Saturday, 9 January 2016

Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa Bunge!

Nadhani amekuwa busy sana kwenye masuala yake binasfsi, sina shaka na Bwana kubenea kwenye hili, yani vyeti vyake, lakini akili haitaki kuamini hivi, akili yangu inasema kuwa lazima kutakuwa na jambo kwenye suala hili, Kubenea hawezi kushindwa kuwasilisha vyeti,Kubena hana shida ya usafiri kwa kiasi cha pesa anacholipwa na mbowe na washirika wak, MWANDISHI MAHIRI wa magazeti ya Mwanahalisi na Mawio tena wa muda mrefu!. Ni kwa muda mrefu nilitaka kujua huyu elimu ya kijana huyu, sikuweza kupata fursa ya kumchambua kwani ni ngumu kama huna zile parameters muhimu kama vile elimu, umri, mahali aishipo, kazi yake, marital status na n.k.. siwezi kuamini kuwa labda kuchelewa kwake kuwasilisha hizi nyaraka kuna uhusiano na uongo aliowahi kuufanya siku za nyuma, au labda anataka ku-draw attention kwa jamii kuhusu uwepo wake, au nafai yake ktk jamii, pengine amezidiwa na muda kwa kutafakari uongo juu ya baadhi ya wanasiasa, yes-kwa sababu jamaa si analipwa kuchafua watu. Binafsi nilikuwa namkubali sana huyu jamaa, nilikuwa napenda sana kusoma gazati lake la mwanahalisi baadae mawio, lakini baada ya kupata ukweli wake, nilianza kukusanya data kidodo kidogo, sasa nasubiri kuona elimu yake. Ehee, form four kamalizia wapi, six, chuo, ehe......jamani huyu mtu ana uwezo wa kawaida sana, huwezi kumlinganisha kbs na ZITTO au hata MTATIRO........KUBENEA TOA VYETI NYAKO............





Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com

--------------------------------------------
On Fri, 1/8/16, 'Ephraim Senkondo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa Bunge!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 8, 2016, 4:17 PM

Mpombe
vipi wewe na Mh. Kubenea? Hebu tueleze mambo ya maana zaidi
kuliko ku personalize issues na Kubemea




On Thursday, January
7, 2016 9:12 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Kubenea
azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti
Vyake kwa Katibu wa Bunge!

HAMY-D

Kama
ilivyoada katika bunge letu la JMT kuwa, kila tukifungua
Bunge katika awamu mpya, basi kuna utaratibu wa wabunge
kupeleka taarifa zao kwa katibu wa Bunge, hasa zile taarifa
zinazohusu elimu na uzoefu tulionao kwenye maeneo mbalimbali
au kwa lugha ilizoeleka na watu wengi tunaita CV.

Katika
hatua hii ya kuwasilisha taarifa hizi muhimu, wabunge wote
wamefanikisha uwasilishaji huu wa taarifa kwa ofisi ya
katibu wa bunge kama ambavyo imepangwa, lakini ni mbunge
mmoja tu hadi hii leo hajawasilisha taarifa zake kwenye
ofisi ya Katibu wa Bunge, nae sio mwingine ni Saed
Kubenea!

Taarifa
hii ya kuwasilisha CV za wabunge ilitolewa tangu siku ya
uzinduzi wa bunge uliofanywa na rais Dkt Magufuli na
ilitakiwa kabla ya siku ya Desemba 4 taarifa zote za wabunge
ziwe zimewasilishwa kwenye ofisi ya katibu wa bunge ili
aweze kuziingiza kwenye tovuti ya bunge, lakini hadi leo hii
ndugu yetu Kubenea bado tu hajawasilisha nakala za vyeti
vyake kama ambavyo imeelekezwa na katibu huyo wa bunge.

Note: Hii
taarifa imesambazwa kwa wabunge wa bunge la JMT ikimuhusu
mbunge mwenzao na kwa sasa mjadala mkali sana unaendelea
baina ya wabunge kuhusu suala hili la Kubenea kushindwa
kuwasilisha nakala za vyeti vyake kwenye ofisi ya katibu wa
bunge.

Kwa hisani
ya Jf




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment