Saturday, 27 June 2015

Re: [wanabidii] POLE NYINGI KWA SUGU - MH MBILINYI

Hilo tatizo la kukuchuana baa wakushapata uheshimiwa wanawaona sio. Faiza alishasema kitambi kwamba yale ni mausha yake tangu utotoni na ndio uvaaji wake.

Sasa sugu wakati anaomba penzi hakuliona hilo na hakufikiria kizazi chake au kayaona haya baada ya kukwaa uheshimiwa maana waheshimiwa wana mambo yao.

Kuna mhe. Mmoja wa viti aliolewa na mjomba wangu wakaishi pamoja mjomba akapata kazi japani walikubaliana vizuri wife awe anakwenda japani kila baada ya muda fulani.

Yule viti maalum alikuwa mwanahabari akaingia ktk siasa alivyoona anaukaribia uheshimiwa akamwaga jamaa kwa kuona si type yake tena.

Akaenda mahakani kudai talaka kesi ikasomwa jamaa hana habari yupo japani mahakama ikatoa taraka akakabidhiwa bibi yangu mama mzazi wa huyo mjomba.

Jamaa kupata habari akachanganyikiwa hakuwa na jinsi kwa kujua hata akija mke keshapoteza na atapoteza na kazi bure usicheze na wanasiasa.

Swali langu kwa sugu je hakumjua faiza toka mwanzo au kamwaga baada ya kuupata uheshumiwa na kuona si type yake tena.

On Jun 27, 2015 12:50 PM, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:

Kuna mahala ukicheza karata vizuri mchezo unanoga itoshe kusema yule mama kumshambulia Sugu alicheza turufu vibaya.

Huwa siangalii bunge ila nimebahatisha kuona hii kitu. Vile jamii imeharibika na hatuna maadili ningeshauri tusiende mbali kwa huu mjadala maana mbunge muhusika kaomba ufungwe na bungeni umefungwa tayari

On Jun 27, 2015 2:49 AM, "'john mushi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
HiviHawa waheshimiwa wakikosa cha kuwakilisha wanahamia kwenye mambo binafsi ya wenzao? Nadhani huu U ccm na U cdm unasumbua wengi. yawezekana huyu bi mkubwa aliyeanzisha alidhani anakinanga chama alicho huyu mr. bila kufahamu kuwa anamlenga moja kwa moja!


From: 'Salha Bakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, June 26, 2015 12:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] POLE NYINGI KWA SUGU - MH MBILINYI

Ni kweli kabisa ndugu Mashaka - noma na iwe noma.
Ni vema kutafiti issue kabla hujaisema.
Sugu kanisaidia kujua maisha ya mlokole huyo -Martha Mlata.Kumbe naye siyo kioo cha jamii.
Mie ni mtetezi wa haki za watoto na wanawake.Ila kwenye hili, uzalendo kwa wanawake hawa wawili, yaani, mwenendo wa mama sashah, na taarifa za uongo alizotoa Mlata Bungeni jana.
Imagine hadi aliteka mioyo ya wote. Spika, japo mwanamke, akamkataza waziri wa fedha, asiongeze uchungu aliou feel katika kufunga hoja yake.Bad luck sikujua nini ambacho spika anamkatazia Saada Mkuya asiseme, kwa kuwa sikuwepo wakati wa mawasilisho ya Mlata.
Nilitaka kutangaza nia, nguvu zimeniisha.Watu wanageuza uongo, unakuwa ukweli kwa zaidi ya 100%.Inatisha sana!!


SB

--------------------------------------------
On Fri, 6/26/15, 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] POLE NYINGI KWA SUGU - MH MBILINYI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, June 26, 2015, 12:34 PM

Sugu
amemshauri Mlata asiingilie mambo yake binafsi kama yeye
asivyoweza kumuingilia mambo yake ikiwamo alivyoachika kwa
mumewe na mabwana alionao kwa sasa!

Hiyo ni
kama 'umemwaga ugali, ninamwaga mboga'!

 


      On Friday, June 26,
2015 2:27 AM, 'Salha Bakari' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

   

  Muda mfupi uliopita,
kabla naibu spika hajaairisha Bunge , nikiwa nafatilia Bunge
kwenye TV,
Nimemuona Mh Mbilinyi
akiwasilisha hi=oja binafsi kuhusiana na tuhuma kuwa amepora
mtoto wake kwa mzazi mwenzie.Hayo yalielezwajana na Mh
Mlata.Kiukweli, ukipata alichoongeaq Mbilinyi, utalia kama
nilivyolia, na kama Mbilinyi alipomaliza akalia.
Ukweli hata mimi nimewahi kumshuhudia mzazi
mwenzie na picha za nguo nusu uchi.Na bado alitamka, yeye
haimpi shida kuvaa hivyo.Sasa, mtoto wake, tena ni wa kike,
Sashah, atakuwa na maadili mema kwa kulelewa na mama wa
maadili kama haya?

SB
--------------------------------------------
On Fri, 6/26/15, 'Hildegarda Kiwasila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: Re:
[wanabidii] Fw: Muslims flock to Jesus in response to
Islamic State
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Friday, June 26, 2015, 12:19 PM
 
 
  Cha
kushangaza kingine ni wanaokimbia mauaji ya ISIS na
  Algaeda na ISIS wenyewe wanapochoka kupigana
kutoroka
  wanakimbilia Rome-Italy kwa Papa
na Greece-kwenye
  ukatoliki/ukristu-kwa
YESU.
 
  Wanakimbilia nchi
za Europe-England, Germany, Poland etc na

USA ambapo bendera za nchi zina misalaba na katiba ni ya
  kikristu (Anglican, Lutheran etc). Kwa nini
usitoke Syria
  ukakimbilia Misri au
Oman/Saudi Arabia bali Italy, UK???
 
  Inaonyesha suala ni kutaka uhai, usalama na
amani, maisha
  mazuri SIO DINI. Kwani mtu
mzima aliyepitia quran au mafunzo
  ya dini
anajua kabisa kuwa akifika Rome, UK au Australia etc
  anaweza akapewa  na wakristu wa huko watoa
huduma kwa
  wakimbizi ya chakula ambacho
huenda kikawa na sausage ya
  mnyama ambae
hakuchinjwa kwa sala kuelekezwa kibra bali kwa
  mashine ya umeme; sausage huenda ikawa ya
nguruwe; unga wa
  mahindi huenda ukawa ule
wa kulisha mifugo kutaka kuwaokoa
  msife.

 
  Itufundishe watanzania
kuwa-VITA SI NZURI-iwe ya kidini au
  ya
kikabila, kisiasa!! AMANI ni kitu muhimu. Kama kuua ni
  kueneza dini na kwenda peponi-kumuua mtoto
mdogo na kumtupa
  katika jumba linalowaka
moto ni suala la dini? Mtoto mdogo
  anajua
nini cha dini? Kuteka wasichana wadogo au wa shule
  kisha wanarudi wamezaa au wanamimba za askari
wa ISIS baadhi
  wameolewa kwa nguvu hii ni
dini Mungu asemavyo katika
  mafunzo yake
kuwa-teka nyara, silimisha, baka? Ni wazi kuwa
  kuna agenda binafsi, ubinafsi wa binadamu wa
kawaida
  ushetani unaomfanya mtu amtupe
mtoto mchanga katika tanuru
  la moto au
kukata vichwa watoto, wazee na wengine wasio
  hatia. Itokee nchi jirani mapambano ya
kikabila au kwa ISIS
  hapo Mungu hayupo bali
ushetani.Anapotoroka muuaji wa ISIS

anajibadili sura asijulikane. Na huyo Kony wa Uganda
  aliyekuwa akiua kwa jina la YESU-mbona
kajificha? hajitokezi
  auawe msalabani kama
alivyouawa Yesu ili kumbomboa watu
  wake? Ni
ubinafsi usioisha kwa binadamu
  bara la
africa na Uarabuni. Mungu atusaidie.
 

--------------------------------------------
  On Fri, 26/6/15, 'frank patrick
materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 
 
Subject: [wanabidii] Fw: Muslims flock to Jesus in
response
  to Islamic State
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Friday, 26 June, 2015, 9:36
 
  -----
 
Forwarded Message -----
 

   From: Assist News
  <assistnews.aol.com@mail.mailchimpapp.com>
    To:
  materufrank@yahoo.com
 
    Sent: Friday, June 26,
  2015 4:46 AM
    Subject:
Muslims flock
  to Jesus in response to
Islamic State
     
 
  Muslims flock to Jesus in response to
Islamic
  State
 
 
       

         
  #yiv7540550095 
.yiv7540550095headerTop
 
{background-color:#ffffff;border-top:0px solid
  #000000;text-align:center;}
  #yiv7540550095  .yiv7540550095adminText
 
{font-size:14px;color:#efefef;line-height:200%;font-family:verdana;text-decoration:none;}
  #yiv7540550095  .yiv7540550095headerBar
  {background-color:#FFFFFF;border-top:0px
solid #333333;}
  #yiv7540550095 
.yiv7540550095title
 
{font-size:20px;font-weight:bold;color:#640000;font-family:arial;line-height:110%;}
  #yiv7540550095  .yiv7540550095subTitle
 
{font-size:14px;font-weight:normal;color:#777777;font-style:italic;font-family:arial;}
  #yiv7540550095 
.yiv7540550095defaultText
 
{font-size:18px;color:#000000;line-height:150%;font-family:trebuchet
  ms;}
  #yiv7540550095 
.yiv7540550095footerRow
 
{background-color:#e8e8e8;font-size:10px;color:#000000;line-height:100%;font-family:verdana;}
  #yiv7540550095  a {color:#FF6600;}
 
           
               
     
         
     
   
             
       
                 
     
     
                 
               Email
 
not displaying correctly? View
  it in your
browser.
                 
           
         
       
           
                 
     
         
                 
               

   
                 
               
     
           
           
                 
   
   
                 
       
             
   
           
   
             
           
   
                 
               

   
 
           
     
               
     
 
   
             
             
 
     
           
     
               
     
 
   
             
             
 
     
           
     
                 
       Muslims flock to Jesus in response
  to
  Islamic State
                 
     
         
     
   
             
             
 
     By Mark Ellis,
 
Special to ASSIST News Service
  SOUTHERN
CALIFORNIA (ANS - June 25,
  2015) -- Some
experts predict Islam will be
  the largest
religion in the world. But Islam is facing a
  dilemma because of the atrocities committed
by Islamic
  State
  in the
name of Allah, which has left some Muslims
  questioning their faith.
 
Mission scholars say more Muslims have converted to
  Christianity since 9/11 than during the
entire 14
  centuries
  of
Islamic history, according to a report by CBN News.
  Many keep their faith in Jesus a closely
guarded
  secret, fearing retribution from
other hardline Muslims.
  In
  London, CBN News talked to Imram (no last
name given to
  protect his identity), a
British college student from a
  Pakistani
immigrant family.
  Imram left Islam after
his study of the Koran left
  serious
doubts about its veracity. "If someone leaves
  Islam and becomes an apostate, he is thrown
out of his
  family; his family will be the
first ones to abandon
  him,"
  Imran told CBN.
  "His
friends will reject him and he will be killed or
  he will be persecuted. A lot of my friends
said, 'This
  is
  the
last time I'm talking to you because you

disrespected
  the prophet Mohammed, you
disrespected Islam.'"
  Imran is
studying the Bible and has concluded that
 
Christianity is more credible than Islam, even though he
  hasn't yet decided to follow Jesus.
  Some disenchanted former Muslims are
becoming atheists.
  But others find the
grace, truth and power of God's love
  is
irresistible.
  In Sweden, Pastor Fouad
Rasho of Angered Alliance
  Church, himself
an immigrant from Syria, has baptized more
  than 100 ex-Muslims. He said because of
Islamic State,
  many
 
Muslims are coming to Christ.
  "Every
week I meet one or more persons who come to me
  and want to know more about Christianity and
the Bible
  because they are very angry
about being a Muslim. They
  don't want
to continue to be Muslim," Imran told
 
CBN.
  MORE
  About the
writer: Mark Ellis is a senior
 
correspondent for the ASSIST News Service and also the
  founder of www.Godreports.com,
   a website that shares stories, testimonies
and
  videos from the church around the
world to build interest
  and involvement
in world missions.
  ** You may republish
this and any of our ANS stories
  wtih
attribution to the ASSIST News Service

(www.assistnews.net) Read more
         
       
               
     
 
   
             
             
 
     
 
                 
     
         
     
 

                 

             
     
 
                 
               

   
 
           
     
               
     
 
   
             
           
   
                 
           
         
       
           
                 
     
         
                 
               

   You are receiving this email
 
because you opted in at our website.
 
                 
     
         
     
 

                 

             
     Unsubscribe materufrank@yahoo.com
  from this list.
 
                 
     
         
     
 

                 

             
     Our mailing
address is:
 
         
       
               
     ASSIST News Service
 
PO Box 609
  Lake Forest, Ca 92609
  USA
 
   
             
             
 
     
 
                 
     
         
     Our telephone:
 
                 
               

   
 
           
     
               
     
 
   
             
             
 
     Copyright (C) 2015 ASSIST
  News Service All rights reserved.
 
                 
               

   
 
           
     
               
     Forward this email to a friend
                 
     
         
                 
           
         
       
       
   
           
     

             
           
       
 
 
       
 
 
 
  --
 
 
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
  Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and
  hence
  statements and facts must be presented
responsibly. Your
  continued membership
signifies that you agree to this
 
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
 
You received this message because you are subscribed to
  the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit

https://groups.google.com/d/optout.
 
 
  --
  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
subscribed to the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

     

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment