Thursday 28 February 2013

Re: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Yona

Hawezekani kuzungumzia fursa zilizoma ndani ya IOC bila kutaja
kipengele cha dini kwa sababu OIC yenyewe tayari inakipengele hicho,
kwa hiyo kufanya unavyoshauri ni sawa na kumsifia mfalme aliye uchi
mbele ya watu wake kuwa kapendeza kwa vazi alilovaa.

Ken

On 28/02/2013, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Ndugu Rehani na wengine
>
> Hizo fursa za biashara ninazoongelea zinaweza kuongezeka au kukuwa
> zaidi endapo tutakuwa ndani ya OIC na kutumia fursa hizo za biashara
> baina ya wanachama kama zilivyo jumuiya nyingine duniani .
>
> Basi naomba tujadili suala la OIC kwa misingi ya fursa zilizokuwepo
> ndani ya OIC na sio DINI kama wengi wanavyotaka kulazimisha mambo .
>
> On Feb 28, 1:12 am, Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com> wrote:
>> Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema: "Jamhuri ya Muungano ni
>> nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, isiyokuwa na dini, yenye kufuata mfumo
>> wa vyama vingi vya siasa."
>>
>> Yona siku zote huwa anakurukupuka na kusema vitu ambavyo hata havielewi.
>> Kwanza, hizo fursa anazosema za biashara na kusoma kwani huwezi kuzipata
>> mpaka ujiunge na hiyo organization? Nina hakika hata hizo fursa uchwra
>> anazozisema unaweza kuzipata anyway. Cha msingi kama ni biashara uwe na
>> products zinazohitajika na zinazokidhi viwango basi utauza popote pale
>> duniani. Kama unataka kusoma basi uwe na sifa na uweze kumudu gharama za
>> kugharimia hayo masomo na mambo mengine. Ukiwa navyo hivyo, utasoma popote
>> pale na si lazima uwe member. Lakini pia huyu Yona, anajua malengo na
>> shabaha za OIC?? Na je malengo na shabaha za OIC zinashabihiana na katiba
>> yetu? Kwa kuwa hapa pia tunaelimishana. Yona hebu soma hapa chini kuhusu
>> OIC halafu jiulize kama hayo yapo compatible na katiba yetu ambayo inasema
>> kuwa nchi yetu ni secular state: Soma hasa hizo sehemu ambazo nime-bold.
>> Nataka usome ukikumbuka kuwa katiba yetu inasema nini"
>>
>> About OIC
>> The Organisation of Islamic Cooperation (OIC) (formerly Organization of
>> the Islamic Conference) is the second largest inter-governmental
>> organization after the United Nations which has membership of 57 states
>> spread over four continents. The Organization is the collective voice of
>> the Muslim world and ensuring to safeguard and protect the interests of
>> the Muslim world in the spirit of promoting international peace and
>> harmony among various people of the world. The Organization was
>> established upon a decision of the historical summit which took place in
>> Rabat, Kingdom of Morocco on 12th Rajab 1389 Hijra (25 September 1969) as
>> a result of criminal arson of Al-Aqsa Mosque in occupied Jerusalem.
>>
>> Charter of the
>> Organisation of Islamic Cooperation
>>
>> In the name of Allah, the most Compassionate, the most Merciful
>>
>> We the Member States of the Organisation of Islamic Cooperation,
>> determined:
>> to acknowledge the Conference of Kings, Heads of State and Government of
>> the
>> Member States convened in Rabat from 9 to 12 Rajab, 1389 H, corresponding
>> to
>> 22 to 25 September 1969, as well as the Conference of Foreign Ministers
>> held in
>> Jeddah from 14 to 18 Muharram 1392 H corresponding to 29 February to 4
>> March 1972;
>> to be guided by the noble Islamic values of unity and fraternity, and
>> affirming
>> the essentiality of promoting and consolidating the unity and solidarity
>> among
>> the Member States in securing their common interests at the international
>> arena;
>> to adhere our commitment to the principles of the United Nations Charter,
>> the
>> present Charter and International Law;
>> to preserve and promote the lofty Islamic values of peace, compassion,
>> tolerance, equality, justice and human dignity;
>> to endeavour to work for revitalizing Islam's pioneering role in the world
>> while
>> ensuring sustainable development, progress and prosperity for the peoples
>> of
>> Member States;"
>>
>> Selemani
>>
>> Date: Thu, 28 Feb 2013 00:24:11 -0800
>> From: msomba2...@yahoo.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> Imekaaje???
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Yaani wewe akili yako ni kwamba Tanzania kujiunga na OIC basi ndiyo
>> tutakuwa tumetatua yote yanayotusibu? Mwalimu kukataa jambo hili si kwamba
>> alikuwa mbumbu asiyejua kwamba ni fursa hapana alijua kwamba ni fursa
>> ambayo nje ni tamu na ndani unapomalizia ni chungu kwa watanzania wengi.
>> Think big!
>>
>> --- On Wed, 2/27/13, Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>> From: Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk>
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> Imekaaje???
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Wednesday, February 27, 2013, 5:32 AM
>>
>> bwana yona,suala la Oic hata nyerere alilikataa,msimamo gani tena zaidi ya
>> kulifuta jambo hili lisiwepo ktk rula ya tanzania?na pia,uraia wa nchi 2
>> una shida gani?suala ni kwamba mtu anaruhusiwa kuwa raia wa nchi mbili
>> lakin kwa kufanya hivyo unakuwa huna sifa hata moja ya kuwa kiongozi wa
>> umma au shirika la umma.What is the problem.Unngoz ni kipaji,kama unacho
>> wala huitaji kutumia misuli kuongoza watu wapole kama watanzania.Ngupula
>>
>> ------------------------------
>> On Wed, Feb 27, 2013 15:04 EET Yona F Maro wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> >Tunahiraji viongozi wenye msimamo yao kuhusu masuala magumu kwa taifa
>> >kama hilo la OIC na lile la Uraia wa nchi mbili
>>
>> >On Feb 27, 6:15 pm, denis Matanda <denis.mata...@gmail.com> wrote:
>> >> Yeyote anayesema kuwa ku-balance nafasi za namna hiyo  na dini ya mtu
>> >> au
>> >> jinsia ni kitu kibaya ni mnafiki na asiyejua anachozungumza!
>>
>> >> Wewe unadhani kila mwananchi ana uelewa kama wangu na wako? Kwa nini
>> >> Board
>> >> ya Parole ilivunjwa kipindi kile, kwa nini tuna-balance nafasi za
>> >> Muungano
>> >> na hata nafasi kwa kuangalia usawa wa kijinsia? Yote haya mnaona ni
>> >> ujinga?
>>
>> >> Utu uzima ni pamoja na kuona vilivyoandikwa na visivyo andikwa,
>> >> vinavyoonekana na visivyoonekana na trust me, kuna watu katika nchi
>> >> hii
>> >> ambao kazi yao ni kuhakikisha hii delicate balance haiwi violated.
>>
>> >> Kwa hisia zangu kanuni hizi ambazo hazijaandikwa ndizo pengine
>> >> ziliamua
>> >> Kikwete aingie 2005 badala ya 1995. Wenye uwezo wa kuunganisha nukta
>> >> watakuwa wanaelewa nguvu ya kanuni hizi za kificho................
>>
>> >> 2013/2/27 Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>>
>> >> > Yona,
>>
>> >> > Wewe sema tu, kwa hiyo kutokana na hizo fursa ndio tuvunje katiba??
>> >> > Sema?
>> >> > Ni sawa kuvunja katiba kwa ajili ya hizo fursa?? Sema tuvunje
>> >> > katiba??
>>
>> >> > Selemani
>>
>> >> >  > Date: Wed, 27 Feb 2013 02:33:43 -0800
>> >> > > Subject: [wanabidii] Re: : Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> > Imekaaje???
>> >> > > From: oldmo...@gmail.com
>> >> > > To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> >> > > Kwa mfanyabiashara ukimwambia kuhusu OIC yeye atakukubalia moja
>> >> > > kwa
>> >> > > moja kwa maana atapanua masoko ya bidhaa zake na ushirikiano zaidi
>> >> > > na
>> >> > > watu wengine zaidi , kwa wanafunzi vile vile ni fursa za kusoma
>> >> > > kufanyakazi na utamaduni kwa wasanii na makundi mengine ya jamii
>> >> > > ni
>> >> > > hivyo hivyo fursa kupanuka zaidi .\
>>
>> >> > > Kwanini sisi wengine tunaogopa OIC ? hatutaki fursa ?
>>
>> >> > > On Feb 27, 1:07 am, steven aloys <stevenaloy...@yahoo.com> wrote:
>> >> > > > Tatizo kubwa la watanzania ni unafiki na woga wa kufikiria na
>> >> > > > kutokuwa
>> >> > wakweli daima, kama kweli kuna mtu anafaa kuongoza taifa hili awe
>> >> > rais
>> >> > ajaye ni bora watu wakamtambua na kumjadili je anafaa kwa mahitaji ja
>> >> > taifa
>> >> > letu?
>>
>> >> > > > Tupate kwanza changamoto zote tulizo nazo ktk taifa letu then
>> >> > tuangalie mtu gani anafaa kuwa rais wa tanzania,ninavyojua kuna watu
>> >> > wengi
>> >> > wanataka kuwa rais hilo ni laisi pia ila watu wanao faa kuwa rais wa
>> >> > tz ni
>> >> > wachache muno.
>>
>> >> > > > --- On Tue, 2/26/13, Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>> >> > > > wrote:
>>
>> >> > > > From: Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>> >> > > > Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> > Imekaaje???
>> >> > > > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> >> > > > Date: Tuesday, February 26, 2013, 11:52 PM
>>
>> >> > > > Sawa Shedrack, ni kweli sio sera ya Chama, lakini chama
>> >> > > > kinaponyamaza
>> >> > na kutowakemea watu kama hawa matokeo yake ni nini?? Chama ni lazima
>> >> > kikemee tabia hizi na nyingine zote ambazo ni hatari kwa Taifa letu.
>> >> > Huyu
>> >> > ni mtu hatari. Anatakiwa kupingwa na kukemewe kila kona. Anachotaka
>> >> > kukifanya ni tuanze kuchaguana kwa misingi ya dini. Kila dini
>> >> > inachagua
>> >> > mgombea anayetoka katika dini hiyo. Huoni kama huyu mtu ni mjinga
>> >> > sana, na
>> >> > anayaweka mawazo haya katika mtandao bila woga. Ana ujasiri gani. Kwa
>> >> > kwei
>> >> > mawazo haya yameniharibia siku leo.
>>
>> >> > > > Date: Wed, 27 Feb 2013 07:43:48 +0000
>> >> > > > From: shedrack_maximil...@yahoo.co.uk
>> >> > > > Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> > Imekaaje???
>> >> > > > To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> >> > > > Sio sera ya chama kufanya hivyo ila ni mawazo ya watu wachache
>> >> > kufikilia kwamba lazima awe mwislamu au mkiristo badala ya sifa
>> >> > zake.
>> >> > Umesomeka Rehani ,Tupinge udini kwa nguvu zote kwani itatuharibu wote
>> >> > bila
>> >> > kujali chama
>>
>> >> > > > --- On Wed, 27/2/13, Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>> >> > > > wrote:
>>
>> >> > > > From: Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
>> >> > > > Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> > Imekaaje???
>> >> > > > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> >> > > > Date: Wednesday, 27 February, 2013, 7:33
>>
>> >> > > > Shedrack,
>>
>> >> > > > Ndio, ninamueleza yeye haswa. Na ninarudia na kusisitiza tena.
>> >> > > > CCM ina
>> >> > ugonjwa ambao wanataka kutuambukiza wote. Wao wanaendesha chaguzi zao
>> >> > kwa
>> >> > mizengwe. Utamaduni huu unakuwa reflcted katika chaguzi hata za vyama
>> >> > vya
>> >> > michezo. Wanaambukiza gonjwa hilo katika jamii yote. Kwa nini
>> >> > hawaachi
>> >> > demokrasia ikachukua mkondo wake? kwa nini lazima waweke mizengwe?
>> >> > wao
>> >> > wamezoea mizengwe, sisi hatutaki, tuikatae. Maana wao wanaweza
>> >> > kusema
>> >> > hivyo, safari hii eti ni Mkristo kwa sababu aliyemaliza alikuwa ni
>> >> > Muislam.
>> >> > Wakifanya hivyo wanachochea udini, tuwakatae. Ndio wanaweza kufanya
>> >> > kama
>> >> > walivyofanya kwa nafasi ya uspika, eti wakasema safari hii ni ya
>> >> > Mwanamke!!! Hivyo wanaume wote wakanyimwa haki yao ya kikatiba. Na
>> >> > katika
>> >> > nafasi ya Urais wanaweza kusema safari hii ni wakristo hivyo
>> >> > wakawanyima
>> >> > nafasi watu wengine ambao wanaamini katika dini tofauti kama hindu na
>> >> > hata
>> >> > wale ambao hawana dini kabisa kama kina Mzee Kingunge!! Ni watu wa
>> >> > ajabu
>> >> > sana, ni watu wa hatari.
>> >> > > >  Tulikwishatoka huko, tusirudi huko. Sasa tufikirie maendeleo tu
>> >> > > > na
>> >> > tunahitaji mtu atakayetuletea maendeleo, maji safi, makazi safi,
>> >> > elimu
>> >> > bora, miundo mbinu etc. na si dini yake. Please give us a breack.
>>
>> >> > > > Selemani
>>
>> ...
>>
>> read more »
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment