Chama ni taasisi hatuwezi kufata upepo mtu au kundi la watu fulani wanojiona kuwa wa ndio simba wa vita katika siasa, waanzishe chama chao wayafanye yote waliyokuwa wanaisi yanafaha kuyafanya.
Wala hayo sio maneno tu ya katibu bali ukweli unasimama.
--
Sent from myMail app for Android
Saturday, 01 March 2014, 02:02PM +0300 from lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>:
sasa em na weee unakopi maneno ya dk slaa mzee? bado mtajikuta mnamuabudu, katibu huyu si mfanisi hata kidogo, haona anapoteza majembe, haon ni threat, hafai kuwa Rais kwani hana busara za kiongozi yeye ni kufukuza tu.....mkewe talaka.watu nao wanaofanya nao wakikosea kidogo adhabu out....ukiona hivyo si kiongozi mzuri jamanii....chadema kinakufa kifo cha mende.....miguu juu na pua juuu, daah...2015 nahisi watapata viti vichache sana than todays
On Tuesday, February 25, 2014 10:22 PM, "bonnyluv84@hotmail.com" <bonnyluv84@hotmail.com> wrote:
Hawa wanaenda kujiunga kile chama kipya kinachokuja, wanawashawishi watu kutoka huko kujiunga nao na kuwahidi uongozi.Tusubiri kunamengi kabla ya 2015.
--
Sent from myMail app for Android
Wednesday, 26 February 2014, 08:30AM +0300 from Ambokege Benard M <amboab@yahoo.co.uk>:
Waha madiwani wamerubuniwa kwa kupewa kitu kidogo. Sababu walizozitoa na hafifu na hazina mashiko. Kama wamechoshwa na uongozi Si watumie haki yao ya msingi ya namna ya kumtoa kwa kura?
Hawa hawajatumia akili kabisa! AMA wanatafuta umaarufu huku wakijiua kisiasa kiaina. Kalagabao!!!
----------------------------------------------------------------------
From: weston mbuba
Sent: 2/26/2014 5:35
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Madiwani wawili wa CHADEMA Shinyanga wajiuzulu
em, hebu mwambieni huyo MABADILIKO CHADEMA arudi darasani akajifunze Kiswahili. ------------------------------ On Tue, Feb 25, 2014 07:34 PST Emmanuel Muganda wrote: >Waende tu na waende salama. Hamna sababu za kutokwa povu. >em > >Sent from my iPhone > >> On Feb 25, 2014, at 9:59 AM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote: >> >> Katika hali ya kuonyesha Uhai wa Chadema kuelekea 2015 ni kukatisha tamaa na kumpa hofu ya anaekiuguza chama hicho japo sio busara kumkataza mgonjwa anaekalibia kufa kunywa dawa na kumpa moyo atapona tuu japo moyoni unajua lazima afe Madiwani wawili wa chadema wameamua kujiuzulu Madiwani hao wanaojulikana kwa jina la >> >> 1.) ZACHARIA MFUKO Wa kata ya MASEKELO na >> >> 2.) SEBASTIANI PETER Wa kata ya NGOKORO >> >> Sababu walizozitoa madiwani hao ni kushoshwa na uongozi kandamizi wa
Freeman Mbowe na jopo lake huku wakiumizwa na siasa za chama zao za kutaka umaarufu kuliko kuwatumikia watanzania akiongea
kwa jaziba SEBASTIANI PETER Wa kata ya NGOKORO "alisema Chadema inapoteza mvuto kwa watanzania hasa baada ya kutumia chopa tatu na milion mia tisa za chama hicho huku kikiambulia kata tatu tuu " lakini mpaka sasa hakuna kikao kilichoeleza na kufanya tathimini kwa nini chama kimepoteza kiasi hicho. >> -- >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >> >> Disclaimer: >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >> --- >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group. >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out . > >-- >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >--- >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out . --

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
0 comments:
Post a Comment