Mngonge,
Ipo minong'ono mitaani kuwa anachofanya Tenga ni kufuata maelekezo ya wakubwa Serikalini. Nimeambiwa na mtu fulani kuwa wakubwa huko Serikalini wana mtu ambaye wanamtaka achukue nafasi hiyo, hivyo maskini Tenga anatekeleza maagizo tu ya wakubwa. Ingawa sina uhakika sana na hilo lakini linasemwa semwa. Ni nchi ya mizengwe.
Selemani
> Date: Tue, 26 Feb 2013 12:06:55 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] FW: [Mabadiliko] Kamati ya Mtinginjola Idd TFF kuishnei - Tumeambukizwa Ugonjwa Mbaya Sana.
> From: mngonge@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> MASKINI leodger Tenga, watanzania tulikwishamuona mtu wa busara na
> kwamba kaingia kwenye record ya watu walioendeleza michezo nchini.
> Lakini katika ili la kuplan mizengwe ili achaguliwe swahiba yake
> Nyamlani kajipaka matope. Binafsi ninapendekeza ifanyike special audit
> ya matumizi na mapato ya TFF kwa kipindi chote alichokuwepo Tenga
> madarakani. Ninalazimika kusema hivyo kwa sababu haiwezekani msomi
> kama Tenga afanye makosa ya wazi kama haya hivi hivi lazima kuna uozo
> anataka kuuficha kwa kumbakiza aliyekuwa msaidizi wake. Mololongo
> mzima unaonyesha harufu ya ufisadi
>
> On 2/26/13, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
> >
> > Uchaguzi huu wa TFF umenifanya niweza ku-prove hypothesis yangu. Naomba
> > ni-share nanyi ili mnipe mawazo yenu kama nipo sahihi. Hypothesis yangu ni
> > kuwa. Unapokuwa na Chama Tawala, chochote kile, kilichopoteza dira,
> > kimegubikwa na vitendo vyote vichafu kama vile rushwa, wizi, majungu,
> > kupakana matope, kuchafuana, kuzushiana uongo n.k. basi utamaduni huu
> > haushii tu kwa chama hicho tawala, bali husambaa katika kila segment ya
> > jamii. Husambaa katia serikali, wizara, idara, mahakama, vyombo vya usalama,
> > Bunge, vyombo vya habari, taasisi, agencies mbalimbali, mashirika, asasi za
> > kiraia, vyama vya michezo na wakati mwingine hata vyama vya upinzani.
> > Ninachotaka kusema utamaduduni huu wa kupindisha mambo na kufanya mizengwe
> > ni ugonjwa ambao unaambukiza. Mgonjwa namba moja ni chama tawala na sasa
> > ametuambukiza gonjwa hili, tumeambukizwa gonjwa baya kutoka chama tawala,
> > gonjwa hili linatafuna hata vyama vyetu vya vinavyohusika na michezo na
> > jamii nzima kwa ujumla. Nikiangalia uchaguzi wa TFF ninaona kuna a lot of
> > similarities na chaguzi zote zinazofanyika ndani ya CCM. Eti CCM wanapofanya
> > uchaguzi, Mwenyekiti wao, anawaambia TAKUKURU waende kuwakamata watoa
> > rushwa. Halafu bado kinakaa madarakani??!! Duh!!! Gonjwa hili tumerithi au
> > tumeambukizwa kutoka chama tawala. Hatuwezi kufanya mambo yetu kwa kufuata
> > sheria na kanuni kwani chama kilichopo madarakani kinaonyesha mfano mbaya.
> > Chama Tawala ni taasisi muhimu sana katika kunyoosha mustakabali wa Taifa
> > lolote lile. Chama legelege huzaa serikali dhaifu , taasisi dhaifu, asasi za
> > kiraia dhaifu na hata vyama vinavyosimamia michezo dhaifu. Tusubiri mizengwe
> > ya uchaguzi wa Chaneta unaokuja.
> >
> > Selemani
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Subject: Re: [Mabadiliko] Kamati ya Mtinginjola Idd TFF kuishnei
> > To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> > From: zittokabwe@gmail.com
> > Date: Mon, 25 Feb 2013 16:55:39 +0000
> >
> > Kanyabuleza
> >
> > Kwa hiyo tusubiri FIFA kuja kutuamulia masuala yanayohusu taratibu zetu za
> > ndani?
> >
> > Katiba ya TFF ilichakachuliwa, sio suala la FIFA hilo. Waziri yupo sawa ila
> > kachelewa tu kwa uzembe wa kusimamia mambo
> >
> > Zitto
> > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> >
> >
> > From: Kanyabuleza <kanyabuleza@gmail.com>
> > Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> > Date: Mon, 25 Feb 2013 17:50:29 +0100
> > To:
> > mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> > ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com

> > Hatua nzuri ila waziri kachemsha Kama TFF na Idd kwa kuwa FIFA wanakuja
> > kutoa suluhu juu ya hili na kwa sasa uchaguzi umesimamishwa sioni sababu ya
> > Waziri kuingilia TFF ilihali akijua kufanya hivo kuna atahari kwa uwezekano
> > wa Tanzania kufungiwa!
> >
> >
> >
> > 2013/2/25 A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Wadau ee
> >
> >
> > Ile kamati ya Idd Mtinginjola leo imepigwa chini pamoja na yale maamuzi yake
> > yenye utata ya ubabaishaji katika kuwapata viongozi wapya wa TFF.
> >
> >
> >
> > Waziri wa michezo Fenella Mkangala ameagiza itumike katiba ya 2006 ambayo
> > imekuwa ikifagiliwa na akina Michael Wambura na wadau wengine wa michezo
> > nchini. Waziri huyo amesema hiyo katiba ya ki-janja -janja ya 2012 ya akina
> > Tenga na wenzie haifai na ilikiuka sheria za msajili wa vyama vya michezo.
> > Aidha kina Tenga wali-bugi kwa kudanganya kuwa eti mkutano mkuu wa TFF
> > umefanyika kupitia Teleconference!!
> >
> >
> > Mambo ya ulaji bwana katika soka yananiacha hooooooiii!
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > --
> > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >
> > TEMBELEA Facebook yetu:
> > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> >
> > For more options, visit this group at:
> > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Mabadiliko Forums" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
> >
> >
> > --
> > Kanyabuleza.K

> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> > "Wanabidii" group.

> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment