Saturday, 1 March 2014

[wanabidii] jarida la ishara laja

Wapendwa napenda niwajuze habari njema kabisa, tumekuwa tukipambana sana kuweka hewani habari za afya kupitia jarida letu l afya la ishara ambalo limepata usajili wake mwaka jana mwishoni kabisa, napenda sasa nitangaze kuwa tumekamilisha stories na hivi punde tutaliweka hewani week ijayo.Limeshen habari mbai mbali za afya na urembo na zimeandikwa na waandishi wa habari na wataalam mbali mbali waluiobobea katika fani ya afya(udaktari)
ni imani yetu kuwa watu watapata elimu sahihi juu ya masuala mbali mbali ya afya zao, tunaomba mtuunge mkono kwa kununua kopi, bei itakua ni sh 5000 na litatoka mara 2 kwa mwezi
karibuni sana
lesian Mollel
Meneja wa jarida
call me for your copy
0652 314181 kuanzia alhamisi

0 comments:

Post a Comment