ukisubiri sana mwisho utakula vilivyooza, ubungo makoka kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 mbunge wao alikuwa Mnyika tena madiwani walikuwa kutoka chadema alivyopata kura hakuonekana tena mpaka alipokimbia na kumuachia kubenea.
chezea mnyika wewe mwenyewe alimeshajua kuwa huu ndio muhula wake wa mwisho hatakuwa na la kuwaongopea tena wana mbezi na kibamba kwakuwa atakuwa amekaa mihula miwili2016-01-26 12:57 GMT+03:00 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>:
Hata mimi nawashangaa sana ni bora tukavuta subira badala ya kulalamika humu au wafanye mawasiliano na mbunge kwa njia iliosahihi kama vile kutuma wawakilishi kuonana na madiwani na mbunge kutoa mawazo ya badala ya kuishia kuandika humu pengine mbunge hataona kilichoandikwa
Maendeleo ni jambo shirikishi shirikianeni na mbunge wenu kuweka nguvu ya pamoja kujiletea Maendeleo sio kulalamika bila kuweka malengo.On Jan 26, 2016 11:32 AM, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com> wrote:--Kuweni wavumilivu kwani Baraza la madiwani limeshakutana na kupanga bajeti za maendeleo?? Halafu nyie mkaachwa nyuma??
On Jan 26, 2016 10:50 AM, "'mohamed mnzava' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:----Tatizo la huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua masuala ya Kimsingi kt jimbo lake, . . . . . hata Upande huu wa Mbezi kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko . . . . . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya biashara binafsi nk. . . . . . Kama kawaida yake, tutamuona tena baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna uchaguzi unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . . mimi sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa anawajibika kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi woteOn Tuesday, January 26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--Mim ni mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa. Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboni
Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.
Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo tayari kuchangia.
Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.
Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni jipu.Rudi jimboni saidia wananchijf
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment