Monday, 11 January 2016

[wanabidii] NGOMA AFRICA BAND AKA FFU INAWATAKIENI HERI YA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR


NGOMA AFRICA BAND AKA FFU INAWATAKIENI HERI YA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni inawatakieni heri ya kuazimisha miaka 52 ya  mapinduzi ya Zanzibar,Mapinduzi yaliyofanyika 12 January 1964 ambayo yaliwakomboa wananchi wanyonge wazanzibar
walikuwa chini ya utawala wa Kisultan,Mapinduzi hayo ya tarehe 12 January 1964
yaliyomfanya Sultan kuikimbia Zanzibar na kusahau kiremba kitandani.
Mungu yabariki mapinduzi,Mungu wabariki Wanzibari na kuhudumisha amani na upendo daima,Mungu ibariki Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tusherehekee Mapinduzi day burudani www.ngoma-africa.com






https://www.youtube.com/watch?v=7uPi3vh2hGE

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment