Monday, 11 January 2016

Re: [wanabidii] Hii katuni ujumbe mzito... Tukiongea tuache akiba kwani.....

Unapokuwa na wasanii na wahandishi wa habari STD 7-12 wasio na elimu ya juu na specialization kazi yao ndio hii ya kuchora viongozi, kuwapa vichwa na videvu vibaya, sura za hovyo au kuwaaibisha kama hivi. Wenzao nchi za ulaya wanatupa elimu ya kutosha sana. Unafungua TV unaona wanaelezea masuala ya sayansi za wanyama, masuala ya angani, baharini unaona viumbe ambavyo usingeona maisha. Wapo uwanja wa vita wanaonyesha mengi; mara misitu, majani, wadudu na maisha yao. Mwenye specialization ya siasa unaona anamuhoji mtu mpaka unashangaa. hawa wetu ni kukimbilia mikutano, vikao kupata story ambazo hubadilisha vichwa vya habari ikastusha watu kumbe issue sio hivyo. Kuingiza ukabila, uonevu na siasa kiwango cha juu. Akihoji mru daima utasikia-unaiambiaje serikali, unaishauri nini na hali hii. Hayupo kuhoji kisayansi kimantiki kumuuliza sababu za utata anaouona na anapojibu kuwa ni serikali amuulize-kwani hapa anakaa nani kama ni uchafu mbona hiki choo chako umeunganisha hapa inaonekana katika mtaro huu wazi na unatupa takataka mtaroni. Hakuna madeski-mbona hii miti mmekata mechoma mkaa na tumewakuta hapa na magogo porini mnatengeneza mbao. Kwa nini hulimi majani na kusafisha uwanja wako takataka zimekuzunguka, au kwa nini upo hapa dampo la uchafu haap ni pa waste stabilization wewe umejenga nyumba katika eneo la kinyesi huoni kama kuna madhara ya aina yoyote? Wao ni lawama na picha za kufedhehesha watu kama hivi ili kuuza gazeti. Picha za namba hii hatua ichukuliwe. Serikali itoe vyeti kwa waandishi wa habari wenye digrii na specialization sio kila anayetaka kuwa mwandishi anaajiriwa tu na gazeti anaanza kupotosha uma na wachoraji wanachora tu bila kuzingatia hata culture yetu ya kiafrica ya maadili ya kujiheshimu na kuheshimu wengine.

--------------------------------------------
On Mon, 11/1/16, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Hii katuni ujumbe mzito... Tukiongea tuache akiba kwani.....
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 11 January, 2016, 9:12





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment