Tatizo hapa ni namna gani jamii inamuona mgombea, habari za huyu mheshimiwa kutuhumiwa hazikuanza wakati wa Richmond zilianza zamani hata kabla ya hapo. Lakini pia tuanapomuangalia mtu kwa misingi ya ugombea wa nafasi ya urais, tunaangalia historia ndiyo, na zaidi ya hapo tunapima nguvu yake kimwili na kiakili.
Tunaijua Tanzania yetu ilipo sasa na tunajaribu kuangalia nani atatuvusha kwenye matatizo ya kiuchumi na kimaadili. Itakuwa kituko kama tutamkabidhi nchi mtu mwenye tuhuma za ufisadi.
Bila shaka wapo wagombea wengi na hivyo hakuna haja ya kurisk kwa kumuona mtu mmoja kama ndo muarobaini wakati aliwahi kupewa nafasi lakini hakuonyesha talent yoyote ambayo ni special kutufanya tulazimike kumuona yeye peke yake.

2015-05-29 8:17 GMT+03:00 'Edna Mndeme' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Reuben, the fact kwamba mtu hakusikilizwa ama kuhojiwa haidhibitishi kuwa ni mkosaji na hii haswa ndio ilimnyima jukwaa la kujisafisha kwamba hahusiki au anahusika. Hii ina maana kuwa angehojiwa angeonyesha jinsi ambavyo hakuhusika ama alihusika lakini kwa kuwa hakuhojiwa, hakupata jukwaa la kusema kuwa hakuhusika. Sasa kama alihusika ama hakuhusika mi sijui ninachotaka kuonyesha hapa ni kwamba kutaka kuhojiwa sio kigezo cha kusema kuwa anakosa wewe unajua angehojiwa angesema nini?
Hii hoja just temana nayo haina mantik.
--------------------------------------------
On Fri, 5/29/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, May 29, 2015, 7:50 AM
Comrade
Kiimbila;Waswaili
wanasemaga ukiwa muongo unatakiwa kuwa na kumbukumbu nzuri
kichwani otherwise utaaibika.Mwanzo
kweli alipiga yowe sana kwanini hakuhojiwa hivyo kamati
haikutenda haki,then leo mayowe kwamba hakuhusika,shida ya
wabongo ni kufanya wengine mazuzu hawajui wala
kukumbuka.Sasa kama
hakuhusika mwanzoni alitaka kuhojiwa ili
iweje??!!Gufuli
katangaza nia,kwangu mimi ni mara milioni kumpa Gufuli mana
hata kama anakula lakini kazi zake zinaonekana wazi na
anaweza kusimamia jambo/mambo yakaenda,pia hata kuwa shida
kumuuza kwa Watz na wala hakutakuwa na alot of literature to
present to Wananchi. Reuben
On Thursday, May 28,
2015 9:08 PM, 'joseph kiimbila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Lowassa hana jipya wala
utetezi kuhusu tuhuma alizokuwa nazo . mbona alilalamika
sana kamati ya Mwakyembe kutomuhoji ? leo anadai hakuhusika
ndiyo maana hakuhijiwa . PUMBA .
On Monday, May 25, 2015 at 10:32:52 PM UTC+3,
ELISA MUHINGO wrote:Kipya cha kwanza ni garama za
kuwasafirisha wahariri anazirudishaje.
Ninalojiuliza ni hoa wawekezaji anaosema
wanampa hela Mbona hakueleza makubaliano yao ni nini na
namna gani watazirudishaje? ni nyingi lazima watataka
zirudi. Au hana akili za kumuwezesha kujiuliza kuwa wanampa
za nini? Nini matarajio yao mpaka wakatoe hela zote hizo?!
------------------------------
--------------
On Mon, 5/25/15, emmbaga <emm...@hotmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA
EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI
To: wana...@googlegroups.com
Date: Monday, May 25, 2015, 5:54 PM
Nao wamenunuliwa? hapo wewe umeona ni
nini kipya?
Ernest
Sent from Samsung
mobile
De kleinson kim <dekle...@gmail.com> wrote:
" Hayo ni kwa ufupi. Wahariri wakuu
katika media
zote kupitia Jukwaa la Wahariri
walikuwepo, na Absalom
Kibanda (New Habari) na Nevil Meena (Free
Media) ndio
walikuwa waratibu wakuu wa mkutano
huu."
teh teh teh tehhhh mbio zimeanza pale,
kipenga kinalia
watazamaji wenzangu.....
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment