Thursday, 28 May 2015

Re: [wanabidii] Miaka hii ya maumivu

Kaiza
Nimeisoma barua.
Kama ndivyo nchi iko pabaya. Watanzania wengi hatatweza kusomea taaluma.
Lakini nashangaa sana Asasi  za Kiraia  hasa  NGOs ziko kimya. Kuliwahi kuwepo  mtandao wa FemAct  ulikutanisha  asasi nyingi zenye nguvu na sauti yake ilikuwa nzito lakini  ni muda sasa  sijawahi kusikia sauti yao. Angalia hivi sasa kuna miswada mibaya sana ya habari imepelekwa Bungeni. NGOs  ziko kimya.  Mimi kama mwanaharakati nilitarajia kila siku  kuwe na  sauti inayotoka  kupinga miswada hiyo maana NGOs siko zaidi ya elfu 10 nchini. Au  ndo viongozi wote wa zile NGOs hasa zinazopigania  haki za watu, hazi ya kupata  habari,  demokrasia na kadhalika nchini wamenunuliwa kama walivyonunuliwa kwenda kwenye Bunge Maalum la Katiba kupiga kura ya ndiyo kwenye ile Katiba Pendekezwa  ya kulinda ufisadi nchini? Ni aibu sana. Natamani ningekuwa hapo nchini ningeingia barabarani na kamputa.
 



On Thursday, May 28, 2015 2:46 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Nakumbuka katika Biblia pale Musa alipokaribia kuwaondoa wana wa Israel Misri.
Farao alitoa amri kuwa hakuna kuwapa waIsrael manyasi ya kutengeneza tofari na lazima wasimamizi/wanyapala wahakikishe matofari yanatimia maana hayatapunguzwa. wachapwa!!! Walinyanyaswa!! usiombe. Mwisho walitoka Misri.
Ulifanya jedwali la kiwango cha mapato na ukubwa wa Serikali (Mawaziri na manaibu wao na Wakuu wa mikoa na Wilaya kwa kila awamu. Utaona kwa nini Serikali haina fedha za kulisha wanafunzi watakaokuja kuwatibu watanzania. Ukichunguza marupurupu na viinua mgongo vyao kwa awamu utajua kwa nini serikali ni lazima ibane matumizi kwa kuhatarisha afya za walipa kodi. Tunakaribisa kutoka Misri.
--------------------------------------------
On Thu, 5/28/15, Bubelwa E. Kaiza <bubelwa.kaiza@fordia.org> wrote:

Subject: [wanabidii] Miaka hii ya maumivu
To: wanataaluma@googlegroups.com
Cc: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, May 28, 2015, 12:34 AM




 
 
 
 
 











Ndugu
Watanzania,

Mmeona
hiyo barua iliyoamtanishwa katika barua-pepe hii? Tafadhali someni. Tafuna na kuchambua
ujumbe uliomo. Kama ni mimba, mama hajifungui; mtoto hazaliwi salama. Hakuna mtoto, hakuna
mama. The country is done, Serikali is gone.
Waswahili wanasema kwishnei.

Ngago.


Kaiza



 

   


 









--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment