Friday, 8 January 2016

Re: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI

Na sisi tunaohamia ulaya hata na madigrii ukisoma hutaki kurudi bongo, unabaki kuosha mafusuria hotelini, kufagia na kuzoa takataka kwa malori yao ya automatic; tupo tunauza burger kule nao wanalalamika wageni kuchukua ajira zao. Na huku wageni wanakuja. Ili wasifukuzwe wanaoa msichana na familia inafurahia inawapa ardhi. Kama na sisi vijana wetu wahamiaji ulaya wanapofika kule kuoa mama wazee ili apate ruhusa ya kuishi. Kwa somo kunaliwa na kwa mwali pia-ngoma droo

--------------------------------------------
On Thu, 7/1/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 7 January, 2016, 15:13

Sijakuelewa!em
2016-01-07 6:28 GMT-05:00
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:


Siku hizi vibabu vizee vinaoa wasichana changu doa. Kisha
wananunua ardhi wanajenga mabonge ya nyumba na kuwa na
magari mazuri 4 wheel drive ya kifamilia. Kila siku
anatembelewa na watu wa kwao anajifanya nduguze na rafiki
zake. Kumbe hao ni watalii. Hela wanalipa ktk account yake
kwao, huku anawapa hela za TZ na halipi kodi. Kumbe ana
kampuni ya siri ya kitalii. Wakwe wa kibongo nao siku ya
arusi wanawapa ekari kadhaa kama zawadi. Mzungu anajilia
vyake bongoland wala benefit sharing hakuna kwa kijiji.
wanaoa mpaka wenye vilema ambao wakioa kwao hawaruhusiwi
kuzaa anafungwa kutokana kuwa ana hereditary diseases kama
down sydrome. Hapa unamuona kaoa, ulimi nje na kazaa na
kabinti. Wachina nao soko lao lipo juu wanaoa hawafungwi
tena kama zamani walipokuwa wakijenga tazara. Akisha kuoa
kidili hivi anaingia na kutoka nchini kama kawa. Ndoa dili
siku hizi kwa wahamiaji haram. Tunaona sifa eti-kaolewa na
mzungu, kaolewa na Mburundi, Mkongomani, Mnigeria na
nimewapa shamba kumbe ni dili kama wale vijana wetu nwaendao
ulaya akifike kule kama mhamiaji haram anaoa limama lizee.
anapata nyumba, anafanya vibarua ya kufagia barabara kwa
magari, kuosha vyombo hotelini, bustani za maua na kusafisha
nyumba. Wengine wanakimbilia makanisa ya kilokole eti
wameokoka mradi apate pa msaada wa kula na malazi. Akiona
ameshakaa vizuri hamtaki huyo mama mzee na kuokoka kunaisha.
Miaka ya karibuni, akikaa kinyumba au kuoa limama la mwisho
chalinze kisha kumuona mdada wa kwao akahamia au akamuoa
akamwanja mama mtu mzima huyo-anapewa masaa 24 kuhama nchi.
Hawawapi tena vibali vya uhamiaji mara akio bali huwaweka
katika grace period ya miaka kwani janja yao imejulikana.



Kwa Mwali huliwa na kwa somo pia. Tunavyohamia kwa wenzetu
na mtu msomi anafagia barabara, manual work kadhaa na wazawa
kule kulalamika kuporwa kazi kwani tunakuwa cheap labour,
nasi huku tunalalamika eti wanachukua ajira ambapo nasi
kutwa tupo vijiweni, tupo kutembeza used chupi na mashati na
spea za magari. Kazini kutwa unasoma simu huduma duni. Mara
umeaga ruhusa una arusi, kufiwa, udhuru kila siku-wanaleta
wahindi wenzao hatolelini kupika cheuro. Mahotelini
ukikabidhiwa kufagia ndani-kazi yako kuibia wageni. Analeta
wachina wenzake, watu wa malawi na zamia kutoa huduma
hotelini anakuacha wewe utakae utajiri wa harakaharaka
kuibia wateja simu, pochi, laptop kisha unayeyuka kazi
umekimbia. Kupiga zege kazi za ujenzi huwezi-unataka malipo
ya siku lakini unafika asubuhi mzigoni late na upo mbwiii
unanuka gongo!!

Excuse me, wache waje lakini kwa kibali ili huduma sekta
mbalimbali ziwe nzuri, uchumi ukuwe, uzembe utufike puani
utoke tuuache!!







--------------------------------------------

On Thu, 7/1/16, Buberwa Jackob <buberwajackob@gmail.com>
wrote:



 Subject: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA
WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI

 To: "Buberwa Jackob" <buberwajackob@gmail.com>

 Date: Thursday, 7 January, 2016, 14:10









 MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA

 WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI



 WACHINA NA WAZUNGU NAO LAZIMA

 WASHUGULIKIWE ! BONGO SIYO SHAMBA LA BIBI !





 Ni juzi tu naibu waziri wa mambo ya ndani

 muandisi Mhe.Hamad Masauni aliiagiza Idara ya Uhamiaji

 kusaka na kuwakamata  raia wageni wote wanaochukua
ajira

 zinazoweza kufanywa na wataanzania, wito huo tayari

 umeshaitikiwa na idara ya uhamiaji mkoa Dar-es-salaam
kama

 alivyosema Afisa Uhamiaji mkoa Bw.John Msumule kuwa

 watawasaka wahamiaji wanao chukua ajira za watanzania
na

 kuwafikisha mahakamani.

 Mashaka ya ubaguzi katika kamata kamata hiyo!

 inawezekana zoezi hilo likafanyika kwaubaguzi

 bila makusudi,na wakakamatwa mfano raia wa Somali na

 wahabeshi wanauza milungi,warundi na wanyarwanda ambao
ni

 wakimbizi, namakundi mengine ambao ndiovinara

 wanaoongoza kwa kunyakua ajira zinazowezwa kufanywa na

 watanzania wakaachwa. Mfano katika maeneo ya

 Kariakoo kuna wachina wanauza maduka na wanamiliki
maduka

 tunajiuliza hivi kweli vibali vya uwekezaji vinatolewa
ovyo

 mpakakwa wachina kuwekeza katika

 maduka?!

 WAZUNGU NAO WAMO ! kuna raia wengi wa

 kizungu wameingia hapa kwa viza za kutalii na sasa
wanafanya

 kazi mpaka za upishi na kutembeza watalii ! sasa
inashangaza

 hii nchi kweli Shamba la Bibi ?

 KUNA MADANGULO yenye machangudoa kutoka Asia nayo

 yasakwe pia

 Kuna walinzi makolokoloni raia wa kigeni nao

 wanavibali vya kuishi na kupata ajira hapa nchini

 ?!Leo tunao hapa nchini Wachungaji katika

 makanisa ! wachungaji hao wengi wao toka Nigeria na
makanisa

 yao yameibuka kama uyoga na kupata vibali vya kuendesha

 shughuli zao Tanzania! 



 Wanenguaji na Marapa katika bendi za muziki nao

 pia kutoka nje ya nchi! hivi kunengua nako kuwashinde

 watanzania ?

 TUNAIOMBA IDARA YA UHAMIAJI IFUTE NA KUVIHAKIKI

 VIBALI VYOTE VYA WAGENI

 Zoezi hili lazima liwashikirikishe wananchi na

 serikali za mitaa

 Hapa Kazi TU











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment