Tatizo la huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua masuala ya Kimsingi kt jimbo lake, . . . . . hata Upande huu wa Mbezi kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko . . . . . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya biashara binafsi nk. . . . . . Kama kawaida yake, tutamuona tena baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna uchaguzi unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . . mimi sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa anawajibika kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi wote
On Tuesday, January 26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mim ni mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa. Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.
Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboniMh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.
Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo tayari kuchangia.
Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.
Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.
Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni jipu.
Rudi jimboni saidia wananchi
jf
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment