Sunday, 30 March 2014

Re: [wanabidii] chadema wameibiwa hoja

Kwani tume ya (Warioba) Rais ya kukusanya maoni ya Katiba nayo in ya CHADEMA?

Gosbert Christopher Mutasingwa
P.O.BOX 107
BIHARAMULO

0784 857 775/0758 491 247
On Saturday, March 29, 2014 5:53 AM, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Kwa mawazo yangu. Hakuna mwizi wa hoja ya mwingine. Yawezekana pia Sarya amedandia. Hebu tueleze kwanza yafuatoyo: Kwani Muungano unafaida gani? Kwani ukivunjika tutapata faida gani? Huu pia ni ulimbukeni tu.
On 28 Mar 2014 16:57, "mobini sarya" <mobinsons@yahoo.com> wrote:
hivi ile hoja murua iliyokuwa inashabikiwa na CHADEMA kwamba wanataka serikali ya majimbo waliibiwa kwenye ofisi zao?

mimi nadhani kama CHADEMA wasingedandia hoja ya cuf ya serikali tatu leo hizi kelele za zomea zomea tusingeziona.

simamieni hoja ya majimbo, acheni kula pesa za warabu wanawatumia kuanzisha serikali tatu ili iwe rahisi kuvunja muungano.

ni bahati mbaya kuwa wengi wa wale wenye sauti wamekuwa wanafiki, ingewa CCM, ndio wameacha hoja yao na kudandia ya chama kingine ungeona tahariri na mabango kila mara,............naamini huu ndio wakati wa chadema kuiongiza serikali ya m,ajimbo kwenye katiba vingenevyo tutajua hoja zenu ni za kuunga unga.

kueni makini simamieni hoja au sera yenu hata kama inapingwa angalieni watu wa CCM pamoja na kujua kuwa maadui wa muungano hawapeni sera ya serikali  mbili lakini CCM wamekomaa kiume BWANNNNNNNNNNNNNNA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment