kwa nini liuzwe.kama sio hao mnawaita Mafisadi-mawa je tungejua lolote si tulikuwa tumenyamaza kimya tu.Bora hao kuliko hao wanaoonekana safi machoni mwenu wenyewe.Mimi ninawaheshimu Chadema kwani walidiriki hata kujitolea uhai wao ili tu mabadiliko yawepo japo mimi naamin kuwa CCM kuna watu safi sana pia lakini wengi wanatetea maslahi yao na sio ya umma.Tujifunze kwa majirani zetu Kenya nasi tupone.Mimi bado ninaamin Chama changu kuwa kinaweza kuyaona makosa mengi yaliyopo na hawa wachache wanaosababisha hata sisi tuone kuwa sasa CCM inahitaji mabadiliko makubwa .Watu hawa waachie ngazi ili chama kifanye zaidi ya walichofanya kwani ndio maana Mbowe hashindani na kila kitu au CHADEMA hawaoni jema la CCM lakini kuna watu ambao wanakichafua sana chama tawala.
propaganda ni nzuri kwenye siasa lakini zitumike kisayansi na kitechnologia pia sio watu wale wale wasiotaka kubadilika bado wanakuwa kwenye uongozi na ndio maana hakuna jema linaloonekana.CCM tuko na Fikra plus au HAIBA.Naamin wote tunakubali kuwa tukijitambua na kujithamin na kuchukua hatua moja kwa moja ni ushindi tosha.On Sat, Mar 29, 2014 at 9:43 AM, John George <georgejn2000@gmail.com> wrote:
Hivi Jimbo la CHALINZE lilikuwa linauzwa bei gani?
On 3/29/14, ekunyaranyara@yahoo.co.uk <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
> Ema, siku hizi CDM wanaitwa MAFISADI WASIOSAZA - MAWA. Iko kazi hii ndio
> demokrasia yetu. We are moving forward.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment