Huenda ninadanganywa. lakini si tusubiri tuje tuone?! Niliosikia hawana uwezo wa kujigharimia kwenda huko. Wakienda niendelee kuamini kuwa nadanganywa?
--------------------------------------------
On Thu, 5/28/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, May 28, 2015, 6:31 PM
Ndg
Achana na maisha ya kuishi kwa kusikia baba'huna ushahidi
acha kudanganya watu'andika habari acha majunguuuu
------------------------------
On Thu, May 28, 2015 9:56 AM EDT 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii wrote:
>Mimi niko Bukoba.
>Nilikuwa naelezwa si muda mrefu uliopita kuwa kuna watu
wamegharimiwa kusafiri kwenda Arusha kwa ajili ya mkutano
tunaoutarajia. nasikia wakifika huko watalipwa laki tano
kila mmoja. wamo viongozi wa dini etc etc.
>Ninajisikia vizuri kusikia haya yanawsachukiza na
wagombea wengine kama Makamba. Ninajiuliza mtu kuwekeza
hivyo halafu ukakosa-Si utakuta mtu anaishia msituni?
>Nina hakika watanzania hatutauza nchi hii kwa mafisadi
>--------------------------------------------
>On Thu, 5/28/15, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
wrote:
>
> Subject: RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya
hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo
ya kuigiza.
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, May 28, 2015, 10:07 AM
>
>
>
>
> Mr. Makamba
>
> Umenena na tumekusoma. Sasa inakuwaje Chama tawala
> kiruhusu dhihaka, zarau, utoto, ulahai na ujinga
katika
> mambo ambayo ni nyeti kiasi hiki. Au nacho
kimechoka?
>
> Herment A. Mrema
>
> Date: Wed, 27 May
> 2015 16:20:24 -0700
> From: mkimaka@kimphilkonsult.com
> Subject: RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya
hadhi
> na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo
ya
> kuigiza.
> To: wanabidii@googlegroups.com;
wanabidii@googlegroups.com
>
> Umesema busara ,umesema mambo ninayoyatarajia
> kutoka kwa kiongozi mamboleo
>
>
> Sent from Yahoo Mail for
> iPhone
> At 27 Mei 2015 14:04:24,
> 'mpombe mtalika' via Wanabidii wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
Nafasi
> ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa.
Unapoiomba
> hupaswi kufanya
> michezo ya kuigiza. Huu utaratibu wa kuratibu
watu,
> kuwasafirisha,
> kuwapa posho na ubwabwa waje kukuomba kugombea ni
michezo ya
> kuigiza
> ambayo ni aibu kubwa.
>
>
>
> Kila mgombea ana uwezo wa kutengeneza watu wa kumuomba
> kugombea lakini
> wengine hatufanyi hivi kwasababu tunaheshimu nafasi
> tunayoiomba na
> tunaamini kwamba haipaswi kutafutwa kwa ulaghai na
> maigizo.
>
>
>
> Ni aibu sana kutumia shida na njaa za watu kisiasa. Ni
aibu
> sana
> kukusanya vijana na wazee wa watu na kuwapangia viti
na
> mahema na kuwapa
> pesa halafu pesa na kuwapiga picha. Ukiona mtu
anatafuta
> nafasi ya
> uongozi kwa ujanja na ulaghai ujue atatawala kwa ujanja
na
> ulaghai.
>
>
>
> Viongozi wanaokubalika na watu hawahangaiki kupanga
Viti na
> mahema na
> kuwapiga picha watu wanaowakubali. Mgombea anayehaha
na
> kutumia pesa
> nyingi kuonyesha anakubalika ukweli ni kwamba
hajiamini.
> Kama
> unakubalika huwezi kuratibu makundi na kuyalipa na
kuwapiga
> picha na
> kuita waandishi wa habari waje kushuhudia. Hizo ni
mbinu za
> mfa maji.
>
>
>
> Naamini Chama changu hakitatishwa na nguvu za maigizo.
> Tunataka uongozi
> safi unaomuogopa mungu. Tunataka uongozi wenye uadilifu
na
> fikra mpya za
> kuisogeza mbele Tanzania. Tunataka viongozi
watakaomaliza
> shida za
> Watanzania sio wanaozitumia shida hizo kisiasa
>
> Hata Mzee Makamba, pamoja na umri wake wa miaka 75,
leo
> akiwa na pesa za
> kumwaga anaweza kutengeneza makundi yakamuombe
kugombea
> Urais.
>
>
>
> Ifike mahali katika nchi yetu tuache hii michezo.
> Tukiendelea na mambo
> haya, tunatengeneza taifa linaloendeshwa kwa propaganda
tu.
> Watu
> wanaotaka kuomba nafasi ya Urais wanapaswa kuwa na
ujasiri
> na wanapaswa
> kujiamini na kusema wanataka nafasi hiyo na wana fikra
gani
> mpya bila
> kutumia pesa kuonyesha kwamba wanagombea kwasababu
> wanahitajika na watu.
> Uongozi thabiti na shupavu hautokani na michezo
ya kuigiza.
>
>
>
>
> January Makamba
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment