Thursday, 7 January 2016

Re: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI

Sijakuelewa!
em

2016-01-07 6:28 GMT-05:00 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Siku hizi vibabu vizee vinaoa wasichana changu doa. Kisha wananunua ardhi wanajenga mabonge ya nyumba na kuwa na magari mazuri 4 wheel drive ya kifamilia. Kila siku anatembelewa na watu wa kwao anajifanya nduguze na rafiki zake. Kumbe hao ni watalii. Hela wanalipa ktk account yake kwao, huku anawapa hela za TZ na halipi kodi. Kumbe ana kampuni ya siri ya kitalii. Wakwe wa kibongo nao siku ya arusi wanawapa ekari kadhaa kama zawadi. Mzungu anajilia vyake bongoland wala benefit sharing hakuna kwa kijiji. wanaoa mpaka wenye vilema ambao wakioa kwao hawaruhusiwi kuzaa anafungwa kutokana kuwa ana hereditary diseases kama down sydrome. Hapa unamuona kaoa, ulimi nje na kazaa na kabinti. Wachina nao soko lao lipo juu wanaoa hawafungwi tena kama zamani walipokuwa wakijenga tazara. Akisha kuoa kidili hivi anaingia na kutoka nchini kama kawa. Ndoa dili siku hizi kwa wahamiaji haram. Tunaona sifa eti-kaolewa na mzungu, kaolewa na Mburundi, Mkongomani, Mnigeria na nimewapa shamba kumbe ni dili kama wale vijana wetu nwaendao ulaya akifike kule kama mhamiaji haram anaoa limama lizee. anapata nyumba, anafanya vibarua ya kufagia barabara kwa magari, kuosha vyombo hotelini, bustani za maua na kusafisha nyumba. Wengine wanakimbilia makanisa ya kilokole eti wameokoka mradi apate pa msaada wa kula na malazi. Akiona ameshakaa vizuri hamtaki huyo mama mzee na kuokoka kunaisha. Miaka ya karibuni, akikaa kinyumba au kuoa limama la mwisho chalinze kisha kumuona mdada wa kwao akahamia au akamuoa akamwanja mama mtu mzima huyo-anapewa masaa 24 kuhama nchi. Hawawapi tena vibali vya uhamiaji mara akio bali huwaweka katika grace period ya miaka kwani janja yao imejulikana.

Kwa Mwali huliwa na kwa somo pia. Tunavyohamia kwa wenzetu na mtu msomi anafagia barabara, manual work kadhaa na wazawa kule kulalamika kuporwa kazi kwani tunakuwa cheap labour, nasi huku tunalalamika eti wanachukua ajira ambapo nasi kutwa tupo vijiweni, tupo kutembeza used chupi na mashati na spea za magari. Kazini kutwa unasoma simu huduma duni. Mara umeaga ruhusa una arusi, kufiwa, udhuru kila siku-wanaleta wahindi wenzao hatolelini kupika cheuro. Mahotelini ukikabidhiwa kufagia ndani-kazi yako kuibia wageni. Analeta wachina wenzake, watu wa malawi na zamia kutoa huduma hotelini anakuacha wewe utakae utajiri wa harakaharaka kuibia wateja simu, pochi, laptop kisha unayeyuka kazi umekimbia. Kupiga zege kazi za ujenzi huwezi-unataka malipo ya siku lakini unafika asubuhi mzigoni late na upo mbwiii unanuka gongo!!
Excuse me, wache waje lakini kwa kibali ili huduma sekta mbalimbali ziwe nzuri, uchumi ukuwe, uzembe utufike puani utoke tuuache!!



--------------------------------------------
On Thu, 7/1/16, Buberwa Jackob <buberwajackob@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI
 To: "Buberwa Jackob" <buberwajackob@gmail.com>
 Date: Thursday, 7 January, 2016, 14:10




 MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA
 WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI

 WACHINA NA WAZUNGU NAO LAZIMA
 WASHUGULIKIWE ! BONGO SIYO SHAMBA LA BIBI !


 Ni juzi tu naibu waziri wa mambo ya ndani
 muandisi Mhe.Hamad Masauni aliiagiza Idara ya Uhamiaji
 kusaka na kuwakamata  raia wageni wote wanaochukua ajira
 zinazoweza kufanywa na wataanzania, wito huo tayari
 umeshaitikiwa na idara ya uhamiaji mkoa Dar-es-salaam kama
 alivyosema Afisa Uhamiaji mkoa Bw.John Msumule kuwa
 watawasaka wahamiaji wanao chukua ajira za watanzania na
 kuwafikisha mahakamani.
 Mashaka ya ubaguzi katika kamata kamata hiyo!
 inawezekana zoezi hilo likafanyika kwaubaguzi
 bila makusudi,na wakakamatwa mfano raia wa Somali na
 wahabeshi wanauza milungi,warundi na wanyarwanda ambao ni
 wakimbizi, namakundi mengine ambao ndiovinara
 wanaoongoza kwa kunyakua ajira zinazowezwa kufanywa na
 watanzania wakaachwa. Mfano katika maeneo ya
 Kariakoo kuna wachina wanauza maduka na wanamiliki maduka
 tunajiuliza hivi kweli vibali vya uwekezaji vinatolewa ovyo
 mpakakwa wachina kuwekeza katika
 maduka?!
 WAZUNGU NAO WAMO ! kuna raia wengi wa
 kizungu wameingia hapa kwa viza za kutalii na sasa wanafanya
 kazi mpaka za upishi na kutembeza watalii ! sasa inashangaza
 hii nchi kweli Shamba la Bibi ?
 KUNA MADANGULO yenye machangudoa kutoka Asia nayo
 yasakwe pia
 Kuna walinzi makolokoloni raia wa kigeni nao
 wanavibali vya kuishi na kupata ajira hapa nchini
 ?!Leo tunao hapa nchini Wachungaji katika
 makanisa ! wachungaji hao wengi wao toka Nigeria na makanisa
 yao yameibuka kama uyoga na kupata vibali vya kuendesha
 shughuli zao Tanzania! 

 Wanenguaji na Marapa katika bendi za muziki nao
 pia kutoka nje ya nchi! hivi kunengua nako kuwashinde
 watanzania ?
 TUNAIOMBA IDARA YA UHAMIAJI IFUTE NA KUVIHAKIKI
 VIBALI VYOTE VYA WAGENI
 Zoezi hili lazima liwashikirikishe wananchi na
 serikali za mitaa
 Hapa Kazi TU





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment