Saturday, 29 March 2014

Re: [wanabidii] mvua dar tishio

ni kweli kabisa.Na bado wazo langu liko palepale tuanze sisi pale tulipo.Naamin huko tulipo wapo hao wahusika wakiona kila mtu anatii bila shuruti hawataendelea kutafuata allowances watafanya kazi kwani mazingira yatawaumbua.wenzetu kama Sweden utapendaje mazingira yao.kila mnawajibika hakuna kuongozwa na wahusika wanafanya kazi kwani akilala tu kazi hana.Miundo mbinu mibovu kwani hatuwajui wahusika je tumechukua hatua yoyote hata kama ni katika forum hii kupiga kelele jambo moja hadi lifanyike.Mbona TV magazeti,radio wanatumia taaluma zao na hadi wahusika wanasikia.Tuanze sisi.
Tuanze na hali ya hewa.

2014-03-29 11:06 GMT+03:00 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>:
Bila ya kuwa na nidhamu binafsi ndani ya akili zetu na utii wa sheria, miji itakua na itazidi kukuwa kama shunty towns, amkorokoro, planned buy will appear as if were unplanned. Kulikopimwa kote kulikokuwa safi kumenyooka, pipa za taka na mtu ni afya campaign kila jumamosi kaya za ubalozi kutoka nje kufanya usafi imekwisha. Mitaa ya magomeni, Mwananyamala, Kijitonyama imekwisha ni makorokoro. Sinza, Tangi bovu, mbezi tegeta-finito. Mto tegeta umezibwa mbezi kila mtu anaweka makuta mtoni maji yanazagaa hovyo na kuleta madhara. Mikopo ya World Bank ya mipango miji sites and services, ya mitaro ya maji ya mvua na majitaka; mabomba ya dawasa-kwisha. watu wanajenga juu ya mabomba ya maji safi na taka. Buguruni Mnyamani kuna mitaro ya kupita bus la abiria likazama-mipana ya kupitisha maji ya mto msimbazi na mito mingine midogo, wamejenga na ngazi za mawe na kokoto kuzuia mmomonyoko-watu ndio wamepata bwalo la kutupa taka. Mitaro ya kawe-imejaa uchafu wa taka ngumu. Tabia za uchafu, vinyesi vinajaa hadi darini kuhama hatutaki na maeneo hayo ni hatarishi na hata serikali ilipojenga nyumba za National Housing Corporation na Registrar of buildings haikujenga bondeni si huko Kigogo, Mchikichini, Magomeni, Salander Bridge.

Kwa nini sisi hatuoni na kusikia? Yanajaa kila mwaka hatuhami. Squatter upgrading imeweka mitaro na sasa ni shirikishi uboreshaji na nurasimishai makazi dar yote makazi sio rasmi na wananchi wanadharimia 20%. bado mitaro ikishajengwa na mafunzi wao wenyewe baada ya muda tu wanajaza takataka. wana mipango ya kuzoa taka ngumu ya mitaa lakinini bado mtu anatupa masanduku ya takamitaroni asilipie hiyo miatano na ni mfanya biashara ndogondogo anayeuza hasa mboga, mitumba, vyakyla etc. Wakipimiwa viwanja-wanauza wananunua mabondeni wanarudi mjini na kila mwaka maji ya kinyesi hujaa hadi darini. hao ya jangwani hapo ukitoka mataa upande wa kushoto ni maji ya kinyesi ya kuwapa maradhi ya ngirimaji na matende miaka hawahani na wameuza majuka kwa mamilioni/bilioni na anajenga hapo nyumba ya gharama kinyesini. Ni vitendo vya kutaka KURA-misifa ya vyama; kuwafanya Mawaziri wawe wabunge; ujinga wa wahusika kutumia visasi kumkomoa anayechukua hatua za kisheria ndio inatufanya tuwaangalie watu wanajenga na kuishi miaka katika maeneo hatarishi. Ni hivyo vijiji nje ya dar vinakuwa miji na watu wanajenga katika mapito ya maji serikali za mitaa zinaangalia halafu waje/tuje kulaumu serukali kuu.

Miji inakuwa nje ya dar bila mpangilio, njia za zamani za vijiji zinazibwa, mapito tanakosekana hataji inakuzwa. makongo, Changanyikeni, Msewe, salasala etc inakuwa kinyume na vijiji vilivyokuwa zamani kimpangilio sasa njia nyembamba, mbanano, frame biashara kila kona. Moto ukiwaka-balaa. Sisi waafrika tupoje sijui. Mpaka mzungu aje atupange!?

On Friday, 28 March 2014, 18:35, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
Miundo mbinu tunayojaza taka ngumu daima haitopitisha maji na huwa hatujifunzi mwaka hadi mwaka. Tunazama leo kesho tunaendelea kutupa taka ngumu mitaroni, kuziba mito halisi kwa kujenga kuta na majumba; kujenda mabondeni na kuziba mapito. Kiangazi nyumba zimezungukwa na maji machafu na mvua zikija ni balaa. Feeder roads katika maeneo yaliyopimwa zimezimwa kwa kujengwa viosks, kuweka garage na nvizuie vingine. hata mji ukue vipi na tuwe na elimu vipi, kama tabia za usafi, ulinzi wa mazingira hatuzingatii bure hata kama mitaro mipya itajengwa au maghorofa yatazuka kama uyoga. Mfano mzuri ni ile mitaro worldbank funded ya vingunguti-ni mipana sana sana na wananchi wanajaza mataka.

Ms Hildegarda Lucian Kiwasila,
Institute of Resource Assessment,
P.O BOx 35097 Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email: khildegarda@yahoo.co.uk
lphildegarda2009@googlemail.com
+255-22-2410144 Ext2422
+255762544553/754763803

On Friday, 28 March 2014, 18:05, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Kitu cha kwanza tunapaswa kukarabati sewage. Ujenzi wa ovyo ovyo pia umechangia hasa pale Tanesco Mikocheni.
em

Sent from my iPhone

On Mar 28, 2014, at 3:45 AM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

Mvua kubwa inaendelea kupiga/kunyesha maeneo yote hapa jijini, changamoto kubwa iliopo nadhani wengi tuishioa hapa twaijua, tuna miundombinu mibovu sana ya maji na bara bara kati kati ya jiji, kwa leo mjini kwenda ni tatizo kwani magari hayatembei na wale watembea kwa miguuu wawe na pesa za nauli ya ziada za kubebwa kuvushwa ktk madimbwi makuubwa.
hatar sana dar mvua ikinyesha, sjui maeneo ya mabondeni leo hali yao ikoje? sjui wale wafanyabiashara ndogo ndogo wanaopanga bidhaa zao chini, ni vurugu tupu mvua ikinyesha dar
nini kifanyike kuondoka kero hizi? serikali, wakaazi na wafanyabishara, nini kifanyikie, au tupeleke ktk bunge la katiba nalo hili maana sku hizi mtu akiibuka tu, oooh peleka Dodoma
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment