Monday, 25 January 2016

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Rais kuvaa magwanda ya jeshi




Du!!!! Tumboni Street!!! Hii unayofanya wewe ni nini? Domocracia????!!!! Kazi kweli kweli.

2016-01-23 11:20 GMT+03:00 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:


Rais wa Nchi amepewa heshima ya kuvaa magwanda hayo kama Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi. Kagame huvaa, Kenyata wa Kenya pia na yeye asivae why. Amepitia JKT huyo na mgambo pia enzi zile za JK Nyerere. Hata waliosoma shule za kijeshi wakati ule hawakusamehewa JKT. Mtwara girls kuanzia form one ikiwa shule ya mkanani na vita za Msumbiji Ms Inkpen alitumia JWTZ kufundisha kombania ya shule kupigana vita, kula grawide la nguvu na kujifunza silaha ambazo JKT makuruta hawakufundishwa hizo. Bado unatoka hapo unakwenda Kigurunyembe kwa Padri Mzungu Father Franken-CNE hiyo ya Kigurunyembe ilikuwa ya kijeshi. Mateso makali. Bado unatoka hapo unakwenda JKT compulsory ilikuwa na husamehewi. Mateso makubwa na ulitakiwa kuvaa magwanda ya JKT kwa miaka miwili ndio uvue.  Nchi hii inawanajeshji au askari wrngi na baadhi ndio majambazi walifundishwa silaha. Bado hao STD 7 wakiitwa servicemen.women wakikaa jeshioni miaka 2+ akina Mzee Small walilowea huko kufanya JKT na  sanaa mpaka alipotoka huko aliendelea nayo. Form 4 wakienda JKT miezi 6 form 6 mwaka mmoja. Huingii chuo nchini kama hkupitia JKT. Na huko mkilima, kuchunga mifugo-mbuzi, ng'ombe, kuokota korosho, kulima mipunga kila kambi na kilimo cha aina yake tuta moja linapigwa kilomita moja! sasa tunaiacha mibaba kifua miraba minne inacheza tu barabarani, imekaa chini ya miti kwa siku mingine inatembea kilometa 10+ ikitembeza midoli, karanga na miserembwende mingine. Wamejaa ktk bajaji na bodaboda na kuuza ngisi kupanga soda barabarani. Cheap labour haitumiki mashambani wala viwandani wapo kudalalia tiketi za watu kuanzia daladala mpaka mabasi na mazao ya wakulima mashambani.

Rais kuvaa magwanda ni tosha kuonyesha ni askari mahili, na amepewa heshima na JWTZ Monduli kwenye Chuo cha Kijeshi cha Kimataifa kinachotoa mafunzo ya Wabongo na Wenzetu kutoka nchi mbali mbali Africa. Anataka jeshi lizalishe mali-linaweza sana, kuanzia ki;limo hata viwanda na ujenzi wa barabara na madaraja, miundo mbinu ya irrigation wanaweza sana. Prisons zamani wakitumia kujenga na kukarabati, kufyeka, kusafisha nyumba za vioongozi wilaya, mkoa. Jela kuna wafungwa wa ujuzi mwibgi-wawatumie kulima chakula chao, wafufue mashamba ya magereza wasitegemee kulishwa kwa hela ya mlalahoi. Kilimo kikirudi mashamba ya magereza na ufugaji mifugo itasaidia nutrition na food security nchini. Maghara ya magereza na ya GVT yatajaa na GVt itanunua vyakula hivyo vya wafungwa (nafaka) kwa bei nafuu. Ingawaje askari wa wagereza wataongeza vitambi kwa kupata nafaka za dezo na kuuza nyingine kimagendo-tutakuwa tumerudi kuzuri tulikotoka. JKT nao walime kwa matrekta, power tiller kujilisha na kulisha masekondari. Shule zote zamani zilikuwa na mashamba hasa za vijijini. Wananchi wamevamia na viongozi wa vijiji kuuza baadhi ya maeneo-kilimo kama somo la kujifunza kujitegemea kirudishwe mashuleni, stadi za kazi kilimo iwepo pia kushona, kufuma na kusuka mpaka mikeka, majamvi, vikapo, matenga. Mwanafunzi anavaa fulana au shati limechanika hawezi hata kushona uzi na sindano kwa shs 200 anapata! Hapa kazi tu!!

Mbona Rais Bush akivaa magwanda ya jeshi na yeye ni  Pilot au  mambo ya anga? Mangufuli kamanda wa nchi avae tu. hata kama ametoa ujumbe nchi jirani na ulaya kuwa jeye ni amiri jeshi mkuu, kuibadili TZ kuwe na usalama mzuri ni jukumu letu wote. Wale wanaoficha majangiri, wezi wa magari, kuficha wahamiaji haramu majumbani na ndani ya magari yao, porini waone aibu ndani ya ubongo wao. Wanaoozesha watoto wao kwa wageni na kuwapa ardhi wageni ardhi ambao wanafanya utalii na kuchukua hela halafu kujifanya wageni wajao kwao kijijini Arusha, Mafia ni ndugu zao (kumbe watalii hela wamewawekea ulaya ktk account yao) hao wakamatwe. Tunafuga uovu huo na tutaleta ISIS na majangiri wengine watumalize.

Jeshi liweke kambi maeneo nyeti mipakani na kule ambako kila wakati kunatokea uvamizi wa majambazi na wa maeneo na mapigano ya wakulima na wafugaji. Weka kituo cha kazi au mashamba ya kazi ya kilimo. Maeneo degraded wape askari magereza wapande miti na waweke kambi za ufugaji nyuki kulinda na hilo eneo wazi linalowaka na moto daima. Kwa nini wafungwa wakae jela wacheze karata kutwa na JKT walishwe kwa hela ya serikali? Hata kambi za JWTZ zinaweza kikajilisha kama hapo monduli maeneo ya kulima ngano na mahindi ya muda mfupi, njegele, maharage. Ruvu ni mchele/ubwabwa na ndii kisukari. College na vyuo vyao viwe mfano wa kilimo endelevu na Sokoine na vituo vya kilimo na ufugaji vipo. Kweli Rais kasema-Jeshi sasa liwe kitovu cha kuboresha uchumi na kupewa ukandarasi. Kama wanajenga madaraja ya kijita itawashinda nini daraja la Tandale kwa Mtogole kuvuka mto ng'ombe kuingia kijitonyama? Mkandarasi wa kutoa ajira kijijini wa maeneo ya wilayani anapewa jengo la shule kulikarabati au kujenga anajenga linapasuka kabla ya kukabidhiwa au kutumika wakati makuruta  vibarua wa JKT na engineer wa ujenzi JWTZ wapo? Labourers toka Prisons wapo pia. Kuwaunganisha hawa kutapunguza matumizi mabaya ya pesa za GVT za kujenga majengo ya Umma. Bado yupo Jembe Mchechu na NHC. Tunategemea Uvaaji huo wa Gwanda la JWTZ utaleta mabadiliko makubwa ktk kulifanya jeshi productive ktk kusaidia maendeleo ya miundombinu na majumba ya nchi wakati huu wapo wengi hapa ndani hawapigani vita humu au kwa wingi nchi za nje.

Huo uchaguzi wa ZNZ kakisiwa hao hakitowapa shida. Cha kuangalia tu ni Vyama vya Siasa na NGOs za kubeba itikadi za nchi za nje na kuzifanya zao ktk kutaka kuleta mtafaruku na kupenda mijisifa chini ya mwamvuri wa-Demokrasia kumbe ni Tumboni Street!

Kama Kawa


--------------------------------------------
On Fri, 22/1/16, Shangwe Muhidin shangwez@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

 Subject: Re: [Wanazuoni] Rais kuvaa magwanda ya jeshi
 To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 Date: Friday, 22 January, 2016, 17:59


  









       Mwalimu
 Kitilla kasema "Demokrasia ya kimagharibi itatikiswa sana katika
 kipindi cha huyu ndugu!"
 Wangapi wanakubaliana na kauli hii? Ni kweli? Na
 kama ni kweli je, ni jambo
 baya?

 Shangwe




    On Friday, January
 22, 2016 10:18 PM, "ananilea nkya
 ananilea_nkya@yahoo.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:



  









       Bila shaka kuna ujumbe maususi ameutuma kwa
 Watanzania, nchi za Afrika Mashariki na duniani kote. Ingawa
 muda unaweza kutupa jibu, vyombo vya habari vinaweza kumhoji
  kupata kutoka kwake mwenyewe.



 Ananilea Nkya

  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com



 --------------------------------------------

 On Fri, 1/22/16, Dastan Kweka kwekad@gmail.com [Wanazuoni]
 <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:



 Subject: Re: [Wanazuoni] Rais kuvaa magwanda ya jeshi

  To: "Wanazuoni@yahoogroups com"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>

  Date: Friday, January 22, 2016, 1:19 PM





   



















        `Wajuzi`

  wa mambo huku kwetu kijuweni wanasema kuwa hicho kitendo

  siyo cha bahati mbaya na kinaweza kuwa na tafsiri ya

  `kidiplomasia` nje ya nchi au maana fulani, ndani ya
 nchi.

  Uhuru Kenyatta alivaa hivyo wakati mapambano dhidi ya Al

  Shabab yamepamba moto. Museveni huvaa magwanda maana
 yeye

  hudai bado yuko `vitani` - Joseph kony si bado tishio?
 Na

  historia ya Uganda ni tofauti pia ukizingatia mchango wa

  kizazi cha kina Museveni (NRM historicals) na nafasi yao

  katika Uganda ya leo. Wako madarakani, kwa kiasi fulani,

  sababu ya jeshi. 

  Mtakumbuka

  wakati Magufuli anaapishwa na kwa namna alivyomkumbatia

  Kagame watu walisema ni `ishara` ya kuondokana na

  makandokando ya J.K. Je, Magwanda yanatuma ujumbe gani

  katika ukanda huu? Au ni `tangazo rasmi` la vita dhidi
 ya

  ufisadi, ujangili na vita nyinginezo

  anazopigana?

  Mimi

  sitaki kuamini kuwa eti amevaa tuu kwa sababu ni amiri
 jeshi

  mkuu. 



  Dastan Kweka





  On Fri, Jan 22, 2016 at

  3:34 PM, Pius Makomelelo makomelelopius@yahoo.co.uk

  [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>

  wrote:































   



















        jamani, hata

  kutumbua majipu ni vita!





      On Friday, 22 January

  2016, 15:20, "vicensiashule vicensiashule@yahoo.com

  [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>

  wrote:







   



















        ChambiJaribu kuvaa wewe hata

  'ch*pi' tu na wakuone, utafahamu kama wanaona
 fahari

  ama la.Kwa Tanzania sare za jeshi zinalindwa na

  sheria tofauti na nchi nyingine.Kuna kushabihiana

  kwingi kati ya JKN na JPM tofauti na JK na BWM. Sio kwa

  mwonekano tu bali hata kwa maamuzi, mtazamo na

  maono

  vicensia



  -------- Original message --------

  From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>



  Date: 22/01/2016  15:06  (GMT+03:00)

  To: Wanazuoni@yahoogroups.com



  Subject: Re: [Wanazuoni] Rais kuvaa

  magwanda ya jeshi



  Vicensia, unajuaje kuwa wanajeshi wanaona

  fahari hasa ukizingatia kwamba inasemekana mara ya
 mwisho

  Rais wa nchi hii alivaa hivyo wakati wa vita vya Idi
 Amin

  wewe ukiwa bado mtoto?



  Sent

  from Yahoo Mail on Android





   



















        Binafsi sioni tatizo

  kwa hili japo sijui sababu iliyomfanya avae hivyo

  Inawezekana labda ni kwa kuwa miongoni mwa shughuli

  zilizomleta hapa Arusha ni kuwavika vyeo maafisa wapya
 wa

  jeshi.

  Pengine hapa

  shida ni mazoea yetu kuwa hatujawahi kumuona Amiri Jeshi

  mkuu akiwa ndani ya sare ya

  jeshi. 







      On Friday, January

  22, 2016 1:29 PM, "Kitila Mkumbo
 kitilam00@gmail.com

  [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>

  wrote:







   



















        Magufuli will never stop

  surprising us. Si kosa kisheria japokuwa anaweza akawa

  amevunja baadhi ya miiko na mazoea. Katika jicho la

  kidemokrasia, tunaweza kupata picha tunapoelekea.
 Demokrasia

  ya kimagharibi itatikiswa sana katika kipindi cha huyu

  ndugu! 







  On 22 January 2016 at 10:17,

  Charles Makakala Jr makakalajr@yahoo.com [Wanazuoni]
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>

  wrote:































   



















        Mtazamo

  wangu:

  Kama amiri jeshi mkuu

  Rais si raia japokuwa anatokana na raia (kwa mantiki ile
 ya

  kijeshi). Rais ni 'commander', tofauti na
 kiongozi

  yeyote yule wa kiraia. Lakini hili pia halimfanyi Rais
 kuwa

  askari. Rais hana 'commission'. Anapigiwa saluti
 kwa

  heshima lakini hapaswi kuiitikia kama ofisa wa

  jeshi.

  Hili la Magufuli kuvaa

  mavazi ya kijeshi ni kioja (ingawa sijaona picha hizo.)

  Tumekuwa na Rais mwanajeshi hasa kwa miaka kumi mbona

  hatujamuona akivaa uniform zake? Kuna matukio mengi tu

  ambayo angeweza kuvaa kama retired officer au kwa nafasi

  yake kama amiri jeshi mkuu. 

  Lakini kwa

  nini Rais afanye hivyo? Populism. Nilikuwa namsikiliza
 Tundu

  Lissu kwenye clip moja jana na hiki ndicho alichokuwa

  akisema kuhusu Magufuli. Alitaja mambo mawili yanapoenda

  pamoja: kutoheshimu utaratibu wa sheria na kufanya kazi

  mbele ya vyombo vya habari. Nchi haiko kwenye vita.

  Wanajeshi hawahitaji morali ya ziada. Ni kitu gani

  kinamfanya Rais achague kujitambulisha na jeshi na si
 kwa

  ofisi yake? Hakuna mwanajeshi anayehitaji kukumbushwa
 nani

  ni nani katika makamanda wake - hii kwao ni tabia ya
 asili.

  Walengwa wa haya ni raia na huo wengine wanaita
 ulimbukeni

  (lunacy/eccentricity?) Watanzania wanatambua nani ni
 Rais

  wao na wanajeshi wanafahamu nani ni 'commander in

  chief' wao. Hivi vioja havina maana. Afanye kazi

  Watanzania waliyomtuma kuifanya na atapewa kila aina ya

  heshima anayostahili.

  Angalia hii:

  https://answers.yahoo.com/question/index?qid=20071211142753AAjeJnS

   Charles.





      On Friday, January

  22, 2016 12:37 PM, "Dastan Kweka kwekad@gmail.com
 [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 wrote:







   



















        Waungwana, 

  Kuna picha ziko mtandaoni

  zikimuonyesha Rais Magufuli akiwa amevaa magwanda ya
 jeshi.

  Wengi wanaonekana kuzishangilia. Mimi nimepata wasiwasi

  mkubwa na maswali kadhaa. 

  Je, katika nchi yenye utawala wa

  kiraia (demokrasia?) ambayo jeshi linapaswa kutii utawala
 wa

  kiraia, ni sawa kwa Rais kuvaa magwanda ya jeshi? Kwani,

  kimsingi, si uraia wake ndio unampa sifa ya kuwa amiri
 jeshi

  mkuu (na ndio maana wanajeshi hawashiriki katika siasa
 za

  vyama?)

  Inawezekana

  amepata msukumo wa kuvaa ili `kukubalika` maana, kwa
 uzoefu

  wangu wa kuishi na wanajeshi (wa vyeo vya chini) nyumba
 moja

  (ya kupanga) zaidi ya miaka miwili, ukiwa raia
 kukubalika

  kwao kuna ukakasi. Wengine, hulitaja neno/dhana raia
 kama

  `kebehi` fulani. 

  Lakini

  kisheria likoje, kufanya hivyo hakuna athari za
 kufifisha

  dhana ya jeshi kutii utawala wa kiraia? 

  Dastan Kweka











































































































































































































  #yiv0107598708 #yiv0107598708 --

    #yiv0107598708ygrp-mkp {

  border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px

  0;padding:0 10px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mkp hr {

  border:1px solid #d8d8d8;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mkp #yiv0107598708hd {

  color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px

  0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mkp #yiv0107598708ads
 {

  margin-bottom:10px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mkp .yiv0107598708ad {

  padding:0 0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mkp .yiv0107598708ad p
 {

  margin:0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mkp .yiv0107598708ad a
 {

  color:#0000ff;text-decoration:none;}

  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-sponsor

  #yiv0107598708ygrp-lc {

  font-family:Arial;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-sponsor

  #yiv0107598708ygrp-lc #yiv0107598708hd {

  margin:10px

  0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-sponsor

  #yiv0107598708ygrp-lc .yiv0107598708ad {

  margin-bottom:10px;padding:0 0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708actions {

  font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708activity {

  background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708activity span {

  font-weight:700;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708activity span:first-child {

  text-transform:uppercase;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708activity span a {

  color:#5085b6;text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708activity span span {

  color:#ff7900;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708activity span

  .yiv0107598708underline {

  text-decoration:underline;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708attach {

  clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px

  0;width:400px;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708attach div a {

  text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708attach img {

  border:none;padding-right:5px;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708attach label {

  display:block;margin-bottom:5px;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708attach label a {

  text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 blockquote {

  margin:0 0 0 4px;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708bold {

  font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708bold a {

  text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 dd.yiv0107598708last p a {

  font-family:Verdana;font-weight:700;}



  #yiv0107598708 dd.yiv0107598708last p span {

  margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}



  #yiv0107598708 dd.yiv0107598708last p

  span.yiv0107598708yshortcuts {

  margin-right:0;}



  #yiv0107598708 div.yiv0107598708attach-table div div a {

  text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 div.yiv0107598708attach-table {

  width:400px;}



  #yiv0107598708 div.yiv0107598708file-title a,
 #yiv0107598708

  div.yiv0107598708file-title a:active, #yiv0107598708

  div.yiv0107598708file-title a:hover, #yiv0107598708

  div.yiv0107598708file-title a:visited {

  text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 div.yiv0107598708photo-title a,

  #yiv0107598708 div.yiv0107598708photo-title a:active,

  #yiv0107598708 div.yiv0107598708photo-title a:hover,

  #yiv0107598708 div.yiv0107598708photo-title a:visited {

  text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 div#yiv0107598708ygrp-mlmsg

  #yiv0107598708ygrp-msg p a span.yiv0107598708yshortcuts
 {

  font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708green {

  color:#628c2a;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708MsoNormal {

  margin:0 0 0 0;}



  #yiv0107598708 o {

  font-size:0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708photos div {

  float:left;width:72px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708photos div div {

  border:1px solid

  #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708photos div label {

  color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708reco-category {

  font-size:77%;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708reco-desc {

  font-size:77%;}



  #yiv0107598708 .yiv0107598708replbq {

  margin:4px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-actbar div a:first-child
 {

  margin-right:2px;padding-right:5px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mlmsg {

  font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,

  sans-serif;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mlmsg table {

  font-size:inherit;font:100%;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mlmsg select,

  #yiv0107598708 input, #yiv0107598708 textarea {

  font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mlmsg pre,
 #yiv0107598708

  code {

  font:115% monospace;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mlmsg * {

  line-height:1.22em;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-mlmsg #yiv0107598708logo
 {

  padding-bottom:10px;}





  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-msg p a {

  font-family:Verdana;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-msg

  p#yiv0107598708attach-count span {

  color:#1E66AE;font-weight:700;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-reco

  #yiv0107598708reco-head {

  color:#ff7900;font-weight:700;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-reco {

  margin-bottom:20px;padding:0px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-sponsor
 #yiv0107598708ov

  li a {

  font-size:130%;text-decoration:none;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-sponsor
 #yiv0107598708ov

  li {

  font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-sponsor
 #yiv0107598708ov

  ul {

  margin:0;padding:0 0 0 8px;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-text {

  font-family:Georgia;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-text p {

  margin:0 0 1em 0;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-text tt {

  font-size:120%;}



  #yiv0107598708 #yiv0107598708ygrp-vital ul li:last-child
 {

  border-right:none !important;

  }

  #yiv0107598708



















     __._,_.___










         Posted by: Shangwe Muhidin
 <shangwez@yahoo.com>




                           Reply
 via web post
                       •

                Reply to sender
           •

               Reply to group
           •
             Start a New
 Topic
           •
                             Messages in this
 topic
                 (13)
















     Visit Your Group


       New Members
       1






    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















   .







 __,_._,___



 #yiv7011282690 #yiv7011282690 --
   #yiv7011282690ygrp-mkp {
 border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
 0;padding:0 10px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mkp hr {
 border:1px solid #d8d8d8;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mkp #yiv7011282690hd {
 color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
 0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mkp #yiv7011282690ads {
 margin-bottom:10px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mkp .yiv7011282690ad {
 padding:0 0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mkp .yiv7011282690ad p {
 margin:0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mkp .yiv7011282690ad a {
 color:#0000ff;text-decoration:none;}
 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-sponsor
 #yiv7011282690ygrp-lc {
 font-family:Arial;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-sponsor
 #yiv7011282690ygrp-lc #yiv7011282690hd {
 margin:10px
 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-sponsor
 #yiv7011282690ygrp-lc .yiv7011282690ad {
 margin-bottom:10px;padding:0 0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690actions {
 font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690activity {
 background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690activity span {
 font-weight:700;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690activity span:first-child {
 text-transform:uppercase;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690activity span a {
 color:#5085b6;text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690activity span span {
 color:#ff7900;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690activity span
 .yiv7011282690underline {
 text-decoration:underline;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690attach {
 clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
 0;width:400px;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690attach div a {
 text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690attach img {
 border:none;padding-right:5px;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690attach label {
 display:block;margin-bottom:5px;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690attach label a {
 text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 blockquote {
 margin:0 0 0 4px;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690bold {
 font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690bold a {
 text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 dd.yiv7011282690last p a {
 font-family:Verdana;font-weight:700;}

 #yiv7011282690 dd.yiv7011282690last p span {
 margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

 #yiv7011282690 dd.yiv7011282690last p
 span.yiv7011282690yshortcuts {
 margin-right:0;}

 #yiv7011282690 div.yiv7011282690attach-table div div a {
 text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 div.yiv7011282690attach-table {
 width:400px;}

 #yiv7011282690 div.yiv7011282690file-title a, #yiv7011282690
 div.yiv7011282690file-title a:active, #yiv7011282690
 div.yiv7011282690file-title a:hover, #yiv7011282690
 div.yiv7011282690file-title a:visited {
 text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 div.yiv7011282690photo-title a,
 #yiv7011282690 div.yiv7011282690photo-title a:active,
 #yiv7011282690 div.yiv7011282690photo-title a:hover,
 #yiv7011282690 div.yiv7011282690photo-title a:visited {
 text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 div#yiv7011282690ygrp-mlmsg
 #yiv7011282690ygrp-msg p a span.yiv7011282690yshortcuts {
 font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690green {
 color:#628c2a;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690MsoNormal {
 margin:0 0 0 0;}

 #yiv7011282690 o {
 font-size:0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690photos div {
 float:left;width:72px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690photos div div {
 border:1px solid
 #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690photos div label {
 color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690reco-category {
 font-size:77%;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690reco-desc {
 font-size:77%;}

 #yiv7011282690 .yiv7011282690replbq {
 margin:4px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-actbar div a:first-child {
 margin-right:2px;padding-right:5px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mlmsg {
 font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
 sans-serif;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mlmsg table {
 font-size:inherit;font:100%;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mlmsg select,
 #yiv7011282690 input, #yiv7011282690 textarea {
 font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mlmsg pre, #yiv7011282690
 code {
 font:115% monospace;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mlmsg * {
 line-height:1.22em;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-mlmsg #yiv7011282690logo {
 padding-bottom:10px;}


 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-msg p a {
 font-family:Verdana;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-msg
 p#yiv7011282690attach-count span {
 color:#1E66AE;font-weight:700;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-reco
 #yiv7011282690reco-head {
 color:#ff7900;font-weight:700;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-reco {
 margin-bottom:20px;padding:0px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-sponsor #yiv7011282690ov
 li a {
 font-size:130%;text-decoration:none;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-sponsor #yiv7011282690ov
 li {
 font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-sponsor #yiv7011282690ov
 ul {
 margin:0;padding:0 0 0 8px;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-text {
 font-family:Georgia;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-text p {
 margin:0 0 1em 0;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-text tt {
 font-size:120%;}

 #yiv7011282690 #yiv7011282690ygrp-vital ul li:last-child {
 border-right:none !important;
 }
 #yiv7011282690

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment