Monday, 9 July 2012

RE: [wanabidii] Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari atakiwa Polisi

Mw. Lwaitama umeweka ukweli bayana.utawala umeamua sasa kutumia mabavu kuzima pumzi ya mwisho ya uhai wa haki na mamlaka ya watu. Kinachotokea kuhusiana na mgomo wa madaktari na kiburi cha serikali ni udikteta. Hata kama watu hawataona ukweli huu ni wazi kuwa nguvu ya dola imeshaamriwa kuzima uhai wa yeyote anayejaribu kuuona ukweli na kuusema. Vitisho na mauaji vimeshaanza na bila shaka yoyote damu ya wakombozi wapya wa nchi hii imeanza kumwagika. Ni safari chungu lakini imejaa matumaini kwa wale tu watakao kataa kulishwa unga wa ndere.

On Jul 9, 2012 1:44 PM, "Azaveli Lwaitama" <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
Ama kweli nchi inaongozwa kipolisi ; maana tamko la ikulu   kuwajibu tamko la viongozi wa dini zote limebainisha kuwa Rais hatakutana na viongozi wa  dini wala madaktari maana eti  hakuna mgomo  wa madakatari vile eti wameisha na madaktari tayariwamerudi kazini baada ya Rais wa JMT kuwataka wafanye hivyo ama sivyo watakuwa wamejufukuzisha wenyewe!!! Sasa iweje tena kiongozi wa MAT atakiwe kutoa tangazo la kusitisha mgomo kama alivyoagizwa na amri ya mahakama? Mgomo hupi, si tayari madakatri  wakufukuzwa wameisha fukuzwa na wakurudi wamerudi?!!! Au anatafutwa otoe kauli kuwa Dr. Ulimboka  kuhusu kuwa hakutekwa na kuteswa na serikali na madaktari waende kazini kwa amani na furaha bila kushuku serikali kuteka na kumtesa Dr Ulimboka? Damu ya Dr. Ulimboka itawatafuna hadi mwisho, wacha waendeleze kiburi na jeuri ya kutawala kiimla wakidhani milelele watatawala lakini hata kama nusu ya Watanzania watatekwa na kuteswa ipo siku Watanzania watapata ukombozi awamu ya pili!!! Huyu mtu au watu wanaotafuta kuwanyanyasa na kuwagandamiza madakatari wetu kiasi hiki bila shaka wamechoka amani iliyopo nchini na wanatafuta kujenga nchi ya visasi na chuki zisizoisha kati ya madaktari na familia zao na marafiki zao na watendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama. Uchochezi huu dhdi ya madaktari unamsaidiaje Mtanzania yoyote au hata kiongozi wa nchi wa sasa?!!
Mwl. Lwaitama
 
Date: Mon, 9 Jul 2012 12:10:39 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari atakiwa Polisi
From: kisangarmf@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Wanataka MAT itoe tamko la kusitisha mgomo ambao haihusiki? Ni lini MAT iliitisha mgomo wa madaktari?

Wanacheza makida makida hawa

2012/7/9 Tuse David <tusedavid@gmail.com>
anaelekea polisi kujisalimisha baada ya mahakama kuu  kitengo cha kazi kutoa amri ya kukamatwa maramoja kwa rais wa MAT daktari namala mkopi kosa lake ni kushindwa kutoa tangazo la kusitisha mgomo wa madaktari

2012/7/9 Barnabas <drbmbogo@gmail.com>
Sijui source ya Yona kwenye hili, lakini |Raisi huyu wa MAT ameandika kwenye ukurasa wake wa usokitabu (facebook)

2012/7/9 SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
Ndg Dismas,

Tusijisumbue kutafuta source hasa taarifa ikitoka kwa Yona, kwani tunafahamu taarifa zake zina sura walau kama tau: 1. Propaganda 2. Uchokozi kupima mtazamo wa wanabidii 3. Ukweli (hasa kwa kuwa yeye anaonekana kuwa connected na system)
Hapa kinachosumbua ni logic ya sababu ya kumtafuta kiongozi wa MAT, maana Yona alishatujilisha kuwa wameshtakiwa mmoja mmoja kama Dkt. Tena tunafahamu kila mmoja alishaenda kujieleza au anayo barua. Haina logic wamtake kiongozi asitishe wakati kila mtu alishaambiwa kwa wakati wake na nafsi yake asitishe mgomo.
Mtazamo wangu

Novat

From: Dismas Anthony <mba2009d@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, July 9, 2012 11:44 AM
Subject: Re: [wanabidii] Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari atakiwa Polisi

Source?????

2012/7/9 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Taarifa zinasema mwenyekiti wa chama cha madaktari MAT ndugu Namala
Mkopi  anatakiwa Polisi kituo cha kati kwa Kosa la Kukiuka amri ya
mahakama iliyowataka kusitisha mgomo na kuwataka kurudi kazini .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Barnabas
 "tunajua mnalindana, na kulindana huko sio bure..Mh Deo Filikunjombe, April 2012"

..Blaming fate instead of oneself is always the way cowards sleep better at night!

0 comments:

Post a Comment