Haya Pata-ukishatoa uchafu Haukuhusu. Lakini unaingia katika mabomba ya maji yaliopasuka unakunywa wako na wa wenzako na wa mifugo (mbwa, ng'ombe etc). Mjusi wa kutoka bongoland kwenda uingereza atakuwa mjusi tu ila kule anajua akituap uchafu wakimwona au camera ikionyesha taarifa-kisago. Hapa unatupa hapo kila mmoja anaona; barabara ya kwenda tu unakutana na gari au pikipiki, lori linapita hapo linarudi wote tunalitazama. Na ukishuka kutoka daladala chunga bajaji itakufyeka mguu na itakimbia usiipate unabaki kilema. Wewe unashuka kituoni yenyewe inapita mlango wa gari. Kiwete au kilema wa miguu anasota ktika eneo la alama ya punda milia pa kupita watu-nus la abiria au gari ya mtu binafsi inampigia honi apite haraka au inakatiza miguuni pake-Bongoland hiyo.
tatizo letu (i) Tabia (2) Mfumo. Private sekta wezi na public fisadi-goma droo. Ni pande mbili za shillingi zinazoshirikiana. Basi turudishe mashirika ya serikali lakini yawe kampuni kuliko kampuni binafsi wezi control inashindikana. Ilivyokuwa UDA na Railway-nauli haikuchepushwa na linapita kwa muda uliopangwa sio kuchepuka njia Ubungo-Buguruni ikawa Ubungu mawasiliano-Tegeta anageuza njia apendavyo kukwepa foleni. Badala ya Kimara mawasiliano- anakwepa foleni inakuwa Kimara-tanesco. Shuka, shuka unatuchelewesha. Unatembea kwa mguu kiza kimeanza kwenda mawasiliano upande la Tegeta. Kama PPP ni hivi tatizo-Rudisha mashirika ya umma fanya kampuni. kama SACCOS inakuwa kibaka rudisha Coops halafu -Hapa kazi tu. umeiba unafirisiwa, jela. Familia yako itajua itajilishaje.
Bongoland weka pipa la taka barabarani na litoboe-litaondoka tu kwenda nyumbani kufanya shughuli nyingine. Kama ni la bati-chuma chakavu kitauzwa, la plastiki-litahifadhi nguo, atalalia kuku au nyau. Kila kituo cha daladala kuwa na choo hii ngumu ila kila bus station sawa, soko, gulio. Mbona choo kilikuwepo mwenge na sasa vipo vya watu binafsi kulipia shs 200 au 100 na utaona hapo anaweka haja nje ya ukuta wa choo au anachukua chupa ya plastiki huyo kondakta wa daladala anaweka haja ndogo (mkojo) anafunga anatupa nje ya bus haweki ktk kikapu cha bus alichonacho ndani. Hela anayo ila anafanya hivi. Kisha inaokoptwa na waokota chupa unawekewa juice au maji ya baridi, mtindi hao wanaozinunua. Tunajilamba mtiti au maji utadhania ni origino maji yalivyoganda poa. Mtoto wa shule anaokota anachezea na kuiweka mdomoni akisha kumwaka huo mkojo. Kwani mavyuoni hakuna dustbins? Mbona utata upo? Anatupa nje ya pipa hana muda wa kulifunua. Na anaweza akatoka chooni hajaflush (mfagizi atakuja kuflush) pamoja na kuwa pipa la maji lipo na ndoo ya kuchotea. Utakuta mizigo ya kutisha au maji yaliyojaa chooni kuingia ukashindwa. Au unapanda juu ya WC ya kukaa kukwepa maji unaishia kuanguka na unakula jiwe ukiulizwa kulikoni kishindo na umelowa! bongoland hiyo!
Hainipi shida-nikauzia majirani zangu ardhi na wote ni wanasheria. Nilibakiza police tu sijampata. Nikijihami na tabia tunazoziongea-sitaki kero. lakini-zikaanza hayo usemayo. maji machafu-katoboa ukuta yanakuja kwangu, yamvua-yanakuja na kufanya erosion; taka za jikoni, anarusha kwangu, pampasi za watoto-rusha juu ya ukuta kwangu. anayo nafasi ya kuchimba mashimo, kuweka septic tanks, uwezo wa kutirisiha maji ya mvua vizuri yaelekee mtoni kwa makubaliano. Nikapata akili chafu-akitusha pampasi, taka ngumu, maji ya maharage na tope la maugali kutiririka kwangu pia-ninakusanya ninarushia ndani kwake uwani kwake. Kimeendelea na sasa kimetulia. Toa, rusha uchafu kwangu nami niurushe kwako!! Fikiria-ni mwanasheria kisha 'Mchungaji/mkatekista'.
Health awareness as well as academic education on health and other vital matters (environmental management, water safety, laws etc) is vital but not sufficient for behaviour change! More has to be done. Uelimishaji, ufuatiliaji kuona sustainability of positive behaviour change or practices, legal/law enforcement ikishindikana kwa wanaokosea. Kwani mbakaji, muuaji hajui kama ni dhambi na anaweza kufungwa au kunyongwa; fisadi hajui adhabu yake akipatikana, mwizi jee wa kupora ktk vituo vya daladala si anaona wenzake wakiuawa; hayuoni wafao kwa ukimwi au kipindupindu? Mbona ukimwi wasomi na wana ndoa tunaongoza? Jiulize elimu kama ndio tija pekee? Kuwa na choo watatumia inavyotakiwa (miaka ile wasukuma waliweka kinyesi cha ng'ombe kukwepa kulogezewa kinyesi kikiwa shimoni atakunuizia akupate). Basi tujitahidi kuifanya practical health education iwe continuous with positive outcomes and effects. Mizizi yetu ya Laise Faire, vijijie tu, visisafishe, serikali ije iondoe taka hizi tuiache na tufikie kususa kununua na kula vitu pale tunaona vipo ktk mazingira ya uchafu. Tupige marufuku biashara mzagao watu wakae panapotakiwa. Tutapigana hasa na kupoteza maisha katika zoa zoa lakini tufike mahala usafi na tabia ya usafi iwe sehemu ya culture yetu!!
Wasalaam.
Kama kawa
--------------------------------------------
On Tue, 26/1/16, Pater Patrick ppaternus1@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: "Juma Mwapachu" <jvmwapachu@gmail.com>, "Kitila Mkumbo" <kitilam00@gmail.com>
Date: Tuesday, 26 January, 2016, 10:40
Hildegarda
Unanena vizuri na hasa unapo sema tabia yetu
juu ya usafi! Unaposema PPP haijafanyakazi vizuri hivyo
mfumo huu utupiliwe mbali unanifurahisha sana ila unasahau
kuwa mjusi hawezi kuwa mamba kwasababu yuko wingereza!
Hiyo mirushwa, hiyo utendaji mbovu kwani hata halmashauri au
jiji kuwa na Kampuni zao kama DAWSCO bado haiwezi
kutokea??
Kumbe tatizo nikubwa kuliko mfumo tajwa.
Mwanazuoni mwenzangu suala ni la tabia, nidhamu, na
uwajibikaji wa serikali. Nilitafakari miaka mingi iliyo pita
juu ya falsafa ya usafi wa Mtanzania ni kapata majibu kuwa
usafi wa mtanzania unaongozwa na falsafa ya "AWAY FROM
ME" yaani as long as mimi uchafu umetoka kwangu basi
mie msafi! Huu ndo mfumo wa fikra ya utawala wetu. Wengi
wetu tunasema haya niusu kwangu niko poa.
Suala la kipundi pindu ni suala la elimu,
nidhamu, na miundo mbinu ambayo ndo nafasi ya serikali ktk
hili. Vituo vyote vya daladala havina choo, havina dustbins,
etc etc unatuzaje usafi, vyoo nyumbani taabu na shida
utatunzaje usafi na kumaliza kipindu pindu?
Umetoa mapendekezo mazuri ila mzizi ni nini
haswa, sie watanzania tuko wapi?
Wasalaam
Pater
On Jan 26, 2016 10:18
AM, "Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
Buguruni ni soko tegemewa sana sana. Watu wanatoka Tegeta na
kila kona kwenda kununua vitu jumla hapo kupelega vigenge
vidogo. Bado Tandale nalo uozo kibao wa takataka. pamoja na
kuwa kuna uongozi wa soko, ukusanyaji ushuru kwa kutoa%
halmashauri na kiasi za management ya soko-bado mambo ya
usafi utata. Uzoaji takataka muda mrefu upo decentralized
chini ay PPP na kutoa ajira kuondoa mzigo wa kazi hizo kwa
halmashauri. Wakati umefika sasa aidha kukataa sera na
mashartyi ya world Bank turudishe Citu na Municipalities
ziunde kampuni kama vile ilivyo DAWASCO (for DAWASA)
zisajiriwe, ziajiri watu, zilipe mishahara na bima zao na
kadi zao za afya wafanye kazi. ILO ipo iwasaidie kuwa na
good organization ya kazi. Hii PPP haifanyi kazi vizuri
kutokana na utapeli wa mikataba na wakandarasi wa kuzoataka
wadanganyifu na viongozi fisadi. Uongozi wa masoko
walaji/mafisadi kutoa tender kiurafiki kwa makampuni yasio
uwezo. Utoaji ajira kwa wazoa taka na wafagizi-makampuni
binafsi huonea na kulipa mishahara midogo na kidhuluma na
hawana protective gear wala wakiumwa hawawatibii. taka
zinalimbikizana ila wao viongozi vitambi vinakuwa kama taka
zinavyozidi kujazana. Matumizi ya vyoo vya kuvuta-hayatufai.
watu wanatia karatasi wanazojipangusia kuweka na taka ngumu
zinazokwama na maji hakuna repair ya vyoo utata. Mabomba
yanayovuja repairs hakuna maji yanajaza septic tanks na
hawanyonyi kila mara matanki yakijaa. Ikiwa connected kwenye
sewerage system-watu wa soko wanatupa taka ngumu kwenye
manholes na kama mifuniko ya chambers imeibuwa maji husoa
taka kumu na kuingia humo mfuniko wazi na kublock maji
yasiende huko underground. Hizo taka za sokoni
zingechukuliwa na vijana kutengeneza compost na kuwauzia
wananchi, taasisi kuweka katika bustani zao za maua na
walima michicha na mboga nyingine mijini. Wengine wangetumia
taka za soko kutengeneza bio-gas. Tupo hatuna ajira lakini
akili zimelala.
Kama soko ni chafu hivyo usemavyo Cathy-Jipu lipasuliwe,
uongozi ufanyiwe auditing na kisha waovu waondolewe na mafao
yao yalipe gharama zote za kukarabati miundombinu ya soko.
Ikiwezekana wamuombe Mr Mchechu ajenge masoko yawe ya kisasa
isiwe kama yalivyo sasa mfano lile la Mabibo near TGNP-ni
kinyaa structure yake la Mwenge (aibu tupu) Tegeta etc.
Kisha kila soko kuu kiwilaya liwe na gari kubwa la kuzoa
taka badala ya kulipa wakandarasi feki. Soko dogo mufumo wao
uwe na size ya kati ya gari taka ngumu. Kila Municipal iwe
na gari kubwa angalau 2 za kupakua vyoo na maseptic tank ya
soko na iwe chini ya uongozi wa masoko ya municipality haya
taka maji. Hii itawashikisha adabu na kuwafanya private
sector wabadilike kwani private sector yetu bongoland ni
vibaka kama public sector. Wazungu hawakujua hili walidhani
ni efficient na effective kama zile zao. Huku ni kinyume
chake. Ndio maana kuna zari na wakandarasi kutengeneza
majumba yanaanguka, barabara zinakatika, ile ya
Mlandizi-Ruvu-Chalinze kwa gari utadhania upo ndani ya boat
ya kienyeji unatoka Dar to Mafia. Gari inayumba kuruka
matuta na vichuguu hatari tupu ni hatari kwa ajali.
Pamoja na kutoruhusu kushusha matunda, kuleta nyama-vitu
hivyo vitauzwa tu nje ya miji/masoko ktk vigenge na vituo
vya magari hayo. Issue kuu ni sisi kubadilika ktk tabia zetu
za usafi popote tunapokuwa na katika shughuli zetu zote.
Tuitajengaje tabia ya usafi? Mbona hata ukiwa mazingira ya
vyuo vikuu unakuta mapipa ya taka ngumu yapo ila kote
upitako kuna vibox walionunulia na kubebea chips, chupa za
plastiki zimezagaa, makaratasi etc; vyooni kuna chupa za
plastiki imekwama ndani ya WC na taka ngumu kufanya maji
yafurike mengine yanavuja kutoka ghorofa la juu kuja chini
kwa miezi na kila vikitengeneza-wanatupa tena milembe na
makorokoro mengine vinakwama na kufurika. Inzi, mbu kama
kawa. Mifereji mikubwa sana ya bunguruni mnyamani imekuwa
dampo la takataka (world bank funded). Bado ile ya Ubungo
Mwenge-majani, viroba vya taka na makorokoro mengine kibao.
Pembeni hapo magari yamepaki watu wanywa bia, nyama choma
kama kawa.
Kipindupindu cha kuzuilika ni hivi kinakuja na kurudi kila
wakati na sasa ndio kinatoa hasira zake za kuchindwa
uchaguzi na kushindana na mikakati ya 'Hapa Kazi
tu!!", Dengue ilitulamba miaka ya karibuni, Ebora
ikiingia itakuwaje? Na sasa ndio kuna Zika virus wakuleta
watoto wa vichwa vidogo na kuharibu ubongo wa binadamu na
unakuja na huyu mbu Aedes aegypti anayeleta Dengue pia. Kwa
sasa tunashughulikia watoto wenye Vichwa Vikubwa na tupo
jirani na chanzo julikana wa Zika (Zika forest near Lake
Victoria, Uganda. The virus was first found in a monkey
there in 1947). Sasa upo nchi nyingi kiazi duniani. Nasi tu
wasafiri na kwa kuficha wahamiaji haramu ni hodari na tuna
madigrii hayo.
Ingefaa- Elimu nyumba hadi nyumba ianzishwe na kuboreshwa
kama ilivyokuwa wakati wa Baba wa Taifa-Mtu ni afya
campaign, kwenye elimu ya wafanyakazi-kila jumatano na
jumamosi, elimu ya mgambo-wote kuelimishwa. Mbona Tanesco
wanapita nyumba hadi nyumba kuangalia masuala yao ya umeme.
Wizara ya Afya na halmashauri zake zinashindwa nini? Kampeni
za TV na Radio-hazitoishi. Weka vikosi elimishaji kila
kona.
Lakini kama tulivyo wapongo-tuwe waangalifu na tuweke
tahadhari-vibaka, matapeli watashona hizo sare za
waelimishaji, kuweka vibandiko na kuingia majumbani kupora
watu kwa nembo ya waelimishaji umma. Cheza na bongoland
wewe!! Daktari feki anaingia na kutoa huduma mpaka Referral
na Regional Hospital! Nini majumbani Tanesco, Dawasa na
vishoka wauelimishaji feki? Watakuwepo tu.
Ukimpata-mwonyeshe katika vyombo vya umma aina yote aaibike
kisha funga gereza la kilimo akalime sana huko miaka sio
miezi maana atakuwa analima na kujilisha mwenyewe!!
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Tue, 26/1/16, 'cathysungura' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 26 January, 2016, 8:15
hali
ni mbaya,nimepita soko la matunda la buguruni asubuhi
hii,huwezi ingia mana maji machafu yanatiririka toka
ndani.wauza matunda wenyewe wanaogopa hali ile,wanasema
wamepewa siku tano toka jana wasishushe mzigo ili soko
lisafishwe,Mungu atusaidie
Sent
from my Samsung Galaxy
smartphone.
-------- Original message --------
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:26/01/2016 6:50 AM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc:
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
Si umeona Cathy Morogoro inavyoongoza kwa Kipindupindu
(Chibiduke) lakini wakapambana na police waliokuwa
wakizoa
biashara zao zilizokuwa zikiuzwa kihatarishi? Si bado
tunaona vyakula wazi na tunanunua na unakuta wanakula
hapo
hapo inzi zikipepewa? sasa sijui tuache wafu wazike wafu
wao?-Kutokupokea wagonjwa wa kipindupindu hospitali
ajitibie
mwenyewe au abaki huko alikoutoa? Kufanyike nini kama
kabati
hata liwe na wavu na mfuniko-kuzuia inzi na upepo
unaingia
joto lisiozeshe-bado muuzaji anafunua mfuniko na kupepea
inzi. Kufunika anaona watu hawataona bidhaa yake pamoja
na kuwa alipokaa ni pa wauza samaki mstari mzima, pale
vitumbua, pale nyanya. Akiwa na kikabati cha kioo mtu
anaona
bidhaa zilizo ndani-bado anawacha wazi pia mfuniko wake!
Mtanzania-umfanye nini? Maji ya kuchemsha-yana ladha
mbaya!
Hakuna kuni, mkaa wa kuchemsha, vyombo vya kuhifadhi
maji-lakini beer, viroba vinanywewa daily. Mungu
atusaidie.
--------------------------------------------
On Mon, 25/1/16, 'cathysungura' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
To: "'Hildegarda Lucian Petri' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
"nsachrism" <nsachrism@yahoo.co.uk>,
"MAHLEHLA, Eugene Tebogo"
<mahlehlaeu@who.int>,
shaibundeja@gmail.com,
nufairaalex@gmail.com,
"First name alex Chibunu"
<adchibunu@yahoo.com>
Date: Monday, 25 January, 2016, 16:55
Sent
from my Samsung Galaxy
smartphone.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
__._,_.___
Posted by: Pater Patrick
<ppaternus1@gmail.com>
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in this
topic
(2)
Visit Your Group
New Members
1
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
#yiv7911530480 #yiv7911530480 --
#yiv7911530480ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp #yiv7911530480hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp #yiv7911530480ads {
margin-bottom:10px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp .yiv7911530480ad {
padding:0 0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp .yiv7911530480ad p {
margin:0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp .yiv7911530480ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
#yiv7911530480ygrp-lc {
font-family:Arial;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
#yiv7911530480ygrp-lc #yiv7911530480hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
#yiv7911530480ygrp-lc .yiv7911530480ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480activity span {
font-weight:700;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480activity span span {
color:#ff7900;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480activity span
.yiv7911530480underline {
text-decoration:underline;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480attach div a {
text-decoration:none;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480attach img {
border:none;padding-right:5px;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480attach label a {
text-decoration:none;}
#yiv7911530480 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480bold a {
text-decoration:none;}
#yiv7911530480 dd.yiv7911530480last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv7911530480 dd.yiv7911530480last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv7911530480 dd.yiv7911530480last p
span.yiv7911530480yshortcuts {
margin-right:0;}
#yiv7911530480 div.yiv7911530480attach-table div div a {
text-decoration:none;}
#yiv7911530480 div.yiv7911530480attach-table {
width:400px;}
#yiv7911530480 div.yiv7911530480file-title a, #yiv7911530480
div.yiv7911530480file-title a:active, #yiv7911530480
div.yiv7911530480file-title a:hover, #yiv7911530480
div.yiv7911530480file-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a,
#yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a:active,
#yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a:hover,
#yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv7911530480 div#yiv7911530480ygrp-mlmsg
#yiv7911530480ygrp-msg p a span.yiv7911530480yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480green {
color:#628c2a;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}
#yiv7911530480 o {
font-size:0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480photos div {
float:left;width:72px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480reco-category {
font-size:77%;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480reco-desc {
font-size:77%;}
#yiv7911530480 .yiv7911530480replbq {
margin:4px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg select,
#yiv7911530480 input, #yiv7911530480 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg pre, #yiv7911530480
code {
font:115% monospace;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg #yiv7911530480logo {
padding-bottom:10px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-msg
p#yiv7911530480attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-reco
#yiv7911530480reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor #yiv7911530480ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor #yiv7911530480ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor #yiv7911530480ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-text {
font-family:Georgia;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-text tt {
font-size:120%;}
#yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv7911530480
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment