Saturday, 29 March 2014

FW: [wanabidii] MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM




Ruzika N. Muheto MSc, BSc(Hons)
Executive Director
EarthCare Consulting Co.
P.O Box 79467
Mob. +255754692282,
Dar Es Salaam
Email: rmuheto@hotmail.co.uk or rmuheto@gmail.com
Formerly worked initially as Director of Natural Resources and later Founding Director of the Directorate of 
Environmental Planning and Research at the National Environment Managemnt Council, NEMC, TANZANIA.
NEMC IS THE TANZANIA ENVIRONMENTAL REGULATOR WITH ALSO ADVISORY ROLES TO GOVERNMENT AND SOCIETY IN GENERAL.  






Date: Sat, 29 Mar 2014 07:55:34 +0300
Subject: Re:[wanabidii] MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM
From: jngama@yahoo.co.uk
To: wanabidii@googlegroups.com

Hay a bwana. Acha watu washabikie ujinga huu.
Sent from Huawei Mobile

Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa , mirathi na mambo ya kidini kwa kutumia Sharia.

Sharia ni nini?
Sharia ni mkusanyiko wa sheria za dini ya kiislam ambazo zinatokana na kitabu cha quran na tamaduni za kiislam kwa kufuata mafundisho na hadithi za Mtume Muhammad.

Mambo ya kidini yanayo hukumiwa na mahakama ya kadhi ni yapi?

Ni mambo yote yanayokwenda kinyume na tamaduni za kiislamu. Mfano Kula hadharani wakati wa mwezi, wa ramadhani, kuchinja kwa mtu ambaye siyo muislamu, kufanya biashara ya vileo, biashara ya nyumba za kulala wageni, biashara ya nguruwe, mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiislam kwa maana hiyo ili uwe salama kwa swala la mavazi sharti uvae hijabu kwa wanawake, kanzu na kibaragashia kwa wanaume, msuri na visuruari vizivyogusa viatu.

Kwa nini waislam wanataka Mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi?

Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi ili itambulike kisheria na iwe na nguvu kama mahakama za kawaida za makosa ya jinai na hiyo iwe na mamlaka ya kuhukumu watu wote waislam, wakristu na hata wapagani limradi tu hawaishi kwa kufuata tamaduni za kiislam. Mfano mtu atakaye kutwa anakula hadharani wakati wa mwezi wa ramadhani sharia itachukuwa mkondo wake na hukumu iliyotawala kwenye sharia kwa mtu anayeishi kinyume na tamaduni za kiislam ni kuuwawa kwa kuchinywa na jukumu hilo liko kwa Makadhi.
Hivyo basi mahakama ya kadhi ikiingizwa kwenye katiba itakuwa na nguvu za kuhukumu mambo ya siasa, kijamii na makosa ya jinai kwa ujumla kwa raia wote na si kwa waislam peke.

Muundo wa mahakama ya kadhi

Mahakama ya kazi inafuata muundo wa mahakama za kawaida hivyo zinaanzia ngazi ya chini kabisa kwenye wilaya na hadi ngazi ya kitaifa na mahakimu wa mahakama za kadhi ni makadhi amboa wote ni waislam

Kazi za Makadhi
1. Kusikiliza mashauri na kuhukumu kwa kufuata sharia
2. Kuhakikisha anatokomeza ukristu katika eneo lake na uislam unatawala
3. Kuhakikisha hakuna kanisa linajengwa katika eneo lake na wala kanisa linapo bomoka halitaruhusiwa kukarabatiwa wala kujengwa tena. Kujenga kanisa ni kinyume na tamaduni za kiislam ndiyo maana utaona wameanza kuchoma makanisa huko Zanzibar na sehemu zingine za Afrika kama Nigeria.

Madhara ya Mahakama ya Kadhi
1. Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2. Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3. Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam
4. Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria. Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe.

WATANZANI TUUNGANENI KWA PAMOJA KUPINGA MAHAKAMA YA KADHI; NI HATARI SANA KWA MAISHA YA KESHO, MAMBO KAMA HAYA SIYO MAGENI KWANI YALISHA TOKEA HUKO TUNISIA, ALGERIA, MISRI NK ZOTE HIZO ZILIKUWA NCHI ZA KIKIRISTU. WATANZANIA, WAISILAMU WENYE MSIMAMO WA KATI, WAKRISTU NA WAPAGANIA HAKI ZA BINADAMU, WOTE UNGANISHENI NGUVU HILO LISITOKEE TANZANIA. KAMA HIVI SASA WACHUNGAJI,MAPADRI WANAUAWA VIOGOZI WA SERIKALI WANACHEKACHEKA TU NA KUTOA MAJIBU MEPESI. JE TUKIRUHUSU MAHAKAMA YA KADHI NA OIC?


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment