Wednesday 27 February 2013

Re: [wanabidii] Tetemeko la ardhi mkoa wa kigoma

La eng sidhani kama ni sahihi kumbebesha mzigowa upuuzi kama huo. TETEMEKO laweza kupita sehemu ndogo tu na pia likawa nz msituko kidogo sana kiasi kwamba wengine wanaweza wasihisi kutokea kwa jambo lolote.

Mfano mtu akiwa ziwani kule katonga kigoma ni wazi hataweza kujua au kuhisi kama tetemeko limetokea kama ni la kiwango kidogo sana. Wengine ambao wanaweza kutohisi kuwepo kwa tetemeko dogo ni wasafiri na walio kwenye kazi nzito kama za ujenzi na kadhalika.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Tetemeko la ardhi mkoa wa kigoma
Sent: Thu, Feb 28, 2013 4:48:24 AM

Labda kuna mtu aliacha simu yake ya kichina kwenye charger!!!

Haiingii akilini tetemeko kusikika kwenye jengo moja tu........

On Feb 27, 2013 2:02 PM, "Ismael Kimirei" <kiakimirei@gmail.com> wrote:
Nipo Kigoma. Mida hiyo unayoisema nilikuwa maeneo ya Mwanga. Sikusikia hata tremor ya suruali. HIlo tetemeko gani linachagua eneo dogo tu kiasi hicho? Lilikuwa na uzito gani?

On 2/27/2013 1:03 PM, Juma Mzuri wrote:
Tetemeko la ardhi limetokea saa 6.18 mchana MKOANI Kigoma, hasa maeneo
ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa. Hamna madhara yaliyotokea hadi sasa

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.

0 comments:

Post a Comment