Kazi ipo
On Jul 9, 2012 7:33 PM, "Augustine Rukoma" <arukoma66@gmail.com> wrote:--Rais aliwaita ikulu, akanzungumza nao siku iliyofuata akazungumza na wazembe wa dar es salaam akawatusi na kuwakejeli! huyu si mtu wa kuzungumza naye na hata wakati ule niliwasihii madaktari wasiende maana kikwete nimaneno matupu ya kiswahi swahili, hayupo serious kwa jambo lolote, sijui hata familia yake anaimudu vipi.kumaliza mgomo ni kutatua matatizo yaliyosababisha mgomo, serikali inasema haina fedha, interpool wanaziona huko uswizi. hapa ni kukomaa mpaka kieleweke. mgomo wa hospitali moja hauwezi kutikisa serikali2012/7/9 maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
>
--
> Ndugu zangu,
> NCHI yetu ingali katika huzuni ya uwepo wa mgogoro kati ya madaktari wetu na Ser...
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
This years motto: 'WALK THE TALK'
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ...
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment