Monday 31 March 2014

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] BOKO HARAM NA KATIBA YETU

akili za Yona nazo! nilishaacha kujibizana naye

On 01/04/2014, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
> Najaribu kufikiria uhusiano wa hicho kikundi na uandikwaji wa katiba!!!
> Sioni muingiliano hata kidogo.
>
>
> Regards
> Mwema <http://scholar.google.com/citations?user=1CRoruwAAAAJ&hl=en>
>
>
>
> 2014-03-31 23:04 GMT+07:00 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>:
>
>>
>>
>> Ndugu zangu ,
>>
>>
>> Nadhani wengi wanawajua Boko Haram , kile wanachofanya nchini Nigeria na
>> Maeneo ya Jirani .
>>
>>
>> Mwezi huu pekee Wamefanikiwa kurudisha kikosi maalumu cha jeshi la
>> Nigeria
>> kilichotumwa kwenda kupambana nao sehemu Fulani huko Maiduguri ,
>> Wamejaribu
>> walivamia jela moja yenye ulinzi mkali na kufanikiwa kukomboa wenzao
>> waliokuwemo ndani na wakapiga picha za video wakati wa uvamizi huo ,
>> Weekend hii wamejaribu kutoroka kwenye jela moja ya usalama wa taifa
>> iliyopo mji wa Abuja ambapo watu 21 wamefariki katika mapigani ya saa 4 .
>>
>>
>> Boko Haram wanaonyesha kupata nguvu zaidi nchini Nigeria na kuendelea
>> kupanua harakati zao baada ya Serikali ya Nchi hiyo kuamua kutumia nguvu
>> na
>> kutangaza hali ya hatari kwenye baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ambayo Boko
>> Haram wana nguvu .
>>
>>
>> Serikali ya Nigeria imeanza kutuhumu baadhi ya raia wa nchi jirani kama
>> ndio wanaotoa misaada kwa book haram na kuwaficha wakati wanatafutwa au
>> kuwapa misaada ya mbinu ili kwenda kushambulia wanajeshi wa Nigeria na
>> maslahi yake .
>>
>>
>> Ni wakati wa kuangalia harakati za Boko Haram zilivyoanza na serikali ya
>> nchi hiyo ilivyopuuza mpaka hali ilivyosasa na upande wetu sisi Tanzania
>> ambao tupo kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya .
>>
>>
>> Kwetu tuna matatizo ya wakulima na wafugaji , suala la gesi huko mtwara ,
>> suala la madini kanda ya ziwa na mengine kadhaa ambayo yameanza kuwa sugu
>> na kuanza kuzalisha Boko Haram wetu ambao miaka michache ijayo wanaweza
>> kuchukuwa silaha na kuingia kupambana na mamlaka iliyopo kipindi hicho .
>>
>>
>> Wakati wetu ni sasa , tujadili masuala ya katiba kwa kuangalia
>> yanayowakuta wenzetu , tuwe na nzuri itakayotuma maelewano na amani zaidi
>> kwa watanzania wa sasa na miaka 100 inayo .
>>
>> --
>>
>> *Yona Fares Maro*
>>
>> Institut d'études de sécurité - SA
>>
>>
>> __._,_.___
>> Reply via web
>> post<https://groups.yahoo.com/neo/groups/Wanazuoni/conversations/messages/23780;_ylc=X3oDMTJyampkM3BqBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMyMzc4MARzZWMDZnRyBHNsawNycGx5BHN0aW1lAzEzOTYyODE4NDQ-?act=reply&messageNum=23780>
>> Reply
>> to sender
>> <oldmoshi@gmail.com?subject=Re%3A%20BOKO%20HARAM%20NA%20KATIBA%20YETU>
>> Reply
>> to group
>> <Wanazuoni@yahoogroups.com?subject=Re%3A%20BOKO%20HARAM%20NA%20KATIBA%20YETU>
>> Start
>> a New
>> Topic<https://groups.yahoo.com/neo/groups/Wanazuoni/conversations/newtopic;_ylc=X3oDMTJmYnNoYmh2BF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNudHBjBHN0aW1lAzEzOTYyODE4NDQ->
>> Messages
>> in this
>> topic<https://groups.yahoo.com/neo/groups/Wanazuoni/conversations/topics/23780;_ylc=X3oDMTM3Z3VvYXQyBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMyMzc4MARzZWMDZnRyBHNsawN2dHBjBHN0aW1lAzEzOTYyODE4NDQEdHBjSWQDMjM3ODA->(1)
>> Visit Your
>> Group<https://groups.yahoo.com/neo/groups/Wanazuoni/info;_ylc=X3oDMTJmcmc3NmtkBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2Z2hwBHN0aW1lAzEzOTYyODE4NDQ->
>>
>> - New
>> Members<https://groups.yahoo.com/neo/groups/Wanazuoni/members/all;_ylc=X3oDMTJnc2w1NGFwBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2bWJycwRzdGltZQMxMzk2MjgxODQ0>
>> 3
>>
>> [image: Yahoo!
>> Groups]<https://groups.yahoo.com/neo;_ylc=X3oDMTJlNGs3cGNtBF9TAzk3NDc2NTkwBGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNnZnAEc3RpbWUDMTM5NjI4MTg0NA-->
>> * Privacy <https://info.yahoo.com/privacy/us/yahoo/groups/details.html> *
>> Unsubscribe <Wanazuoni-unsubscribe@yahoogroups.com?subject=Unsubscribe> *
>> Terms
>> of Use <https://info.yahoo.com/legal/us/yahoo/utos/terms/>
>> .
>>
>> __,_._,___
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>


--
kamala J Lutatinisibwa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment