sijawahi kuona watu wajinga kama hawa wanaojadili elimu ya kubenea,hivi niwasomi wangapi katika nchi hii wamefanya mambo ya hovyo?kubenea na elimu yake ya kuungaunga lakini ameleta mageuzi mbalimbali katika nchi hii na tumeyaona acheni mambo ya kitoto tujadili mambo ambayo yana tija kwa taifa tuache kujadili watu binafsi(personal attacks) kwanza huyu aliyeibua hoja kuhusu kubenea humu jukwaani ni mpumbavu na lofa kama alivyosema Rais mstaafu BEN MKAPA.
--------------------------------------------
On Sat, 1/9/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa Bunge!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, January 9, 2016, 5:54 PM
Wakati tunaona
umuhimu wa kujadili elimu ya Kubenea tujikumbushe pia sheria
yetu mama inasemaje kuhusu sifa za mtu anayestahili
kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya
Tanzania na kuona kama Kubenea hata kama ni kweli hana hivyo
vyeti ana kidhi vigezo au la. Ibara 67 inasema:
"(1) Bila
ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote
atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa
Mbunge endapo -
(a) ni raia
wa Jamhuri ya Muungano aliyetimiza umri wa miaka
ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma na kuandika
katika Kiswahili au Kiingereza;
(b) ni
mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa na chama cha
siasa;
(c) katika
kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi
hakuwahi kutiwa hatiani katika mahakama yoyote
kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya
Serikali." [Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,
1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho
2005)].
2016-01-09 17:39 GMT+03:00
Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Mnaodai vyeti vya
wenzenu, toeni vya kwenu kwanza tuvione na tujiridhishe kuwa
si vya kugushi. Kabla ya kufanya hivyo, sioni uhalali wa
kudai vyeti vya Kubenea. Na je ni kweli kwamba alishindwa
kuwasilisha vyeti vyake au tunasoma kwamba alishindwa
kuwasilisha vyeti vyake?
2016-01-09 15:38 GMT+03:00
'eid omari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nadhani amekuwa busy sana kwenye
masuala yake binasfsi, sina shaka na Bwana kubenea kwenye
hili, yani vyeti vyake, lakini akili haitaki kuamini hivi,
akili yangu inasema kuwa lazima kutakuwa na jambo kwenye
suala hili, Kubenea hawezi kushindwa kuwasilisha
vyeti,Kubena hana shida ya usafiri kwa kiasi cha pesa
anacholipwa na mbowe na washirika wak, MWANDISHI MAHIRI wa
magazeti ya Mwanahalisi na Mawio tena wa muda mrefu!. Ni
kwa muda mrefu nilitaka kujua huyu elimu ya kijana huyu,
sikuweza kupata fursa ya kumchambua kwani ni ngumu kama huna
zile parameters muhimu kama vile elimu, umri, mahali
aishipo, kazi yake, marital status na n.k.. siwezi kuamini
kuwa labda kuchelewa kwake kuwasilisha hizi nyaraka kuna
uhusiano na uongo aliowahi kuufanya siku za nyuma, au labda
anataka ku-draw attention kwa jamii kuhusu uwepo wake, au
nafai yake ktk jamii, pengine amezidiwa na muda kwa
kutafakari uongo juu ya baadhi ya wanasiasa, yes-kwa sababu
jamaa si analipwa kuchafua watu. Binafsi nilikuwa namkubali
sana huyu jamaa, nilikuwa napenda sana kusoma gazati lake la
mwanahalisi baadae mawio, lakini baada ya kupata ukweli
wake, nilianza kukusanya data kidodo kidogo, sasa nasubiri
kuona elimu yake. Ehee, form four kamalizia wapi, six, chuo,
ehe......jamani huyu mtu ana uwezo wa kawaida sana, huwezi
kumlinganisha kbs na ZITTO au hata MTATIRO........KUBENEA
TOA VYETI NYAKO............
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH
INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28
276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
--------------------------------------------
On Fri, 1/8/16, 'Ephraim Senkondo' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Kubenea azua Utata Bungeni:
Ashindwa kuwasilisha Nakala za Vyeti Vyake kwa Katibu wa
Bunge!
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 8, 2016, 4:17 PM
Mpombe
vipi wewe na Mh. Kubenea? Hebu tueleze mambo ya maana
zaidi
kuliko ku personalize issues na Kubemea
On Thursday, January
7, 2016 9:12 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kubenea
azua Utata Bungeni: Ashindwa kuwasilisha Nakala za
Vyeti
Vyake kwa Katibu wa Bunge!
HAMY-D
Kama
ilivyoada katika bunge letu la JMT kuwa, kila
tukifungua
Bunge katika awamu mpya, basi kuna utaratibu wa wabunge
kupeleka taarifa zao kwa katibu wa Bunge, hasa zile
taarifa
zinazohusu elimu na uzoefu tulionao kwenye maeneo
mbalimbali
au kwa lugha ilizoeleka na watu wengi tunaita CV.
Katika
hatua hii ya kuwasilisha taarifa hizi muhimu, wabunge
wote
wamefanikisha uwasilishaji huu wa taarifa kwa ofisi ya
katibu wa bunge kama ambavyo imepangwa, lakini ni
mbunge
mmoja tu hadi hii leo hajawasilisha taarifa zake kwenye
ofisi ya Katibu wa Bunge, nae sio mwingine ni Saed
Kubenea!
Taarifa
hii ya kuwasilisha CV za wabunge ilitolewa tangu siku
ya
uzinduzi wa bunge uliofanywa na rais Dkt Magufuli na
ilitakiwa kabla ya siku ya Desemba 4 taarifa zote za
wabunge
ziwe zimewasilishwa kwenye ofisi ya katibu wa bunge ili
aweze kuziingiza kwenye tovuti ya bunge, lakini hadi leo
hii
ndugu yetu Kubenea bado tu hajawasilisha nakala za
vyeti
vyake kama ambavyo imeelekezwa na katibu huyo wa bunge.
Note: Hii
taarifa imesambazwa kwa wabunge wa bunge la JMT
ikimuhusu
mbunge mwenzao na kwa sasa mjadala mkali sana
unaendelea
baina ya wabunge kuhusu suala hili la Kubenea kushindwa
kuwasilisha nakala za vyeti vyake kwenye ofisi ya katibu
wa
bunge.
Kwa hisani
ya Jf
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment