Monday 31 March 2014

[wanabidii] ishara magazine lipo mtaani rasmi

Wapendwa ndg zangu watanzania na wanabidii, leo tumefanikiwa kuliweka jarida letu la afya la ISHARA hewaani,lipo mtaani na linauzwa ;
Jarida hili tunaamini litaleta ukombozi wa elimu ya afya kwa watanzania, mambo mengi ya kiafya yatakuwa digested kwa lugha rahisi ili kila mtu aelewe, mambo ya urembo, utanashati,magonjwa mabali mbali, sugu na yasio sugu, vyanzo, dalili , tiba na ushauri wa kitaalam vyote vimeandikwa......NAOMBENI MKIPITA KWA WAUZA MAGAZETI MSIKOSE KUNUNUA PLEEASE, NUNUA MOJA
UPATAPO TAARIFA HII MUHIMU MFOWADIE MWENZIO NDIO UKOMBOZI UTATOKEA
 ISHARA...AFYA NI MALI
MOLLEL
MENEJA MKUU
0652 314181 UKIHITAJI MAELEZO ZAIDI PLEASE

0 comments:

Post a Comment