Magobe. Be focused.
Kinachoongelewa ni uwakilishaji wa vyeti ofisi ya Bunge. Ukutaka wanaohoji kuwakilisha vyeti wakati wao sio wabunge basi anza mada tofauti na iliyopo.
--------------------------------------------
On Sat, 1/9/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa Bunge!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, January 9, 2016, 5:39 PM
Mnaodai
vyeti vya wenzenu, toeni vya kwenu kwanza tuvione na
tujiridhishe kuwa si vya kugushi. Kabla ya kufanya hivyo,
sioni uhalali wa kudai vyeti vya Kubenea. Na je ni kweli
kwamba alishindwa kuwasilisha vyeti vyake au tunasoma kwamba
alishindwa kuwasilisha vyeti vyake?
2016-01-09 15:38 GMT+03:00
'eid omari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nadhani
amekuwa busy sana kwenye masuala yake binasfsi, sina shaka
na Bwana kubenea kwenye hili, yani vyeti vyake, lakini akili
haitaki kuamini hivi, akili yangu inasema kuwa lazima
kutakuwa na jambo kwenye suala hili, Kubenea hawezi
kushindwa kuwasilisha vyeti,Kubena hana shida ya usafiri kwa
kiasi cha pesa anacholipwa na mbowe na washirika wak,
MWANDISHI MAHIRI wa magazeti ya Mwanahalisi na Mawio tena wa
muda mrefu!. Ni kwa muda mrefu nilitaka kujua huyu elimu
ya kijana huyu, sikuweza kupata fursa ya kumchambua kwani ni
ngumu kama huna zile parameters muhimu kama vile elimu,
umri, mahali aishipo, kazi yake, marital status na n.k..
siwezi kuamini kuwa labda kuchelewa kwake kuwasilisha hizi
nyaraka kuna uhusiano na uongo aliowahi kuufanya siku za
nyuma, au labda anataka ku-draw attention kwa jamii kuhusu
uwepo wake, au nafai yake ktk jamii, pengine amezidiwa na
muda kwa kutafakari uongo juu ya baadhi ya wanasiasa,
yes-kwa sababu jamaa si analipwa kuchafua watu. Binafsi
nilikuwa namkubali sana huyu jamaa, nilikuwa napenda sana
kusoma gazati lake la mwanahalisi baadae mawio, lakini baada
ya kupata ukweli wake, nilianza kukusanya data kidodo
kidogo, sasa nasubiri kuona elimu yake. Ehee, form four
kamalizia wapi, six, chuo, ehe......jamani huyu mtu ana
uwezo wa kawaida sana, huwezi kumlinganisha kbs na ZITTO au
hata MTATIRO........KUBENEA TOA VYETI NYAKO............
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH
INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28
276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
--------------------------------------------
On Fri, 1/8/16, 'Ephraim Senkondo' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni:
Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa
Bunge!
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 8, 2016, 4:17 PM
Mpombe
vipi wewe na Mh. Kubenea? Hebu tueleze mambo ya maana
zaidi
kuliko ku personalize issues na Kubemea
On Thursday, January
7, 2016 9:12 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kubenea
azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za
Vyeti
Vyake kwa Katibu wa Bunge!
HAMY-D
Kama
ilivyoada katika bunge letu la JMT kuwa, kila
tukifungua
Bunge katika awamu mpya, basi kuna utaratibu wa wabunge
kupeleka taarifa zao kwa katibu wa Bunge, hasa zile
taarifa
zinazohusu elimu na uzoefu tulionao kwenye maeneo
mbalimbali
au kwa lugha ilizoeleka na watu wengi tunaita CV.
Katika
hatua hii ya kuwasilisha taarifa hizi muhimu, wabunge
wote
wamefanikisha uwasilishaji huu wa taarifa kwa ofisi ya
katibu wa bunge kama ambavyo imepangwa, lakini ni
mbunge
mmoja tu hadi hii leo hajawasilisha taarifa zake kwenye
ofisi ya Katibu wa Bunge, nae sio mwingine ni Saed
Kubenea!
Taarifa
hii ya kuwasilisha CV za wabunge ilitolewa tangu siku
ya
uzinduzi wa bunge uliofanywa na rais Dkt Magufuli na
ilitakiwa kabla ya siku ya Desemba 4 taarifa zote za
wabunge
ziwe zimewasilishwa kwenye ofisi ya katibu wa bunge ili
aweze kuziingiza kwenye tovuti ya bunge, lakini hadi leo
hii
ndugu yetu Kubenea bado tu hajawasilisha nakala za
vyeti
vyake kama ambavyo imeelekezwa na katibu huyo wa bunge.
Note: Hii
taarifa imesambazwa kwa wabunge wa bunge la JMT
ikimuhusu
mbunge mwenzao na kwa sasa mjadala mkali sana
unaendelea
baina ya wabunge kuhusu suala hili la Kubenea kushindwa
kuwasilisha nakala za vyeti vyake kwenye ofisi ya katibu
wa
bunge.
Kwa hisani
ya Jf
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment