Thursday, 28 May 2015

RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza.

Ndg
Achana na maisha ya kuishi kwa kusikia baba'huna ushahidi acha kudanganya watu'andika habari acha majunguuuu
------------------------------
On Thu, May 28, 2015 9:56 AM EDT 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii wrote:

>Mimi niko Bukoba.
>Nilikuwa naelezwa si muda mrefu uliopita kuwa kuna watu wamegharimiwa kusafiri kwenda Arusha kwa ajili ya mkutano tunaoutarajia. nasikia wakifika huko watalipwa laki tano kila mmoja. wamo viongozi wa dini etc etc.
>Ninajisikia vizuri kusikia haya yanawsachukiza na wagombea wengine kama Makamba. Ninajiuliza mtu kuwekeza hivyo halafu ukakosa-Si utakuta mtu anaishia msituni?
>Nina hakika watanzania hatutauza nchi hii kwa mafisadi
>--------------------------------------------
>On Thu, 5/28/15, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
>
> Subject: RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza.
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, May 28, 2015, 10:07 AM
>
>
>
>
> Mr. Makamba
>
> Umenena na tumekusoma.  Sasa inakuwaje Chama tawala
> kiruhusu dhihaka, zarau, utoto, ulahai na ujinga katika
> mambo ambayo ni nyeti kiasi hiki.  Au nacho kimechoka?
>
> Herment A. Mrema
>
> Date: Wed, 27 May
> 2015 16:20:24 -0700
> From: mkimaka@kimphilkonsult.com
> Subject: RE: [wanabidii] Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi
> na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya
> kuigiza.
> To: wanabidii@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
>
> Umesema busara ,umesema mambo ninayoyatarajia
> kutoka kwa kiongozi mamboleo
>
>
> Sent from Yahoo Mail for
> iPhone
> At 27 Mei 2015 14:04:24,
> 'mpombe mtalika' via Wanabidii wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Nafasi
> ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba
> hupaswi kufanya
> michezo ya kuigiza. Huu utaratibu wa kuratibu watu,
> kuwasafirisha,
> kuwapa posho na ubwabwa waje kukuomba kugombea ni michezo ya
> kuigiza
> ambayo ni aibu kubwa.
>
>
>
> Kila mgombea ana uwezo wa kutengeneza watu wa kumuomba
> kugombea lakini
> wengine hatufanyi hivi kwasababu tunaheshimu nafasi
> tunayoiomba na
> tunaamini kwamba haipaswi kutafutwa kwa ulaghai na
> maigizo.
>
>
>
> Ni aibu sana kutumia shida na njaa za watu kisiasa. Ni aibu
> sana
> kukusanya vijana na wazee wa watu na kuwapangia viti na
> mahema na kuwapa
> pesa halafu pesa na kuwapiga picha. Ukiona mtu anatafuta
> nafasi ya
> uongozi kwa ujanja na ulaghai ujue atatawala kwa ujanja na
> ulaghai.
>
>
>
> Viongozi wanaokubalika na watu hawahangaiki kupanga Viti na
> mahema na
> kuwapiga picha watu wanaowakubali. Mgombea anayehaha na
> kutumia pesa
> nyingi kuonyesha anakubalika ukweli ni kwamba hajiamini.
> Kama
> unakubalika huwezi kuratibu makundi na kuyalipa na kuwapiga
> picha na
> kuita waandishi wa habari waje kushuhudia. Hizo ni mbinu za
> mfa maji.
>
>
>
> Naamini Chama changu hakitatishwa na nguvu za maigizo.
> Tunataka uongozi
> safi unaomuogopa mungu. Tunataka uongozi wenye uadilifu na
> fikra mpya za
> kuisogeza mbele Tanzania. Tunataka viongozi watakaomaliza
> shida za
> Watanzania sio wanaozitumia shida hizo kisiasa
>
> Hata Mzee Makamba, pamoja na umri wake wa miaka 75, leo
> akiwa na pesa za
> kumwaga anaweza kutengeneza makundi yakamuombe kugombea
> Urais.
>
>
>
> Ifike mahali katika nchi yetu tuache hii michezo.
> Tukiendelea na mambo
> haya, tunatengeneza taifa linaloendeshwa kwa propaganda tu.
> Watu
> wanaotaka kuomba nafasi ya Urais wanapaswa kuwa na ujasiri
> na wanapaswa
> kujiamini na kusema wanataka nafasi hiyo na wana fikra gani
> mpya bila
> kutumia pesa kuonyesha kwamba wanagombea kwasababu
> wanahitajika na watu.
> Uongozi thabiti na shupavu hautokani na michezo ya kuigiza.
>
>
>
>
> January Makamba
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment