Monday 31 March 2014

Re: [wanabidii] MBOWE AUZA JIMBO CHALINZE, AMSHABIKIA MGOMBEA WA CCM

Do you have any evidence to your claims?
em

Sent from my iPhone

On Mar 29, 2014, at 1:18 PM, Nyabenda <jngama@yahoo.co.uk> wrote:

Viongozi wa juu was chadema walipigwa rupia, so . Hawawezi kukanyaga jimboni.
Sent from Huawei Mobile

Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Mbona taarifa za habari katika magazeti, TV mgombania wa Kimasai wazee wa mila walimuita aachane na kugombea. Chopa halijaruka hapo na kitu kingine labda waliona wengi watampa kura ridhiwani atapotesa hela na muda wake bure. Labda ndio maana wengine wanaona Mbowe kauza jimbo.

On Wednesday, 26 March 2014, 23:49, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Hii habari si ya kweli. Ben wa Saa Nane aliandika kwenye FB yake kwamba wapo Chalinze in full force 
em

Sent from my iPhone

On Mar 26, 2014, at 2:58 PM, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Siamini habari hii. Lakini kama ni kweli basi wasingeweka kabisa mgombea kuliko kumuweka na kumnyima ushirikiano wa kichama akasota peke yake wakati wa uchaguzi mdogo.
   Nina Mashaka sana na ukweli wa habari hii
On Mar 26, 2014 9:53 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Mimi siamini kuwa Mbowe amemshabikia Ridhwani. ameona mazingira na kuona iwe haki isiwe haki ushindi utamwendea. nafikiri kama hakuna siasa ndani ya oni hili basi kubaliana na maamuzi ya chama. nashangaa maana nilikuwa nawaza kuwa CHAADEMA wangeshairiwa wangeachana na uchaguzi huo si dalili ya kushindwa bali mbinu

On Wednesday, March 26, 2014 1:45 PM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
Nipo Chalinze, nasikitishwa sana na viongozi wa chama hapa wanaposema kuwa hatuwezi tukapoteza rasilimali zetu kwenye uchaguzi huu kwasababu eti lazima Ridhiwani atashinda. Makao makuu wamekataa kuwekeza kwenye uchaguzi huu kwasababu tu eti mbowe haamini kama chadema itashinda hapa.

Inauma sana inakuwaje jamani wanachalinze tunapuuzwa? au kwasababu sio kaskazini? Mbona ufunguzi wa kampeni za nasari ulirushwa live na ma TV? Wanachalinze tumewakosea nini chadema mpaka mtunyime hata chopa moja tuuu?

Mwenyekiti wangu Freeman Aikaeli Mbowe kwa hali hii mnawanyong'onyesha wagombea wetu. Inakera nainaumiza sana kwa mwendo huu ccm itatoka kweli? Au ni kweli yanayosemwa kuwa ushalipwa huna shida tena na sisi na jimbo letu?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment