Saturday 29 March 2014

Re: [wanabidii] Kauli chafu za Mh Mwingulu Nchemba zinatia aibu na kichefu chefu

hapo ndipo tulikofikia kama taifa kuwa na viongozi wasiokuwa na hekima na maadili hasa chama chama mapinduzi ,inakuaje taifa lenye watu milion takribani 45 tuwe na kiongozi kama mwiguru nchemba

On Saturday, March 29, 2014 1:37 AM, "bmkinga@yahoo.com" <bmkinga@yahoo.com> wrote:
Namshangaa zaidi Rais aliyemteua Mwigulu kuwa naibu waziri.
Kwa mtazamo wa kawaida isingefikiriwa mtu kama Mwigulu, namna anavyojionesha, angeweza kuwa hata Mwenyekiti wa Kijiji. Labda Rais wetu anapenda watu wenye midomo michafu kama Mwigulu. Maana hata Juma Nkamia baada ya kutoa lugha ya matusi Mh. Rais akampa unaibu waziri.
Lakini kauli yetu wananchi ni kuwa tungependa tuongozwe na watu wenye maadili ambao ni mfano mwema katika jamii, kwa vyovyote siyo watu wa namna ya Mwigulu.
Bart Mkinga

From: ananilea nkya <ananilea_nkya@yahoo.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Kauli chafu za Mh Mwingulu Nchemba zinatia aibu na kichefu chefu
Sent: Fri, Mar 28, 2014 8:43:44 AM

Lakini kuna siku yeye mwenyewe na wanaolinda hizo kauli zake za kuangamiza taifa watajutia. Tusubiri .Time will tell.
 
On Thursday, March 27, 2014 6:30 PM, Charles Misango <misangocharles@yahoo.com> wrote:
Nilishasema zamani sana tena mara nyingi mno kwamba Mwigulu Nchemba hakustahili hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa! Huyu ingekuwa nchi zinazojali na kuthamini uhuru wa kweli, angekuwa jela kwa makosa mengi aliyotenda

On Thursday, March 27, 2014 9:09 PM, "lucsyo@gmail.com" <lucsyo@gmail.com> wrote:
Wadau,
huyu Mh ni mara nyingi nimekuwa namsikia na kauli zake za ajabu na chafu ambazo ni aibu kwa taifa letu na kwake kama mbunge, sielewi ni kwa nini kamati ya maadili  haimuadhibu ama kuna nini anachojivunia.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment