo. Itoke barabara kama hivi Mlonganzila-Pugu Road-Kurasini-Bandarini. Ubungo-Kariakoo-Ubungo-Buguruni itakuwa foleni kwisha. Malori kutoka bandarini kwenda Moro-arusha na kwingineko mpaka nchi jirani mwiko kuingia mjini ndio yaende bandarini na kutoka. Wasomi wa barabara na ujenzi awpo sijui kwa nini hawaoni na kufanya mipango mizuri. Wanakwenda kusoma Ulaya, study tours lakini wakirudi ubongo una microcephaly.
--------------------------------------------
On Tue, 26/1/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 26 January, 2016, 9:55
Mim ni
mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana jinsi
barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja
anaiangalia.
Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.
Haipitiki kabisa.
Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi
Mwisho
kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi
ya masaa 3
barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na
ubovu wa
barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana.
Maji
tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita
1000 sh. 15
hadi elfu 20.
Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni
jimboni
Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.
Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo
tayari kuchangia.
Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.
Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.
Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni
jipu.
Rudi jimboni saidia wananchi
jf
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment