Thursday, 28 May 2015

Re: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza.

Kaka kwani lowasa katufanyia nini watanzani mbona sioni halafu ni hiyo safari sio ya wtz labda tuseme safari friend lowasa wtz sio wajinga kama unavyofikiria.

On May 29, 2015 12:52 AM, "aramakurias via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Makamba hizo hoja za alieshindwa mkuu, hv kaka ww unaweza kuingia ikulu kwa akili yako'watanzania hawatasikiliza ujanja ujanja wenu hamna kitu cha kuwazuia kumfuata lowasa mkuuu
Ww bado sana hakuna chochote ulichowafanyia watanzania kama alivyofanya edo mtaongea sana mtatunga maneno kibao mara kalisha watu, mara kahonga wana habar mara kawasafirisha watu',yoote mtayaongea lakini cc friends of lowasa tunajua safar ya matumain ya watanzania imeanza na itaishia ikulu......mti wenye matunda matamu ndio unaorushiwa mijiweeeeee.
Nakushaur kaka jiunge nasi---hv kwann mnamwandama yeye tuuu hamwoni kua mnazifi kutufungulia njia....mbowe na slaa wanamkubali kama jembe
Cc mkikose msimami hawa type ya kina makamba nawaapia mtapoteza kama mlivopoteza serikali za mtaa',hawa jamaa baado sana

fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

wasubirie tu kaka watakuja

2015-05-28 11:31 GMT+03:00 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ngupula, Molel, na Kaaya mumeiona hiyo? Mjibuni Makamba

From: 'Thobias Mwanakatwe' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 28, 2015 12:11 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza.

Mhe makamba kwa hili nimekukubari, Mimi napata wasiwasi sana kama uchaguzi huu utaisha salaam,lkn tumuombe mungu.

Sent from my iPad

On May 27, 2015, at 2:04 PM, "'mpombe mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza. Huu utaratibu wa kuratibu watu, kuwasafirisha, kuwapa posho na ubwabwa waje kukuomba kugombea ni michezo ya kuigiza ambayo ni aibu kubwa.

Kila mgombea ana uwezo wa kutengeneza watu wa kumuomba kugombea lakini wengine hatufanyi hivi kwasababu tunaheshimu nafasi tunayoiomba na tunaamini kwamba haipaswi kutafutwa kwa ulaghai na maigizo.

Ni aibu sana kutumia shida na njaa za watu kisiasa. Ni aibu sana kukusanya vijana na wazee wa watu na kuwapangia viti na mahema na kuwapa pesa halafu pesa na kuwapiga picha. Ukiona mtu anatafuta nafasi ya uongozi kwa ujanja na ulaghai ujue atatawala kwa ujanja na ulaghai.

Viongozi wanaokubalika na watu hawahangaiki kupanga Viti na mahema na kuwapiga picha watu wanaowakubali. Mgombea anayehaha na kutumia pesa nyingi kuonyesha anakubalika ukweli ni kwamba hajiamini. Kama unakubalika huwezi kuratibu makundi na kuyalipa na kuwapiga picha na kuita waandishi wa habari waje kushuhudia. Hizo ni mbinu za mfa maji.

Naamini Chama changu hakitatishwa na nguvu za maigizo. Tunataka uongozi safi unaomuogopa mungu. Tunataka uongozi wenye uadilifu na fikra mpya za kuisogeza mbele Tanzania. Tunataka viongozi watakaomaliza shida za Watanzania sio wanaozitumia shida hizo kisiasa
Hata Mzee Makamba, pamoja na umri wake wa miaka 75, leo akiwa na pesa za kumwaga anaweza kutengeneza makundi yakamuombe kugombea Urais.

Ifike mahali katika nchi yetu tuache hii michezo. Tukiendelea na mambo haya, tunatengeneza taifa linaloendeshwa kwa propaganda tu. Watu wanaotaka kuomba nafasi ya Urais wanapaswa kuwa na ujasiri na wanapaswa kujiamini na kusema wanataka nafasi hiyo na wana fikra gani mpya bila kutumia pesa kuonyesha kwamba wanagombea kwasababu wanahitajika na watu. Uongozi thabiti na shupavu hautokani na michezo ya kuigiza.

January Makamba

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment