Saturday 29 March 2014

Re: [wanabidii] MBOWE AUZA JIMBO CHALINZE, AMSHABIKIA MGOMBEA WA CCM

Elimu ninatoa sana. Nachangia sana kule JF
em

Sent from my iPhone

On Mar 28, 2014, at 4:37 PM, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:

Sawasawa kaka kuwakataa tu haitoshi fanya zaidi yaani kutoa elimu kwa umma.Kwani ukitoa elimu wengi watapona.najua unazo mbinu nyingi tu za kufanya.Hata hapo nakusifu kwa kuwakataa mafisadi lakini kivipi.Kwani hata kule bungeni wanasema hawataki lakini wanachukua posho na kupiga makofi.

2014-03-28 23:24 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Mimi nineshaanza kwa kuwakataa mafisadi.
em

Sent from my iPhone

On Mar 28, 2014, at 3:20 PM, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:

ninamaanisha hapa kuwa hata ukiongea kwa hapa hutapata jibu kwani kila kona Tanzania watu waliahidiwa maji,mbolea,umeme,barabara hadi leo hakuna kitu zaidi ya maisha kuwa magumu kupita.Nipo hapa jirani na kwetu  nimeangalia bei ya petrol ni Ksh 113. point na ukiconvert utaona bado sisi mafuta kwetu yapo juu japo tuna kila aina ya utajiri.Tatizo ni viongozi na mafisadi hili halipingiki sasa unategemea nini usipoteze muda hata akikwambia amepata kwa madawa ya kulevya utafanyaje.La msingi wewe na wenzako tuamke.siasa ni mchezo mchafu je hukulijua hilo.

swala la matumaini hapa hakuna wewe uamke chukua hatua siku moja yote yatapita.Hata wakati wana wa Israel walipokuja Misri kutafuta chakula walikuwa na nguvu kwa sababu alikuwepo Yusufu kama waziri mkuu lakini walipokufa akina Yusufu baadaye waisrael walifanywa watumwa na hatimaye walimlilia Mungu wakatoka katika utumwa.Lakini kwa nini walikuwa watumwa ni kwa sababu aliyekuwa anawafahamu alikuwa Farao yule na Yusufu.

Sisi na nasi tunaweza kuona ni ngumu lakini siku moja utasahau mateso yako kama utapambana.Na hawa watakuwa hawana nguvu tena kwani watakuja watawala wengine na hawatawakumbuka tena.Anza wewe kutenda yakupasayo kutenda na kuendelea kuwaambia watanzania waamke waache kununuliwa kwa ahadi chafu na Khanga na vitenge na TSh elfu kumi wasiuze haki yao ya msingisiku moja watashinda uongo hautakuwepo tena wala ahadi hewa.When ur lobbying and Advocating dont give up.Endelea tu Mungu siku moja atasikia lakini ukiwa unapenda kulaumu hutafanikiwa hata.Mwache leo afaidi kwani hakuna jinsi lakini siku moja itakuwa wewe unafaidi tena matenda ya haki na wengi watakuwa wamesaidika.Usikate tamaa.

Watanzania tumekuwa wote ni wanasiasa usilaumu ni kama jinsi tujuavyo kucheza mpira kwenye midomo tu uwanjani kila siku tunasindikiza.Tuamke.Wako wapi akina Mwai Kibaki akina Raila hata akina Mseveni na Mugabe watakuja kupita na kutakuwa na kizazi kingine.Lakini anza sasa kufanya yakupasayo acha kulaumu haitasaidia.Angalia tuliowatuma Dodoma kwenye Katiba wameshajiona nao ni wabunge hawako tena na sisi hawa ndio watanzania.Tunaongea tu tukipewa kidogo kidogo tunasahau uzalendo.Hayati baba wa Taifa Dr.Mwl.Nyerere alisema katiba habari za IMF kuwa kama nikutunyonya wametunyonya hata alikataa kulipa madeni kwa uchungu lakini hatimaye tulilipa baadaye inauma sana kwani tunanyonywa na mabebari wa sasa ni wabaya sana kwani ni wenzetu.Tunawaondoaje ni kwa kusema hapana kwa vitendo sio kwa maneno.

anza wewe kisha waondoe wengine ujinga polepole tutafika.una nafasi nenda hata kama ni chalinze wafundishe watu wajitambue na kujithamini utawapata.Watu wakiwa na ufahamu   watachukua hatua.AURA yako ni nini.Fanya sasa

2014-03-28 18:22 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Kwa mentality kama hii Tanzania haina matumaini tena.
em

Sent from my iPhone

On Mar 28, 2014, at 10:06 AM, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:

sasa akishasema ufisadi wa Ridhiwani iweje.Wangapi wameambiwa ni mafisadi je wameogopa.Kama mtu anataka upinzani ili kumkashfu mwingine hata kama ni kweli lakini ulitumwa.naamin kusema ubaya wa mtu au kutoa siri ambayo itasaidia watanzania ndio muhimu.Na ndio maana ni bora fisadi anayewekeza hapa nchini kuliko yule amnbaye tutamchagua kisha akaenda kuwekeza Swisserland.Mwache mwana apete kwani si mfalme na mwanaye si ni mfalme.mwaka huu ndio wa kujipima akifanya mema kwa nini uangalie ya nyuma wengi wapo leo kwa vile hatujaangalia ya nyuma tukiyaangalia ya huko nyuma hakuna anayefaa.Kwani mwingine aliibia mtihani akashinda na kupata digrii ndio maana performance yake leo iko chini kwani aliyekuwa anaweza hakupata chance.

Nadhani Ridhiwani kama atakuwa mbunge basi ni vema kwani mtoto wa nyoka ni nyoka hata kama ni mdogo anaweza kufanya mazuri kwani ameanza mapema.amegundua madhaifu ya mzee wake atajirekebisha na pia anajua kuwa Tanzania ya leo sio ya jana tumpe kura mwanawetu tusimfanye mkosa wakati bado.Hata kama alifanya makosa mwanzoni ni utoto na utajiri ulikuwa unamsumbua atabadilika.hatamsumbua tena mzee wake na kufanya isivyo.

2014-03-28 14:58 GMT+03:00 Jd ChingaOne <chingaone@gmail.com>:
Muganda hapo unakosea..... Ridhiwani atakuwa kiongozi wa kwanza kutoa ahdai wakati wa kampeni? Je viongozi wote unafuatilia wapi watatoa hela za kutimiza ahadi zao?

Jennifer Livigha
Team Leader 
0712221744, 0787221744, 0754798920

On Fri, Mar 28, 2014 at 2:51 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
It does not matter kama ni ngumu. CHADEMA waitumie fursa hiyo kufichua mafisadi. Ridhwani ameshaahidi trekta kwa kila kijiji. Atuambie hizo hela amezipataje.
em

Sent from my iPhone

On Mar 28, 2014, at 3:26 AM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

chalinze ni ngumu sana chadema kupata kura , jk kafanya vitu vingi sana kule chalinze na bwagamoyo....chalinze ya 90 si ya leo, kuna shule nzuri, maji, mipango miji, kuna mambo yanafanya chali nzi ikue kwa haraka....sasa wazeee wa chopa wameona aah haya maji marefu.......na kijana alijianda fresh sana Ridhwani, mbowe kashtuka tu maana chopa limeruka kalenga lakini wameambulia patupu....sidhan kama mbowe nae ni mjinga, kapima upepo kaona will be wasting time and resources, pale hata angesimama dk slaa angeshindwa vibaya

On Thursday, March 27, 2014 10:23 PM, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (vmhangwa@gmail.com) Add cleanup rule | More info
Huyu Mabadiliko ni mfitini na mpropaganda wa hovyo. Kwani Kalenga ni Kaskazini?
On 28 Mar 2014 01:27, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
Hata kama wazee wanemwita CHADEMA itafanya kosa kubwa kuachia hii nafasi ya kuexpose ufisadi wa Ridhwani na familia yake. Big opportunity.
em

Sent from my iPhone

On Mar 27, 2014, at 2:00 PM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Mbona taarifa za habari katika magazeti, TV mgombania wa Kimasai wazee wa mila walimuita aachane na kugombea. Chopa halijaruka hapo na kitu kingine labda waliona wengi watampa kura ridhiwani atapotesa hela na muda wake bure. Labda ndio maana wengine wanaona Mbowe kauza jimbo.

On Wednesday, 26 March 2014, 23:49, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Hii habari si ya kweli. Ben wa Saa Nane aliandika kwenye FB yake kwamba wapo Chalinze in full force 
em

Sent from my iPhone

On Mar 26, 2014, at 2:58 PM, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Siamini habari hii. Lakini kama ni kweli basi wasingeweka kabisa mgombea kuliko kumuweka na kumnyima ushirikiano wa kichama akasota peke yake wakati wa uchaguzi mdogo.
   Nina Mashaka sana na ukweli wa habari hii
On Mar 26, 2014 9:53 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Mimi siamini kuwa Mbowe amemshabikia Ridhwani. ameona mazingira na kuona iwe haki isiwe haki ushindi utamwendea. nafikiri kama hakuna siasa ndani ya oni hili basi kubaliana na maamuzi ya chama. nashangaa maana nilikuwa nawaza kuwa CHAADEMA wangeshairiwa wangeachana na uchaguzi huo si dalili ya kushindwa bali mbinu

On Wednesday, March 26, 2014 1:45 PM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
Nipo Chalinze, nasikitishwa sana na viongozi wa chama hapa wanaposema kuwa hatuwezi tukapoteza rasilimali zetu kwenye uchaguzi huu kwasababu eti lazima Ridhiwani atashinda. Makao makuu wamekataa kuwekeza kwenye uchaguzi huu kwasababu tu eti mbowe haamini kama chadema itashinda hapa.

Inauma sana inakuwaje jamani wanachalinze tunapuuzwa? au kwasababu sio kaskazini? Mbona ufunguzi wa kampeni za nasari ulirushwa live na ma TV? Wanachalinze tumewakosea nini chadema mpaka mtunyime hata chopa moja tuuu?

Mwenyekiti wangu Freeman Aikaeli Mbowe kwa hali hii mnawanyong'onyesha wagombea wetu. Inakera nainaumiza sana kwa mwendo huu ccm itatoka kweli? Au ni kweli yanayosemwa kuwa ushalipwa huna shida tena na sisi na jimbo letu?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence star>  

"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere

ii" group.

r />

0 comments:

Post a Comment