Friday, 28 March 2014

Re: [wanabidii] mvua dar tishio

Miundo mbinu tunayojaza taka ngumu daima haitopitisha maji na huwa hatujifunzi mwaka hadi mwaka. Tunazama leo kesho tunaendelea kutupa taka ngumu mitaroni, kuziba mito halisi kwa kujenga kuta na majumba; kujenda mabondeni na kuziba mapito. Kiangazi nyumba zimezungukwa na maji machafu na mvua zikija ni balaa. Feeder roads katika maeneo yaliyopimwa zimezimwa kwa kujengwa viosks, kuweka garage na nvizuie vingine. hata mji ukue vipi na tuwe na elimu vipi, kama tabia za usafi, ulinzi wa mazingira hatuzingatii bure hata kama mitaro mipya itajengwa au maghorofa yatazuka kama uyoga. Mfano mzuri ni ile mitaro worldbank funded ya vingunguti-ni mipana sana sana na wananchi wanajaza mataka.

Ms Hildegarda Lucian Kiwasila,
Institute of Resource Assessment,
P.O BOx 35097 Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email: khildegarda@yahoo.co.uk
lphildegarda2009@googlemail.com
+255-22-2410144 Ext2422
+255762544553/754763803

On Friday, 28 March 2014, 18:05, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Kitu cha kwanza tunapaswa kukarabati sewage. Ujenzi wa ovyo ovyo pia umechangia hasa pale Tanesco Mikocheni.
em

Sent from my iPhone

On Mar 28, 2014, at 3:45 AM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

Mvua kubwa inaendelea kupiga/kunyesha maeneo yote hapa jijini, changamoto kubwa iliopo nadhani wengi tuishioa hapa twaijua, tuna miundombinu mibovu sana ya maji na bara bara kati kati ya jiji, kwa leo mjini kwenda ni tatizo kwani magari hayatembei na wale watembea kwa miguuu wawe na pesa za nauli ya ziada za kubebwa kuvushwa ktk madimbwi makuubwa.
hatar sana dar mvua ikinyesha, sjui maeneo ya mabondeni leo hali yao ikoje? sjui wale wafanyabiashara ndogo ndogo wanaopanga bidhaa zao chini, ni vurugu tupu mvua ikinyesha dar
nini kifanyike kuondoka kero hizi? serikali, wakaazi na wafanyabishara, nini kifanyikie, au tupeleke ktk bunge la katiba nalo hili maana sku hizi mtu akiibuka tu, oooh peleka Dodoma
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment