Monday, 25 January 2016

[wanabidii]

Leo bunge la jamhuri linaanza na hotuba ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliyoitoa bungeni;

Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka UKAWA walitoka nje na kupuuza hotuba ya raisi.

Maswali;

Je wanajadili wanalolijua?

Je wanamtambua John Pombe Magufuli?

Je nini sababu ya kutoka nje?

0 comments:

Post a Comment