Saturday, 9 January 2016

Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa Bunge!

Wakati tunaona umuhimu wa kujadili elimu ya Kubenea tujikumbushe pia sheria yetu mama inasemaje kuhusu sifa za mtu anayestahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania na kuona kama Kubenea hata kama ni kweli hana hivyo vyeti ana kidhi vigezo au la. Ibara 67 inasema: 

"(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge endapo -

(a) ni raia wa Jamhuri ya Muungano aliyetimiza umri wa miaka ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma na kuandika katika Kiswahili au Kiingereza;

(b) ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa;

(c) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi hakuwahi kutiwa hatiani katika mahakama yoyote kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali." [Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho 2005)].

2016-01-09 17:39 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Mnaodai vyeti vya wenzenu, toeni vya kwenu kwanza tuvione na tujiridhishe kuwa si vya kugushi. Kabla ya kufanya hivyo, sioni uhalali wa kudai vyeti vya Kubenea. Na je ni kweli kwamba alishindwa kuwasilisha vyeti vyake au tunasoma kwamba alishindwa kuwasilisha vyeti vyake?

2016-01-09 15:38 GMT+03:00 'eid omari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nadhani amekuwa busy sana kwenye masuala yake binasfsi, sina shaka na Bwana kubenea kwenye hili, yani vyeti vyake, lakini akili haitaki kuamini hivi, akili yangu inasema kuwa lazima kutakuwa na jambo kwenye suala hili, Kubenea hawezi kushindwa kuwasilisha vyeti,Kubena hana shida ya usafiri kwa kiasi cha pesa anacholipwa na mbowe na washirika wak, MWANDISHI MAHIRI wa magazeti ya Mwanahalisi na Mawio tena wa muda mrefu!.  Ni kwa muda mrefu nilitaka kujua huyu elimu ya kijana huyu, sikuweza kupata fursa ya kumchambua kwani ni ngumu kama huna zile parameters muhimu kama vile elimu, umri, mahali aishipo, kazi yake, marital status na n.k.. siwezi kuamini kuwa labda kuchelewa kwake kuwasilisha hizi nyaraka  kuna uhusiano na uongo aliowahi kuufanya siku za nyuma, au labda anataka ku-draw attention kwa jamii kuhusu uwepo wake, au nafai yake ktk jamii, pengine amezidiwa na muda kwa kutafakari uongo juu ya baadhi ya wanasiasa, yes-kwa sababu jamaa si analipwa kuchafua watu. Binafsi nilikuwa namkubali sana huyu jamaa, nilikuwa napenda sana kusoma gazati lake la mwanahalisi baadae mawio, lakini baada ya kupata ukweli wake, nilianza kukusanya data kidodo kidogo, sasa nasubiri kuona elimu yake. Ehee, form four kamalizia wapi, six, chuo, ehe......jamani huyu mtu ana uwezo wa kawaida sana, huwezi kumlinganisha kbs na ZITTO au hata MTATIRO........KUBENEA TOA VYETI NYAKO............

Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com

--------------------------------------------
On Fri, 1/8/16, 'Ephraim Senkondo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa Bunge!
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, January 8, 2016, 4:17 PM

 Mpombe
 vipi wewe na Mh. Kubenea? Hebu tueleze mambo ya maana zaidi
 kuliko ku personalize issues na Kubemea

    On Thursday, January
 7, 2016 9:12 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

  Kubenea
 azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti
 Vyake kwa Katibu wa Bunge!

 HAMY-D

 Kama
 ilivyoada katika bunge letu la JMT kuwa, kila tukifungua
 Bunge katika awamu mpya, basi kuna utaratibu wa wabunge
 kupeleka taarifa zao kwa katibu wa Bunge, hasa zile taarifa
 zinazohusu elimu na uzoefu tulionao kwenye maeneo mbalimbali
 au kwa lugha ilizoeleka na watu wengi tunaita CV.

 Katika
 hatua hii ya kuwasilisha taarifa hizi muhimu, wabunge wote
 wamefanikisha uwasilishaji huu wa taarifa kwa ofisi ya
 katibu wa bunge kama ambavyo imepangwa, lakini ni mbunge
 mmoja tu hadi hii leo hajawasilisha taarifa zake kwenye
 ofisi ya Katibu wa Bunge, nae sio mwingine ni Saed
 Kubenea!

 Taarifa
 hii ya kuwasilisha CV za wabunge ilitolewa tangu siku ya
 uzinduzi wa bunge uliofanywa na rais Dkt Magufuli na
 ilitakiwa kabla ya siku ya Desemba 4 taarifa zote za wabunge
 ziwe zimewasilishwa kwenye ofisi ya katibu wa bunge ili
 aweze kuziingiza kwenye tovuti ya bunge, lakini hadi leo hii
 ndugu yetu Kubenea bado tu hajawasilisha nakala za vyeti
 vyake kama ambavyo imeelekezwa na katibu huyo wa bunge.

 Note: Hii
 taarifa imesambazwa kwa wabunge wa bunge la JMT ikimuhusu
 mbunge mwenzao na kwa sasa mjadala mkali sana unaendelea
 baina ya wabunge kuhusu suala hili la Kubenea kushindwa
 kuwasilisha nakala za vyeti vyake kwenye ofisi ya katibu wa
 bunge.

 Kwa hisani
 ya Jf

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment